Kaka Michuzi heshima yako,
Pole na majukumu ya kila siku na hongera sana kwa juhudi zako za kutupasha habari za hapa na pale. Mungu akubariki.
Ndugu wadau, katika pita pita zangu za shughuli za kijamii, nilikutana na hoja ambayo naomba mnisaidie kuiweka bayana kama ni kweli au vinginevyo.
Je, Ni kweli kwamba mume na mke wakilala kitanda kimoja na kutumia shuka moja wakajifunika gubigubi, ikatokea mke akatoa ushuzi wakati wakiwa wamejifunika. Je, ni kweli yule mume atakuwa zezeta?
Yaani tokea hapo mke atakuwa ndio mwenye sauti kwenye familia?
Asante na nawatakia shughuli njema.
Mdau Marangu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 26 mpaka sasa

  1. Naona busara za mkuu wa wilaya ya nanihii ziko zekesheni.

    ReplyDelete
  2. Serikali za watu wengine kichwani bwana!
    Mbona kama zinaenda riverse hivi?

    ReplyDelete
  3. Inakuwaje kama huyo mwanaume ndiye alieachia shuzi hilo? Mbona wanandoa huwa wanaachiana mashuzi kwa sana tu kunako bedtime, na tena basi kila mmoja alishakariri harufu ya shuzi la mwenzie! Ikitokea umetoa lenye harufu tafauti inabidi ueleze umekula nini na wapi! Hayo mashuzi mbona ni sehemu ya chombezo la wahusika hao.

    ReplyDelete
  4. Watu wanadiscuss issue za maana kwenye topics za bei za nyumba na ufisadi airport tz, then wewe unakuja na habari zako eti mkeo kakujambia kwenye shuka kweli we bonge la kilaza na ushakuwa zezeta kweli.What I can advice you get a real job otherwise even your housegirl will fart on you Marangu boy.

    ReplyDelete
  5. u jus try 2b funny but sadlly u are not..shame on you Attention seeker! michuzi wataka sifa kama hawa hoja zao zisizokuwa na mantiki piga kiberiti tu kaka wanakuwa wanaboa kuliko hivyo wanavyodhania kuwa labda wanachekesha

    ReplyDelete
  6. kaka michu, unatubania post zetu lkn post za kipumbavu kama hizi unapost....poa...wakilisha....blog si mali yakooo....

    ReplyDelete
  7. we mwehu kitu gani? yani hiyo umeona ishu sio ya watu kudiscuss?

    ReplyDelete
  8. WATU WAMEKUWA WAKALI EEENHHH NAHISI IMEWAGUSA KUNAKO....MHHHH YANGU MACHO KWENYE HIKI KIJIKOMPYUTA CHANGU MIE...MDEBWEEEEDOOO....LETA RAHA BRO.MICHUTHIII

    ReplyDelete
  9. KIBO!
    Babaangu nilipofungua blog sikutegemea kupigwa kofi!
    Wewe ni muhuni na Misupu has an infectious sense of humour
    Keep us cheering we love for a good and harmless laugh
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  10. Tafuta shughuli yoyote na maendeleo ufanye, acha kufikiria mambo yasiyokuwa na manufaa kwako na kwa jamii, huu ni upuuzi mtupu

    ReplyDelete
  11. huyu jamaa ni mwathirika wa ze utamu baada ya kufungiwa anatamani kuongea upupu lakini hamna sehemu anahangaika nashangaa michuzi umekubali kupost pumba hizo humu kwenye glob yetu nzuri tena ya jamii.we mangi kutoka marangu kuna blog moja inaitwa mawowowo chungulia inaweza ikakuponya.

    ReplyDelete
  12. guna kigugumiziAugust 17, 2009

    hii inawezekana endapo mume na mke wote ni wamarangu :(

    ReplyDelete
  13. Mimi ni mwanamme. Mke wangu akijamba ndani ya shuka huwa ananipa nyege sana. Ni sehemu ya starehe. Hakuja jipya katika kupumua, in fact kujamba. Nawasilisha.

    ReplyDelete
  14. KUMRADHI WADAU NA HII MADA, MIMI NAOMBA NIINGILIE KATI KWA SWALI DOGO TU NA FUPI:

    Nimepata mpenzi mpyaaa!! Tumepeana historia na kupima pia, na sasa nataka/tumeplan kuweka wazi mambo yetu. Kitu kinachonichanganya ni kwamba mpenzi wangu ana ule mstari wa chini ya kitovu kueleke chini, amba wengi huuita IKWETA na kwa kizungu huitwa "linear 'black,'. AMENIAMBIA HAJAZAA, WALA HAJAWAHI KUWA NA MIMBA. Je, inawezekana mwanamke awe na mstari huu bila kuwa/na ama ameshika mimba? [Bro Michuzi kama inawezekana niwekee hili swali mbele, nimewahi kulileta kwa mbele ukaweka kapuni mzee].

