Home
Unlabelled
membe na waziri wa mambo ya nje wa eritrea katika nane nane dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naona Membe PEDESHJEE kanivalia suruali tumboni.
ReplyDeleteSafi sana. Big up brother. welcome to the club
Huyu kafanana na raisi wetu kweli
ReplyDeleteJe Membe na JK ni mtu na kaka au ndugu?
ReplyDeleteMbona mwenzie na Membe anaonekana
ReplyDeletehayupo confortable?
Maskini katoto, maskini wazaze wake. Poleni sana wafiwa na Mungu amlaze mahala pema peponi, Amin.
ReplyDeleteHiyo tai ya Dr. Membe haijakidhi ubora inaonyesha sio "Silk" ndio manake imepeperuka, ki diplomasia hili ni kosa unapaswa uvae vitu vilivyokidhi viwango vya ubora.
ReplyDeleteacheni uongo JK hafanani na MEMBE hata kidogo.
ReplyDeleteukubwa wa pua ya membe unamtofautisha na JK. PUA ya membe ni kama ya michuzi.
ReplyDeleteACHENI KUOTA JK NI MTU HANDSOME SANA.WAKATI MEMBE SIO HANDSOME.JK HATA AKIVAA GUNIA ANAWAKA ANAPENDEZA.
ReplyDeletewee anonymous wa 07:33:00AM, huyo mwenziwe na Membe hayupo comfortable kwa sababu ya mambo ya utamaduni (culture). Nchi nyingine wanaume kushikana mikono kunaashiria mambo mabaya
ReplyDelete