MKUTANO WA NENO LA MUNGU NA MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE KUTOKA TANZANIA: BIRMINGHAM UK
04-06 /9 /2009.
Jumuiya ya wakristo katika Uingereza na Ulaya inawakaribisha katika mkutano wa neno la Mungu utakokuwa ukiendeshwa na mtumishi wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege kutoka Tanzania.
Mwl. Mwakasege ni Mchumi na Mwalimu wa neno la Mungu ambaye mafundisho yake hayana mlengo wa aina moja tu. Njoo ufaidike katika maeneo yote ya maisha.
MATARAJIO
Wenye shida za kiroho, nafsi, mwili mnakaribishwa mpate majibu ya maswali yenu. Mafundisho ya namna ya kujikomboa kiuchumi kwa mujibu wa neno la Mungu yatafundishwa.

Timu ya Injili na uimbaji kutoka Norway inatarajiwa kuwepo.
Huu utakuwa wakati wa baraka sana jitahidi usikose nafasi hii ya pekee na Mungu atakubariki.
ANWANI YA UKUMBI
College high community leisure Centre
395 College Road
Kingstanding
Birmingham UK
B44 0HF
Mikutano itakuwa inaanza asubuhi
saa nne paka saa moja jioni kwa siku zote tatu.
MAELEZO ZAIDI: Wasiliana na /
Reading Lillian 07846700927,
Birmingham-07776358464 Jackson Kapama,
London 07817479845 Elias Mwema,
Milton Keynes, 07787357618, Jane maneno,
Brighton,07950324330 Joyce Jacob.
Southampton 07717435287 Sekela Komba
Tafadhali tunawaomba kushiriki baraka hizi kwa kuchangia mkutano huu kwa hali na mali
07944632826./Rev. Emmanuel Chatawe -Mwenyekiti
07983615387 /Timothy Kyara- Katibu mkuu.
07983615387 /Timothy Kyara- Katibu mkuu.
KARIBUNI WOTE.
Huu ndio mkutano ambao nimepata kipeperushi chake na kinaelezea mida tofauti? sasa nichukue lipi?
ReplyDeleteHapa mnasema SIKU ZOTE ZA MKUTANO UTAANZA ASUBUHI SAA NNE MPK SAA MOJA JIONI(baada ya anuani kwenye tangazo),KIPEPERUSHI KINASEMA IJUMAA SAA 10 JIONI MPK SAA 2 USIKU NA JUMAMOSI NA J2 SAA 3 ASUBUHI MPK SAA 2 USIKU. Which is which? KILA MTU ANATUNGA MUDA WAKE? KWA HIYO NA KUJA TUJITUNGIE MIDA? NITOE MASHAKA NIWE NA UHAKIKA NA NINI CHA KUFANYA.
Seminar za mwalimu Mwakasege kawaida ya muda huwa kama inavyoonyeshwa kwenye vipeperushi, kwa uzoefu wa miaka ya nyuma. mdauSun Aug 09, 10:22:00 PM
ReplyDeleteusiwe na hasira ni kuomba kueleweshwa tuu, uwe na siku njema.
mdau London bridge
Samahani kama umeona hasira, ial haikua nia yangu,nilitaka kuelewa vyema,NA KUHUSU UZOEFU MWENZIO HUO UZOEFU SINA NDIO MAANA NILIULIZA,Ningekua nao nisinge uliza,Asante kwa kunipa taarifa kufuatana na uzoefu kwa hiyo kumbe alie andaa kipeperushi sie alieweka hii post huku,Asante Mdau nitafata kipeperushi.
ReplyDeletePoleni wote mliosumbuka na muda wa mkutano. Kulikuwa na shida kidogo kwenye muda wa mkutano tunaomba mtusamehe bure.
ReplyDeleteMida ya mkutano ni kama ifuatavyo, Ijumaa tarehe 4 Sept 2009 mkutano utaanza saa 10 jioni hadi saa tatu usiku.
Jumamosi tarehe 5 na Jumapili tarehe 6 Sept 2009,mikutano itakuwa inaanza saa tatu asubuhi mpaka saa tatu usiku.
Tunawakaribisha sana ndugu wote na Mungu awabariki sana.
Mch, E. Chatawe kny ya CITE/ATCE