

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii ndio power ya hijab.
ReplyDeleteMichuzi hapo hakuweza kupachika mikonozz kama kawaida yake.hahaha
Dada uliyevaa hijab nakupongeza.Kweli mavazi ni statement!
(US Blogger)
Jamaa alikuwa mnazi wa Yanga ile mbaya!! Mpaka MOGELA siku mmoja uzalendo ukamshinda
ReplyDeleteuncle sam unatoa shavu tuu la sangara sana tuu mnooo
ReplyDeleteNafurahi sana ninapowasikia/kuwasoma watu waliokuwa Dar na kurudi walikozaliwa kuendeleza libeneke kama James Nhende. Leo Gazeti la Raia Mwema lina habari ya David Ngonya aliyekuwa boss wa NIC lakini sasa yupo TUKUYU Mbeya na mambo yake Mswano sana. Wapo kina Edwin Mtei (yupo Arusha)Phillip Mang'ula, na wengineo wengi. Naomba baadhi uya vizee vikishastaafu virejee vijijini na kuwapa vijana nafasi ya ajira, badala ya kuendelea kuomba mikataba au kuomba tenda hapa na pale. Utawagundua tuu kwa vibegi vyao waviwekavyo mikwapani. Nawasilisha.
ReplyDeleteHey Kaka James! Nafurahi kukona! Wakati ule gazeti la Mfanyakazi ulikuwa gazeti hasa. Watu walikuwa wanaingojea kwa hamu kila jumamosi. Wakati huo magazeti yalikuwa Uhuru na Daily News tu. Keep it up Kaka James!
ReplyDelete