Home
Unlabelled
president jakaya kikwete hosts hasheem thabeet and family at state house
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mimi nitamsifu kama akishinda lakini nguvu nyingi hivi mnamtia nuksi waswahili mwacheni mwenzetu afanye kazi...
ReplyDeleteAnko nanii mbona unanichanganya ( Left na right)
ReplyDeleteMkuchika yuko on the right na Justice Agustino ni left or what do you say!
Michuzi si umwambie huyu hashim amsaidie lusekelo mwakasege? manake sio tumwone tu kwenye picha tuone mabadiliko atakayoleta kwa watu haswa vilema na watoto.
ReplyDeletejamani bongo kazi ipo!!!
ReplyDeletehuyo ni mcheza mpira wa kikapu tuu
mmhh mambo hayo.
Mama na mwana, hata kuogeshwa utaogeshwa mzee si unajua status imepanda pia usisahau tu Kobe na Lebron wanakungoja wakutandike some heavy monster dunks!
ReplyDeleteNajua waosha vinywa wataosha sana kuhusu hii picha ya mama Rukia akimfunga mwanae kamba ya viatu"! lakini huo ndo upendo mama na mwana akizeeka huyo itakuwa zamu ya mwana kumfunga mama kamba za viatu!
Kaka Michuzi naomba ui-post hii kuna yule kijana mrefu alionyeshwa sabasaba akijaribu kutamfuta mtu wa ku-sponsor apat college US hivi amekutanishwa na agent wa Thabeet au amekaa tu huu ndo mda wenyewe wa ku-establish connections! na je Vodacom sport sponsorship ni vp kwanini wasimsaidie maana wazungu wanasema you can teach skills but not height! NBA sicks those heights!
ReplyDeleteHivi Thabit anaingiaga Msikitini na hizo hereni? na huwa anaswalia upande upi? Astaghafulilai!
ReplyDeleteHaya sasa Michuzi kama unazile picha ulizopiga wakati George Mantiakisi wa Motel Agip aliyejenga Hotel pale Gymkhana na kuuwa kabisa Basketball Tanzania chini ya Uongozi wa Marehemu serve Malai na Kimario sasa tungekuwa na Hashim Thabeet wengi sana...Kudo kwa Hassan Kange, Saleh Zonga, Tomash Shempemba, Hunter Kasiddi, Shabani Kazumba, Salum Hashim, Ali Salim Sidi Kikenya na Abbas Mansoor....jamani pamoja na ABC timu ya Jeshi ya Basketball Hashim needs to seek advise to those guys..bila ya kujali Gymkhana basketball ground ilikuwa inajenga tabia nzuri sana za wachezaji wa mpira wa kikapu Tanzania...na tamaa ya watu wachache wakaamua kufunja kiwanja hicho cha michezo..
ReplyDeleteThis is why I love Tanzania"successful NBA career" wakati hata kuanza kucheza NBA hajaanza.We acha tu bongo tumo sana
ReplyDeleteHii ni sababu tosha ya Zombe kupona, Walikua na hamu na mgeni.
ReplyDeleteall tanzannians are proud of you hasheem including tanzanians living in canada...please make time to visit us here in canada...mdau canada
ReplyDeleteHaya sasa macritics mmemsema sana HThabity kuhusu dress code hapo mna la kusema?? hiii ni mwanzo tu mahaters mtakoma Goo Hashimu am behind you.
ReplyDeleteMungu ibariki Tanzania
That so sweet kumfunga mwanao viatu, mtoto kwa mama hakui. Mbona jamani hatujawahi kumuona baba yake Hasheem or kusikia habari zake, is the father past away or the woman is single mom?
ReplyDeleteKeep it up Hasheem ur the hero of basketball in Africa not only in Tanzania we are proud of you.
ReplyDeleteRais anamuda wa ziada EPA Richmond,Muhungano,Fisadi,ZOMBE bado anamuba wa mazungumzo na Hasheem.Bongo TAMBARARE.
ReplyDeleteSpecial thamks to JK for his support for sports,it is an inspiration to the young spotrsmen and womwn to kaza buti
ReplyDeleteNapenda kuchukua nafasi hii kumpongeza Hashim kwa mafanikio yake binafsi, na ni hatua kubwa katika fani ya michezo nchini.
