wasanii wa kundi la sanaa la Fine Roses la Beijing, China wakionyesha umahiri wakucheza wakati wa hafla ya ufunguzi wa tamasha la tatu la vijana na China-Africa linaloendelea jijini Beijing. Mdau Anastazia Anyimike wa HabariLeo yuko huko kutuletea haya na mengine mengi
upigaji gitaa na violin kiaina
ringi
ringi
maringi kibao yote yanazungushwa kwa mwili huu





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...