Kaka Michuzi heshima yako,
Pole na majukumu ya kila siku na hongera sana kwa juhudi zako za kutupasha habari za hapa na pale. Mungu akubariki.
Ndugu wadau, katika pita pita zangu za shughuli za kijamii, nilikutana na hoja ambayo naomba mnisaidie kuiweka bayana kama ni kweli au vinginevyo.
Je, Ni kweli kwamba mume na mke wakilala kitanda kimoja na kutumia shuka moja wakajifunika gubigubi, ikatokea mke akatoa ushuzi wakati wakiwa wamejifunika. Je, ni kweli yule mume atakuwa zezeta?
Yaani tokea hapo mke atakuwa ndio mwenye sauti kwenye familia?
Asante na nawatakia shughuli njema.
Mdau Marangu


Naona busara za mkuu wa wilaya ya nanihii ziko zekesheni.
ReplyDeleteSerikali za watu wengine kichwani bwana!
ReplyDeleteMbona kama zinaenda riverse hivi?
Inakuwaje kama huyo mwanaume ndiye alieachia shuzi hilo? Mbona wanandoa huwa wanaachiana mashuzi kwa sana tu kunako bedtime, na tena basi kila mmoja alishakariri harufu ya shuzi la mwenzie! Ikitokea umetoa lenye harufu tafauti inabidi ueleze umekula nini na wapi! Hayo mashuzi mbona ni sehemu ya chombezo la wahusika hao.
ReplyDeleteWatu wanadiscuss issue za maana kwenye topics za bei za nyumba na ufisadi airport tz, then wewe unakuja na habari zako eti mkeo kakujambia kwenye shuka kweli we bonge la kilaza na ushakuwa zezeta kweli.What I can advice you get a real job otherwise even your housegirl will fart on you Marangu boy.
ReplyDeleteu jus try 2b funny but sadlly u are not..shame on you Attention seeker! michuzi wataka sifa kama hawa hoja zao zisizokuwa na mantiki piga kiberiti tu kaka wanakuwa wanaboa kuliko hivyo wanavyodhania kuwa labda wanachekesha
ReplyDeletekaka michu, unatubania post zetu lkn post za kipumbavu kama hizi unapost....poa...wakilisha....blog si mali yakooo....
ReplyDeletewe mwehu kitu gani? yani hiyo umeona ishu sio ya watu kudiscuss?
ReplyDeleteWATU WAMEKUWA WAKALI EEENHHH NAHISI IMEWAGUSA KUNAKO....MHHHH YANGU MACHO KWENYE HIKI KIJIKOMPYUTA CHANGU MIE...MDEBWEEEEDOOO....LETA RAHA BRO.MICHUTHIII
ReplyDeleteKIBO!
ReplyDeleteBabaangu nilipofungua blog sikutegemea kupigwa kofi!
Wewe ni muhuni na Misupu has an infectious sense of humour
Keep us cheering we love for a good and harmless laugh
Wakatabahu
Tafuta shughuli yoyote na maendeleo ufanye, acha kufikiria mambo yasiyokuwa na manufaa kwako na kwa jamii, huu ni upuuzi mtupu
ReplyDeletehuyu jamaa ni mwathirika wa ze utamu baada ya kufungiwa anatamani kuongea upupu lakini hamna sehemu anahangaika nashangaa michuzi umekubali kupost pumba hizo humu kwenye glob yetu nzuri tena ya jamii.we mangi kutoka marangu kuna blog moja inaitwa mawowowo chungulia inaweza ikakuponya.
ReplyDeletehii inawezekana endapo mume na mke wote ni wamarangu :(
ReplyDeleteMimi ni mwanamme. Mke wangu akijamba ndani ya shuka huwa ananipa nyege sana. Ni sehemu ya starehe. Hakuja jipya katika kupumua, in fact kujamba. Nawasilisha.
ReplyDeleteKUMRADHI WADAU NA HII MADA, MIMI NAOMBA NIINGILIE KATI KWA SWALI DOGO TU NA FUPI:
ReplyDeleteNimepata mpenzi mpyaaa!! Tumepeana historia na kupima pia, na sasa nataka/tumeplan kuweka wazi mambo yetu. Kitu kinachonichanganya ni kwamba mpenzi wangu ana ule mstari wa chini ya kitovu kueleke chini, amba wengi huuita IKWETA na kwa kizungu huitwa "linear 'black,'. AMENIAMBIA HAJAZAA, WALA HAJAWAHI KUWA NA MIMBA. Je, inawezekana mwanamke awe na mstari huu bila kuwa/na ama ameshika mimba? [Bro Michuzi kama inawezekana niwekee hili swali mbele, nimewahi kulileta kwa mbele ukaweka kapuni mzee].