ReplyDeleteSuali ambalo mimi ninalo, je is this a matter of nation interest mpaka raisi anakuwa this occupied? Ni mtazamo tu wadau, najua ashaalika timu ya taifa before na ni mdau mkubwa wa michezo. Mi naona kama president ana exaggerate mamabo vile
Dah jamaa kachemka kuvaaa hellen mbele viongozi wa zitto wa umma. Mi sijapendezewa kabisa sijui washauri wake vp waliogopa kumwambia aache utoto wa kuvaa helleni?
ReplyDeleteHiyo helleni jamani asingeivaa ikulu ndio nampa big up lakini hellen imemshushia hadhi wakuu.
Mdau Fidel
Kaka Michuzi, mkuu wa wilaya ya nanihii!
ReplyDeleteNingependa kutoa duku duku langu kuhusu picha za magazetini na mtandaoni pale muandishi(mpiga picha) anaposema "wa pili toka kulia/kushoto". Mara nyingi kwa uzoefu wangu nimekuwa nikiona makosa katika hili kwani kushoto au kulia haijulikani kama ni kwa wewe unayeangalia hiyo picha au ni kwa wale waliopo kwenye picha! Mfano halisi ni picha ya Hasheem na familia yao wakiwa na JK na nyingine ni ile ambayo wamekaa ikulu pamoja na Mkuchika na Augustino Ramadhani. Sasa sielewi maadili ya uandishi yanatakaje juu ya hili? Maana kama waliomo pichani hauwajui na ukawa umetumwa kupeleka hela au kuua, yawezekana ukashughulika na mtu asiye sahihi!
Michuzi picha ya pili kutoka juu yahitaji masahihisho
ReplyDeleteMdau
hii safi sana imetulia yani mkuu alisema ataimarisha kwenye kitengo cha michezo ndo kama hivyo ukipeperusha bendera vilivyo utaenziwa tuu hongera saana hasheem though kuna watumia whitedent humu hawana lolote ati anaringa ni poa tuu kuna wamarekani wazawa haswaaa wana dream kubwa ya kuwa kama hasheem yani wanatamani kweli wangepata hicho kibahati ndo hivyo chongeni weee mtajiju na stress za laifu hamuwezi kuziba jua na ungo
ReplyDeletemdau canada
we michuzi swaumu imeshaanza nini?picha ya pili president yuko second left???????
ReplyDeleteNimefurahishwa na kitendo cha rais wetu kukutana na hasheem....ushauri wangu kwa hasheem ni kuwa yeye kaanza naomba sana awafungulie milango vijana wengine wa kitanzania kwa kuwaonesha njia ya kufikia malengo na mafanikio..WE LOVE YOU MAN.Keep it up man...Kafanabo....MBIJE,A
ReplyDeleteDUUH huyu mamake Hasheem naona ndio mpambe wa mtoto.vigumu sisi wapambe wa nje kupenya.mama yuko GADO
ReplyDeletesipati picha wavimba macho watakavyokuwa wamenuna, hasa kule mtaa wa pili maana wao kusocialize hakutakiwi. Mlionielewa ahsanteni
ReplyDeleteheeeeeeeee kwani hawezi kuinama akafunga kamba za viatu au ndo mtoto kwa mama akuiiii??????!!!!!! i luv that.
ReplyDeleteduu jamaa disable but in a good way
ReplyDeletenilitaka kushangaa kwamba jk hajafanya party du kumbe alikuwa anasubiri wenzie wamalize yeye nae aangushe ya kufa mtu
ReplyDeleteSamahani, hivi huyu bimkubwa alikuwa anatabia ya kumfungia mwanae kamba za viatu au ni baada ya kuwa nyota?
ReplyDeleteWe wish him all the best. Michuzi, please correct yourself, Hasheem is JUST starting his career in the NBA, the most competitive basketball tournament in the world. His career is not successful yet, it is just starting...we wish him the best.
ReplyDeleteA little bit of correction is needed here. The Big Man is just going to start his NBA career, okay. Nobody knows yet how that is going to work out for him in terms of performance. So could you please refrain from saying "succesful NBA career..", Let him perform first and then we can attribute those adjectives as fits. Not all NBA first round picks lives up to expectations in the end, there are so many flops out there. But all in all, I wish Hasheem all the best, he has got the talent and I hope the willingness to improve. Plus it looks like he got a pretty supportive family, which should keep him grounded and focused.
