Home
Unlabelled
bao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Basi zamani wakati niko mdogo nilikuwa nawaogopa hawa washkaji, na vile nasoma vitabuni eti wanaua simba kwa mkuki sijui, Duh
ReplyDeleteNakuja town si nawakuta wanasuka madada nikachoka kabisa, kumbe ni watu laini hivi!!
"wengi wa wadau hawa hujishughulisha na kazi za ulinzi na saa zingine ususi wa nywele hasa za kinamama aina ya rasta"
ReplyDeleteTungo hii si kweli hasilani hadi hapo itakapothibitishwa kwa takwimu za utafiti kuonyesha kuwa zaidi ya 50% ya 'population' ya Wadau hao ni walinzi na wasusi.
this shows highest number of unemployment that's why they have time to spend on playing bao, JK you need to sort this problem asap otherwise you will regret.
ReplyDeleteNaWaKiLiShA.
Mmmh haya bwana kutokana na picha hiyo inaonekana wakimaliza huo mchezo wa vishimo+mawe(sijui jina lake) watatumia hivyo vijiti hapo pembeni kucheza rede(mchezo wa mabinti wadogo) au watafanya relay maana hao ndo wenyewe.
ReplyDeleteHIYO NI MOJAWAPO YA TASWIRA MBALIMBALI KTK NCHI YETU!