    Mallya

    ReplyDelete
  15. Sitashangaa mila na desturi za wabantu.

    ReplyDelete
  16. Kuna watu wa wanaupeo mdogo sana mtu kauliza swali Mithupu ameweka, wewe unasema anamatatizo huyu na yule wa kutemea mate mkojo wanatofauti gani hizo ni kumbukumbu za kale ambazo tunapaswa kuzisikia kama hekaya wacha watu waongee Bro Michu hoyeeeeeee

    ReplyDelete
  17. MICHU, HII IME-POSTIWA NA WASAIDIZI NINI? SIO TYPE YA BLOGU HII. UNAJUA WATU WENGI MITAANI WANAPENDA MIJADALA ISIYO NA TIJA, USHIRIKINA, NGONO, MAFUMANIZI, UMBEA NA USHENZI MWINGINE. SASA WATU KAMA HAWA WAKIPATA NAFASI HII WATACHAFUA BLOGU YA JAMII.

    ReplyDelete
  18. HUYO MCHANGIA MADA WA 01h08pm INAONESHA HATA WEWE PIA NI MEMBA MKUBWA WA ZEUTAMU ULIJUAJE KINACHOENDELEA KULE BILA KUWA MUHUZULIAJI MKUBWA!!TULICHO KITAMFIRI HAPA NI KWAPA ULITAKA KUFIKISHA MESSEG KUA UMEIMISI SANA WEBSITE YENU MUIPENDAYO.

    ReplyDelete
  19. huyu alieandika hili hana akili wala adabu. michuzi mbona unawaachia watu wapuuzi kama hawa wawakasirishe watu kwenye hii blog yako. i know it is freedom of speech lakini watu wengine wamezidi.

    ReplyDelete
  20. Mdau wa Tarehe Mon Aug 17, 03:40:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous unamchunguza mno kuku huwezi kumla namna hiyo.
    Maadam umeuliza lakini jibu la swali lako lipo kwenye maziwa na chuchu za huyo binti. Je, maziwa yake yanaonyesha kuwa na ukubwa unaoendana na umri alionao au yamekuwa enhanced na ujauzito katika siku za nyuma? Chuchu zake zina rangi na hali gani? Ungekuwa ulitoa picha ningeweza kukusaidia zaidi. Chuchu zisipokupa jibu inabidi uchunguze kwenye viungo vya uzazi. Hapo hakuna jibu kwa kuangalia tu, lazima uingie kiundani kufanya uchunguzi...nadhani umenielewa.

    ReplyDelete
  21. Wewe ulieleta hi post Umejambiwa sana mpaka ubongo wako umekuwa zezeta.ndo maana unatoa pumba tu kichwani.

    ReplyDelete
  22. kawaida wanaume ndio hutoa mashuzi na kukoroma sana wanapolala kwani wao huwa wamechoka zaid na tena huwa manene hata mlango wapili unasikia sio wanawake kwa tarrifa yako

    ReplyDelete
  23. asante misupu napenda nimjibu huyu mwenye bibi aliyena msitari kwa tumbo usimhambulie dada wa watu mie sijawahi uzaa wala uwa na mimba lakini nina huo msitari na watu wengi wanasema ukiwa na huo msitari na pia una ndevu kidogo loh wee kiboko bahati yako na unaweza baada ya muda maisha yako aabadilika ukishamuweka ndani ni kweli anayokuambia muamini mpenzio
    asante

    ReplyDelete
  24. MMMhhh!!!kakauliyetuma maoni kuhusu mchumba/sijui girlfriend uwe makini saana na upeleleze vizuri, mimi ni muuguzi tena niliyebobea katika UKUNGA,mara zoote mtu aliye na huo mstari aliisha zaa au alisha kuwa na mimba hapo nyuuma.Labda kama ni abnormal katika maumbile yake. Pia angalia vizuri saana chuchu zake huwa nyusi saana na zilizoisha nyonywa na mtoto utazijua tu hata kama matiti yake ni madogo saana.Samahani waosha vinywa

    ReplyDelete
  25. Mimi sijawahi kubeba mimba, na huo mstari niko nao, quite noticeable, tokea puberty. Watu wako tofauti eti.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...