ReplyDeleteDaah kweli wabongo sasa zamu yetu kutesa, tunamtakia kila la kheri Hasheem na Raisi wetu amekua mfano wa kuigwa jinsi anavyowaunga mkona watz wanao fanya vema, sasa kwa upande wako kaka nani hii duuh hata nisemeje bwana ila itabidi ututafsirie hiyo lugha (kimombo) maana wengine hatukijui kabisa na tunahamu ya kujua kuhusu Mtz wetu kafanya nini na anafanya nini asante shavu kubwaaaa sanaaaa kwa ndugu yetu tuna mtakia kila la kheri na asisahu kuinua vipaji nyumbani sina shaka kabisa
ReplyDeleteExaggeration, its too early for that, bado hata kwenye top players hajafika ametinga state house, ! no seroius stuff to do guys, whtz up!??!!
ReplyDeleteMungu ana miujiza yake, kwa ajili ya urefu unapata kutokana na sifa hiyo, kwasababu kama sikosei sifa moja ya mchezo huo ni urefu. Nimejaribu kutafakari ufupi nao unamchezo gani wakimataifa, lakini hata hivyo ikitokea mashindano ya kuokota kitu chini, mfupi atamshinda mrefu, au sio.
ReplyDeleteWewe mdau unayedai amsaidie Lusekelo Mwakasege hujui kwamba hata hasheem ana kilema, wewe unadhani huo urefu ni wa kawaida. Pili hasheem hajakamata check ya kwanza hapo anatumia hela ya agent na madeni akianza kudunda mpira ndo check inaingia benki maana huku marekani unafanya kwanza kazi ndo unalipwa siyo pre paid.
ReplyDeleteMUTOMBO WA CONGO HUWA ANATOA MISAADA MBALI MBALI KWA MAFANIKIO HAYA HASHEEM ANATAKIWA KUJENGA MSIKITI, KUWA NA KITUO CHA YATIMA ANAOWASOMESHA HADI CHUO KIKUU.KUSAIDIA WAGONJWA KAMA LUSEKELO.
ReplyDeleteINATAKIWA MGENI NJOO MWENYEJI APONE.
HASHEEM UMEKUJA NA MWEZI WA RAMADHANI NDIO HUO SAIDIA WATU UPATE BARAKA KAMA AFANYAVYO BAKHRESSA. KAMA HUWAKUMBUKI WANYONGE,YATIMA NA WAGONJWA MAFANIKIO YAKO HAYANA FAIDA KWETU.
NA HIZO HELENI ZINA MAHALA PAKE NA TAFRISIRI YAKE JEE UNAIJUA AU UNAVAA TU?
I'm sooo proud of Hasheem.Keep doing your thing kaka.The Thabeet's family is very beautiful.God Bless ya'll.
ReplyDeleteP.S. I like your new hair cut Akbar.lol
Wadau naomba kuuliza hivi mwanamke akiwa mrefu kama Hashim atacheza mchezo gani?
ReplyDeleteAtacheza Vollyball Brazil au Cuba.... Mwanamke akiwa mrefu. Hongera Hasheem MAshallah Ila jiheshimu na Herini Kijana, Dunia tunapita tu unaweza kupewa na kikapeperuka Kila kitu Bismillah. jUMBE.
ReplyDeleteMichuzi left/right huwa ina maana ya picha ilivyo kwa mtazamaji!
