Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akimwongoza mgeni wake, Waziri wa Mambo ya Nje wa Eritrea, Mhe. Osman Saleh mala tu baada ya ufunguzi wa maonyesho ya Kilimo ya Nane Nane nje kidogo ya Mji wa Dodoma jana. (Picha na Assah Mwambene wa Mambo ya Nje)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Naona Membe PEDESHJEE kanivalia suruali tumboni.
    Safi sana. Big up brother. welcome to the club

    ReplyDelete
  2. Huyu kafanana na raisi wetu kweli

    ReplyDelete
  3. Je Membe na JK ni mtu na kaka au ndugu?

    ReplyDelete
  4. Mbona mwenzie na Membe anaonekana
    hayupo confortable?

    ReplyDelete
  5. Maskini katoto, maskini wazaze wake. Poleni sana wafiwa na Mungu amlaze mahala pema peponi, Amin.

    ReplyDelete
  6. Hiyo tai ya Dr. Membe haijakidhi ubora inaonyesha sio "Silk" ndio manake imepeperuka, ki diplomasia hili ni kosa unapaswa uvae vitu vilivyokidhi viwango vya ubora.

    ReplyDelete
  7. acheni uongo JK hafanani na MEMBE hata kidogo.

    ReplyDelete
  8. ukubwa wa pua ya membe unamtofautisha na JK. PUA ya membe ni kama ya michuzi.

    ReplyDelete
  9. ACHENI KUOTA JK NI MTU HANDSOME SANA.WAKATI MEMBE SIO HANDSOME.JK HATA AKIVAA GUNIA ANAWAKA ANAPENDEZA.

    ReplyDelete
  10. wee anonymous wa 07:33:00AM, huyo mwenziwe na Membe hayupo comfortable kwa sababu ya mambo ya utamaduni (culture). Nchi nyingine wanaume kushikana mikono kunaashiria mambo mabaya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...