Home
Unlabelled
big brother africa IV female housemates
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh!!! Huyo wa zimbabwe mzuri. huwezi amini katokea kwa mzee mugabe. kikweli hafananii na zimbabwe.
ReplyDeleteBro. Michu, huo mpini wa Mozambique sio masihara. Huwezi amini kuwa kuna kimwana mkali namna hii huko Nchumbiji.
ReplyDeleteAma kweli kila mmoja na ugonjwa wake wa kupenda, hapo nimemvutia taswira ile ya kuwa naye peke yetu kwenye faragha ya usiku kucha.
Mzamo wa nini?
ReplyDeletedaah huyo paloma wa zambia mie nasubiri siku atakayo vaa swim wear manake kila kona yake imejaa big mama na kajaliwa kile wapendacho waume wa bongo shuuuu
ReplyDeletemambo kwelikweli big dadaz
Wote wabaya ukiondoa Elizabet wetu na Liz
ReplyDeleteWeeee acha , nipe Paloma wa Zambia , ni saizi yangu!
ReplyDeleteHivi ni lazima kila anayeingia kwenye hii kitu awe mbaya?
ReplyDeleteyote tisa Angola kumekucha
ReplyDeleteTukiacha uzalendo, mimi ningeshabikia Mozambique!! Sio mchezo Msumbiji.
ReplyDeleteDuuh! Malawi inabidi tufanye Gender verification kama yule mwanariadha wa South Africa.
ReplyDeleteMichuzi well done bro coz it is always a pleasure kusoma blog hii,especially comments they always make my day,mwenye enzi mungu akujalie zaidi Inshaalh,mbona hukutoa habari za msiba wa Jenearali Luhanga sisi wa mbali ndo twategemea hapa kwa taarifa za huko nyumbani tuwekee hata picha tu za mazishi ikiwezekana tafadhali.
ReplyDeleteOn this mada although tunambiwa jisifie ili usifiwe,inabidi tuseme ukweli mdada wa mozambique is cute... followed by zim gal hao wengine icluding wa kwetu... du no comment ila kila la kheri kwao wote.
Watu mnapenda kudanganyika na picha aisee! yaleyale ya photo point mtu unakuwa mashallah lakin kutana nae live duh!
ReplyDeletehamna lolote yan, may be huyo wa mozambique lakin zimb etc hamna kitu
hata wetu yuko poa sana tu kama hamlitambui hilo na angola bt nahis sio photogenic atiii
ni mtazamo tu.
Bro Michu, mie nimempenda sana Jen from Mozambique, huyu demu ni mzuri sana
ReplyDeleteMOZAMBIQUE NDIO KIBOKO YA WOTE HAPO.
ReplyDeleteDuh!! Hii ngoma ya Mozambique inatisha kabisaa,,mimi namzimia kikweli.Hivi mpaka ushindie hicho kitita cha pesa hasa wanaangalia nini? nisaidie wadau,,kama urembo! baasi huyu wakwetu ataangushwa kwahii ngoma ya Moz...na Zimbabwe na Angola?allahwakball.
ReplyDeleteHuyu wa Tanzania hana nyonyo nzuli, pengine yuko bombazzz,,titi zimesha boaaazzz.Sijui mpini mwingi?duh! usinipige michuziii.
ReplyDeleteElizabeth, umeanza vizuri,nimependa mbinu zako,za kuwasoma kwanza wenzio na ndio maana ya huu mchezo endelea kuwa cool kiaina kama mwisho na Richard walivyofanya wakakaa mpaka mwisho.keep it up you are doing good so far! and I'm so sure that you'll pull through this week.We are behind you!!!
ReplyDeleteElizabeth, you are the bomb!!! tuwakilishe vizuri!!!!
ReplyDeleteangalie mtoto kutoka Namibia utajua watu wahuko wana..nimesahau.
ReplyDeleteYeah wadau kweli mdada wa Mozambique is cute lakini hata wa kwetu ana uzuri wake siyo mbaya,halafu kama kasoma kibosho girls vile?
ReplyDeletehivi kwanini wabongo wengi kigezo cha rangi kinamata sana kwenye uzuri au urembo??na hili nimeliona siku nyingi sana na lipo sana miongoni mwetu kila cheupe basi kitaonekana ndio bora imefikia steji hata wazazi wanampendelea yule mtoto mwenye rangi ingĂ ayo kuwazidi wenzie NAJUA MTANITIA VIDOLE VYA MACHO LKN JIPU NSHALIPASUA ACHENI ULIMBUKENI BLACK IS BEAUTY FIKRA ZA KITWANA HIZO
ReplyDeletemajirani zetu wako wapiii????
ReplyDeletemajirani wameleta wanaume mmoja ameshatoka amebaki mmoja wa kuitwa JEREMY.EMMA wa ANGOLA mtoto analipa tatizo kicheche anahamu ya sana ya kukutana na washiriki wa kiume.
ReplyDeletewa kwetu yupo bomba pia sana tuu!uongo mbaya!
ReplyDelete