ReplyDeleteWEWE MICHUZI UMEENDA SANA WHITE HOUSE HIVI MHESHIMIWA JAKAYA KIKWETE ANA BINTI WA KIKE BADO HAJAOLEWA? KWA NINI WASIMPATIE HASHEEM THABEET BINTI MMOJA KWA NDOA YA MKEKA? NINAULIZA SWALI MUHIMU SANA NADHANI KAKA MICHUZI AMA MSHENGA UTANISAIDIA KULIJIBU NA WADAU WENGINE. ASANTE SANA
ReplyDeleteNig suti gani hiyo? don't let them lame give u too much pros coz u just got a team but have not played a game yet. Plus you're the 3rd option on the team so this might be the end of your carrier if u get a big head from mafisadi u will be done. You got a long way to go nig so don't be like mgema akisifiwa tembo ulitia maji. I know a lot of chicks are after u even though u look ugly. Cynthia upo? but anyway its all good see u at Fedex center
ReplyDeleteMdau H-town
hasheem tumefanya naye sana kazi huku connectcut za kutunza wazee nursing home lakini daah urefu kumbe deal mwenzetu hatunaye tena ametutoka katuachia nursing home yetu Glory nursing home sijui kama atarudi kutusalimia? alikuwa anapata taabu sana kuvaa gloves maana mikononi hazikuwa zinamtosha nakumbuka one day yes alivaa ikapasuka akaamua kumshughulikia bibi pekupeku bila glove halafu baadaye akaenda kujiunga na timu ya shule hatukumwona nursing home tena. mungu mbariki asirudi tena glory nursing home hali ni mbaya sana
ReplyDeleteIt makes me sick to hear that government of Tanzania through DPP has to make an appeal in Mr Zombe’s case. This is big shame as they should do correct things at first time! Someone has to be accountable for this!
ReplyDeleteI believe, the government through DPP should know from beginning the sensitivity of the case, so they should prepare well before charging Mr Zombe et al. And as far as I’m concerned, DPP on behalf of government DIDN’T DO the homework as it should be. If they have done their homework properly then we could have seen justice done to those innocent people who were murdered barbarically under the hands of those who were supposedly to protect them-POLICE!
You don’t need to be a lawyer to know that in this case JUSTICE wasn’t DONE! And they didn’t wait until it's dark to do so; they did it in the daylight for everyone to see. They simply take advantage of our ‘ignorance’ to do what they always do best-TAKING JUSTICE FROM POOR!
If Mr Zombe et al are ‘innocent’ then who killed these innocent people?
In fact, this judgment marks the failure in our legal system and underpins the perception (BAD one!) of our legal system i.e. it’s there to serve those in ‘power’ and ‘rich’. Can we blame those who think so? I don’t think so!
I was expecting the likes of Mashaka, Dr Shayo etc to come up with suggestions or comments regarding the issue but they are all hiding under the carpet. May be we should give them a bit of time to think the way to reappear on the surface but I can't deny to say my hope on them to come up with 'something' is fading away!
The time has been wasted and resources have been dumped in the drain and poor people’s justice has been taken away just because they can't afford to pay for it!
We should remember that rule of the laws is the cornerstone of any developed country. Until we focus on things that matter most like following rule of laws, we’ll continue to be where we are for so many years to come.
As usual, we don’t seem to do much to change our ways as far as our 'hero', Mr Thabeet is in the house. These days, we are more obsessed with celebrities than those people of the west. I wouldn't ignore those who say, "Better those old days than our present time"! Celebrity culture now becomes part of our lives despite being one of the poorest nations on the earth. By the way, how many people have reliable electricity and big pocket to pay for super-sports box to watch their ‘heroes’ in NBA league? May be those ‘lucky few’ in Masaki and Mikocheni!
I don’t have anything against Mr Thabeet. But Mr Thabeet isn’t role model yet; may be years to come if he keeps his head down and achieves what the likes of Mutombo achieved. He hasn’t done anything to be given a title of ‘hero’ as many Tanzanians think. The boy is at a very early stage of his career, so until then he’s still someone learning his trade. We should give him space and time to grow and practice his basketball skills. Too much expectation would give him too much pressure which ultimately would ruin his potential.
_________________
Mzee Wauyagauyaga
I wish you luck thabeet you know tanzanians need to be positive. He totally deserves the celebration. Too much criticism on his dress code guys he is not 30 Let him have a normal life... gggzzzzz its not your culture but get over it. You can wear an earing too if you like does that really determine anything. Give a kid a break go hasheem go
ReplyDeletealiyeuliza mwanamke akiwa mrefu kama Hashim atacheza mchezo gani
ReplyDeleteFYI kuna WNBA(basketball ya wanawake.kama uko poa we zuka US tu.
