ze fulanazzz na anko nanihii wakihojiwa juu mambo ya globu na libeneke na mdau kwizera charugamba ambaye ni mtayarishaji wa kipindi moto cha kila wiki cha 5Connect cha EATV kinachorushwa kila Jumatano saa moja usiku. mpiga picha anaitwa Ombeni Mbwambo. hivyo wadau msikose 5Connect Jumatano ijayo kuanzia saa moja usiku ambapo wana libeneke wa ist afrika mashariki wanahojiwa kuhusu fani hii ya g,obu inayokuja juu sana kila pembe ya dunia

Tunashukuru kwa kutustua...mimi sikosi kuangalia hayo mahojiano siku ya jumatano! nikitoka job moja kwa moja home, sipitii nanihii.kikishatoka wapostie na jamaa wa mabox wacheki hapahapa
ReplyDelete