Mallya
Sitashangaa mila na desturi za wabantu.
ReplyDeleteKuna watu wa wanaupeo mdogo sana mtu kauliza swali Mithupu ameweka, wewe unasema anamatatizo huyu na yule wa kutemea mate mkojo wanatofauti gani hizo ni kumbukumbu za kale ambazo tunapaswa kuzisikia kama hekaya wacha watu waongee Bro Michu hoyeeeeeee
ReplyDeleteMICHU, HII IME-POSTIWA NA WASAIDIZI NINI? SIO TYPE YA BLOGU HII. UNAJUA WATU WENGI MITAANI WANAPENDA MIJADALA ISIYO NA TIJA, USHIRIKINA, NGONO, MAFUMANIZI, UMBEA NA USHENZI MWINGINE. SASA WATU KAMA HAWA WAKIPATA NAFASI HII WATACHAFUA BLOGU YA JAMII.
ReplyDeleteHUYO MCHANGIA MADA WA 01h08pm INAONESHA HATA WEWE PIA NI MEMBA MKUBWA WA ZEUTAMU ULIJUAJE KINACHOENDELEA KULE BILA KUWA MUHUZULIAJI MKUBWA!!TULICHO KITAMFIRI HAPA NI KWAPA ULITAKA KUFIKISHA MESSEG KUA UMEIMISI SANA WEBSITE YENU MUIPENDAYO.
ReplyDeleteHii kali
ReplyDeletehuyu alieandika hili hana akili wala adabu. michuzi mbona unawaachia watu wapuuzi kama hawa wawakasirishe watu kwenye hii blog yako. i know it is freedom of speech lakini watu wengine wamezidi.
ReplyDeleteMdau wa Tarehe Mon Aug 17, 03:40:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous unamchunguza mno kuku huwezi kumla namna hiyo.
ReplyDeleteMaadam umeuliza lakini jibu la swali lako lipo kwenye maziwa na chuchu za huyo binti. Je, maziwa yake yanaonyesha kuwa na ukubwa unaoendana na umri alionao au yamekuwa enhanced na ujauzito katika siku za nyuma? Chuchu zake zina rangi na hali gani? Ungekuwa ulitoa picha ningeweza kukusaidia zaidi. Chuchu zisipokupa jibu inabidi uchunguze kwenye viungo vya uzazi. Hapo hakuna jibu kwa kuangalia tu, lazima uingie kiundani kufanya uchunguzi...nadhani umenielewa.
Wewe ulieleta hi post Umejambiwa sana mpaka ubongo wako umekuwa zezeta.ndo maana unatoa pumba tu kichwani.
ReplyDeletekawaida wanaume ndio hutoa mashuzi na kukoroma sana wanapolala kwani wao huwa wamechoka zaid na tena huwa manene hata mlango wapili unasikia sio wanawake kwa tarrifa yako
ReplyDeleteasante misupu napenda nimjibu huyu mwenye bibi aliyena msitari kwa tumbo usimhambulie dada wa watu mie sijawahi uzaa wala uwa na mimba lakini nina huo msitari na watu wengi wanasema ukiwa na huo msitari na pia una ndevu kidogo loh wee kiboko bahati yako na unaweza baada ya muda maisha yako aabadilika ukishamuweka ndani ni kweli anayokuambia muamini mpenzio
ReplyDeleteasante
MMMhhh!!!kakauliyetuma maoni kuhusu mchumba/sijui girlfriend uwe makini saana na upeleleze vizuri, mimi ni muuguzi tena niliyebobea katika UKUNGA,mara zoote mtu aliye na huo mstari aliisha zaa au alisha kuwa na mimba hapo nyuuma.Labda kama ni abnormal katika maumbile yake. Pia angalia vizuri saana chuchu zake huwa nyusi saana na zilizoisha nyonywa na mtoto utazijua tu hata kama matiti yake ni madogo saana.Samahani waosha vinywa
ReplyDeleteMimi sijawahi kubeba mimba, na huo mstari niko nao, quite noticeable, tokea puberty. Watu wako tofauti eti.
ReplyDelete