P.S KUNA MTU AMENICHEKESHA HAPO JUU KASEMA HASHEEN ASUBIRI KUTANDIKWA MONSTER DUNKS
Ah!! Mithupu naye bwana! yani ikulu kabisa unabadika picha unaweka mandishi kwa kimombo! tumia lugha ya taifa bwana,,wenzetu wameshaanza kukulaumu hizo lugha zakigeni sio woote hapa wanazijua.Wengine hapa niwa duch bwana!
ReplyDeletemkuu wetu amechemka, vijimambo vya akina thabiti visimchanganye kichwa watanzania leo tunataka ufumbuzi wa mambo muhimu sio kukaa na akina thabit. huo muda aliotumia kwanini asingekaa na jopo la mawakili kujadili hukumu fake ya zombe! au kwanini asingekaa na wachumi kuokoa nchi yetu! tuna matatizo mangapi yanayohitaji ufumbuzi! we achaa tu, kweli sasa tunamkumbuka nyerere alivyosema. najiuliza wakati wa nyerere angeingia ikulu! kufanya nini! no no non nooooo! tuache ujinga
ReplyDeleteThats trully parental care!!
ReplyDeleteha ha ha ha ha ha ha!I love that mama.You actually remind me of those days when my mum use to help me put on my shoes on our way to "kwa ndugu zetu".Ha ha ha ha ha ha ha ha ha.I looooooooooooove that!
Mkulima-kijijini Gezaulole.
Kuna mdau aliuliza mbona hajamwona baba Thabiti. Baba yake alifariki miaka mingi iliyopita (RIP). Ukipitia mahojiano mbalimbali aliyopata kufanya wakati anasoma utaona anazungumzia jinsi alivyokuwa akijitahidi kutafuta pesa kumsaidia mama yake baada ya baba yake kufariki.
ReplyDeleteMdau aliyeuliza mwanamke akiwa mrefu kama Hashim atacheza mchezo gani jibu lake ni kuwa mchezo wowote anaotaka. Anaweza kucheza mpira wa kikapu ndani ya WNBA, au chuo kikuu ambapo Chuo Kikuu cha Connecticut kilitwaa ubingwa kwa upande wa wanawake kwa kumaliza msimu bila kufungwa. Anaweza kusakata kabumbu akaungana na kina Marta kutoka Brazil. Anaweza kucheza mpira wa wavu aka volleybal ya ufukweni. Anaweza kujitosa katika kuogelea au hata kutoka unyoya kama Usain Bolt.
Mi naona ni bomba tu JK kumkaribisha jamaa Ikulu. Tunafahamu kwamba JK amejitambulisha kama mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu. Obama naye ni mpenzi wa kikapu. Vilevile hii ni njia nzuri ya kuhamasisha vijana wengine kufanya kazi kwa bidii ili kupata mafanikio yatakayoiletea nchi sifa. Tunaomba JK awe mara moja moja anawaalika Watz wengine wanaowakilisha ikiwa ni pamoja na wapiga boksi.
Kwa urefu jamaa alifaa sana kama angepata mafunza na kuwa bodyguard karibu au mpambe wa Rais. Mungu akuzidishie yaliyo ya kheri na umkumbuke na kumshukuru muumba wako.
ReplyDeleteJamani msimshupalie sana huyu Hasheem , kuhusu mavazi , jamani ni dogo sana huyo, kwa age yake na mambo anayo yafanya basi huyu kijana katulia, maana angekuwa mwingine ingekuwa hatari .Hongera sana Hasheem
ReplyDeleteI will always love my country and always hate my government and vibaraka wake. i'm out
ReplyDeleteJibaba lenye uwezo kuanzia wa kingono hadi kifedha ndani ya usa baba ake.
NOTHING WRONG INVITING THABITH IKULU NOR WRONG WEARING EARING. DON'T BE EGOCENTRIC, THINKINK EARINGS HAS -VE MEANING. THAT'S YOUR DEFINATION, EVERYBODY HAS OWN DEFN. TO ME, IT IS DECORATION, PART OF CLOTHING.
ReplyDeleteTO HELP OTHERS, THAT'S HIS DECITION. YOU DON'T PLAN FOR HIS MONEY. WHAT HE GETS IS FOR HIM AND HIS HOUSE HOLD. 3RD PART COMES LAST.
WACHENI MAJUNG. LET KID SHINE. HE MADE HISTORY, WE HAVE TO ACCEPT THAT.
MMEBABA BOX DC.
Anon Wed Aug 19, 02.33PM umeuliza kama mama alikuwa anamfunga viatu kabla ya kuwa nyota. Kwani toka alipo zaliwa unadhani ni nani alieanza kumvalisha viatu licha ya kumfunga hizo kamba?
ReplyDeleteHongera sana kijana mwenzangu Hasheem kwa juhuzi zako binafsi zaidi zilizokufikisha hapo ulipo, hivyo kamua zaidi wala usijirizishe na hatua hiyo uliyofikia kwani unakoelekea kunampambano mgumu zaidi, kama Papa Mutombo aliweza itakuwaje wewe Mtoto wa Sinza kwa wajanja ushindwe? kamua.ushauri wangu nikwamba kuwa sana makini kwachochote kile unachofanya kutokana na stage uliyoifikia, kunawazuri na wabaya watajitokeza, kunawajanja nao wataibuka bila kusahau Ma-gold digger u know what i mean. kama huamini hebu jiulize wakati ule unajifunza kikapu kunamtu alishakufwata akakutoa na buku mbili ukanunue japo viatu vya mtumba Manzese vya kuchezea? kama walikuwepo basi unabahati.
ReplyDeleteDuh! Watanzania tunasikitisha sana na uwezo wetu wa kufikiri na kupembenua mambo!
ReplyDeleteHasheem alipofika tayari yuko juu sana(kuna maelfu ya wamarekani wangependa sana kuwa hapo alipo kwenye NBA), na anaweza kuwa balozi mzuri kwa nchi yetu, hivyo ni safi sana tu rais kumwalika ikulu. Sasa kama wewe huoni umuhimu wa kuwa na balozi kama huyo, basi unahitaji msaada...
Kuna mtu hapo kadiriki kusema eti kwa urefu huo bora Hasheem angekuwa bodyguard wa rais, are you f'n kidding me!! Dogo sasa ana mkataba wa kulipwa dollar million 4 na ushee kwa miaka miwili, hivi bodyguard wa Kikwete analipwa kiasi gani jamani?!!
Kitu kimoja namuaminia Hasheem ni kwamba amejihangaikia mwenyewe mpaka kufika hapo alipo, kila step kumekuwa na watu wanashuku uwezo wake wa kikapu, lakini yeye hajawajali na ameendelea kujituma kama kawa, namuomba aendelee na attitude hiyo hiyo. Keep pushing it bro until you can't push no more, and even then, push some more!!
jamani wabongo tuna mambo. kwa wale wote waliobeza mafanikio ya kijana huyu nawashangaa sana. ni wivu? ujinga? uelewa mdogo au???? tumpongeze kijana huyu kwa bidii zote tuache kashfa, we need to be positive!!!!
ReplyDeleteNamshkuru Mungu kwa nguvu ya uhai anayotupa, kutupa Rais mwenye upendo na kumpa Thabeet Urefu wa aina yake.
ReplyDeleteHongera sana Rais wetu kwa kuthubutu kusema hongera kwa mtanzania yoyote ambaye anarusha bendera ya taifa kweli una Moyo wa upendo.
Hongera Thabit kwa kutumia urefu wako usio wa kawaida kwa ajili ya kujiajiri ni wengi warefu lakini wavivu.
Swali: Hiyo safari ya Ikulu huyo binti mdogo wake Thabeet siku hiyo hakwenda shule kabisaa kisa kwenda Ikulu. Bora viboko virudishwe mashuleni, Utoro viboko 3 na kufanya usafi chooni.
(joke my dear mwaya najua umeemiso kakayo chukua muda wa kuwa nae ila ukirudi darasani soma sana usimwaibishe mama sawaaee hakikisha unakuwa zaidi ya Mama Asha-Rose, Ana Tibaikuja nk.)
Msinirarue jamani! Just curious. Mbona heka heka zote, sioni mention ya Baba wa Thabeet - vipi, hayupo?
ReplyDeleteHello HATERS...could you please leave this kid alone? Let him and his mom and family enjoy the spotlight. He deserves it. He's done some terrific to get to where he is. Let him wear diamond earrings, let him wear whatever...he's worked hard for everything he has..he's earned it.
ReplyDeleteHasheem, I know you are a good kid and well grounded, and I can't wait to come cheer for you at the Target Center.
Go Hasheem!
Phatlorenzo, MN
McZobizobi, TULIA! TULIA!
ReplyDeletesijui hapo tukuelewe vipi!? Kikwete ana mtoto wa kike lakini ni mdogo sana na amemaliza U-Daktari last year, hawawezi kupikika!? taratibu unakuja kasi.
alafu pale, heleni hazina tatizo na mwezi wa ramazani umeisha..
dogo umeniabisha sana sijui n'taificha wapi hii aibu!?
= = =
Buffalo, (karibia na nyumba mpya ya kina-Hasheem.)
New York
Mbona kwenye profile ya Hasheem inasema ana dada mmoja Sham, sijui ndio yupi hapo! nadhani ndio huyo mdogo, na mwingine ni nani huyo?
ReplyDeleteJamani, hivi nyinyi wachovi msioisha kuosha midomo yenu inayonuka hamchoki?? Kwani HASHIM ALITEULIWA NA JESUS CHRIST?? Tunampa hongera kwa sababu he has been playing and showed that he is different than millions of kids who have been trying to get into NBA! Hatuna haja yakusubiri mpaka acheze ameisha cheza na ndiyo maana wazungu wenye akili timamu na upeo wa mawazo wamemchagua. Sasa nyinyi mnaotalk negative about every achievement ya mtu mwingine bora mtafute na nyinyi vipaji mlivyo navyo na kuvionyesha ili wafadhili wawaone. Are you all trying to challenge all these coaches and people who picked him? Kama unakaa marekani you do know what it takes for anybody to be picked in the school team, lazima uwe na nidhamu ya juu, hakuna kuleta makarai, shule lazima ipande hivyo kama hamjui sysstem ya huku STATES BETTER ASK HOW DID THEY PICK HASHEEM SOMEBODY WILL EXPLAIN TO YOU WABONGO'S WENYE KUKOSOA EVERY GOOD THINGS, PRAISE THIS BOY AND LET HIM ENJOY HIS HARD WORK. HE HAS DONE IT!!!! I ASSURE YOU HATADONDOKA SUBIRINI! NINA MKATABA WA MWANANGU NILIOPEWA NI-SIGN FOR HIM TO BE IN HIS SCHOOL TEAM AND I CAN TELL YOU IT TAKE A LOT OF SACIFICE KWA WATOTO KAMA HAWA AMBAO WANAAMUA KUJIHUSISHA NA MICHEZO WAKIWA BADO MASHULENI. HONGERA HASHEEM NA TUNAKUSUBIRI TUJE TUKUONE LIVE UKITESA UWANJANI! GO HASHEEM!!!!!!!!!!!!!HONGERA BABA.
ReplyDeleteMAMA FULANI, U.S.A.
we mdau wa h-town umetuma comment on the 19th of Aug, you are such a hater tena wewe ni mwanaume unayemwonea mwanaume mwenzako wivu..Eti Hasheem is ugly, wivu kaka, kijana mzuri na atachukua demu wako huna mpango wee..ushaanza kuogopa maana demu wako labda anatamani kuwa na mtu maarufu km Hasheem sasa unaona wivu maana huna chochote..Hasheem atafika mbali, Mungu atamsaidia..mnamsimanga bila sababu, na hizi comment hana muda nazo..
ReplyDeleteHasheem asome haya matakataka tunaandika huo muda atoe wapi? havimuumizi mnapoteza muda wenu..kacheze mdako na wewe uingie kwenye ligi ya mbagala..
Yeye anakula na kina Kobe Bryant na wamarekani wengine wenye pesa zao ambao wewe utaishia tu kuwaona kweye luninga..
aingie msikitini akafanye nini na yeye ana hela watu wanajua kuingia msikitini wanaingia masikini ili waombe msaada kwa Allah ili na wao wapate la hii imewekwa ni amri tajiri kwa masikini walemavu,wazee kwa vijana Inshallah M/Mungu amuwezeshe apate kuingia.
ReplyDelete