ELIZABETH - TANZANIA
EDNA - ANGOLA

EMMA - ANGOLA

GERALDINE - NIGERIA
JEN - MOZAMBIQUE
KRISTAL - ZIMBABWE
LIZ - SOUTH AFRICA
MAGGIE - ZAMBIA

MZAMO - MALAWI
NKENNA - NIGERIA
PALOMA - ZAMBIA
RENE - NAMIBIA












Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. Duh!!! Huyo wa zimbabwe mzuri. huwezi amini katokea kwa mzee mugabe. kikweli hafananii na zimbabwe.

    ReplyDelete
  2. Matari, North CarolineSeptember 16, 2009

    Bro. Michu, huo mpini wa Mozambique sio masihara. Huwezi amini kuwa kuna kimwana mkali namna hii huko Nchumbiji.
    Ama kweli kila mmoja na ugonjwa wake wa kupenda, hapo nimemvutia taswira ile ya kuwa naye peke yetu kwenye faragha ya usiku kucha.

    ReplyDelete
  3. Mzamo wa nini?

    ReplyDelete
  4. daah huyo paloma wa zambia mie nasubiri siku atakayo vaa swim wear manake kila kona yake imejaa big mama na kajaliwa kile wapendacho waume wa bongo shuuuu
    mambo kwelikweli big dadaz

    ReplyDelete
  5. Wote wabaya ukiondoa Elizabet wetu na Liz

    ReplyDelete
  6. Weeee acha , nipe Paloma wa Zambia , ni saizi yangu!

    ReplyDelete
  7. Hivi ni lazima kila anayeingia kwenye hii kitu awe mbaya?

    ReplyDelete
  8. yote tisa Angola kumekucha

    ReplyDelete
  9. Tukiacha uzalendo, mimi ningeshabikia Mozambique!! Sio mchezo Msumbiji.

    ReplyDelete
  10. Duuh! Malawi inabidi tufanye Gender verification kama yule mwanariadha wa South Africa.

    ReplyDelete
  11. Michuzi well done bro coz it is always a pleasure kusoma blog hii,especially comments they always make my day,mwenye enzi mungu akujalie zaidi Inshaalh,mbona hukutoa habari za msiba wa Jenearali Luhanga sisi wa mbali ndo twategemea hapa kwa taarifa za huko nyumbani tuwekee hata picha tu za mazishi ikiwezekana tafadhali.

    On this mada although tunambiwa jisifie ili usifiwe,inabidi tuseme ukweli mdada wa mozambique is cute... followed by zim gal hao wengine icluding wa kwetu... du no comment ila kila la kheri kwao wote.

    ReplyDelete
  12. Watu mnapenda kudanganyika na picha aisee! yaleyale ya photo point mtu unakuwa mashallah lakin kutana nae live duh!
    hamna lolote yan, may be huyo wa mozambique lakin zimb etc hamna kitu

    hata wetu yuko poa sana tu kama hamlitambui hilo na angola bt nahis sio photogenic atiii
    ni mtazamo tu.

    ReplyDelete
  13. Bro Michu, mie nimempenda sana Jen from Mozambique, huyu demu ni mzuri sana

    ReplyDelete
  14. MOZAMBIQUE NDIO KIBOKO YA WOTE HAPO.

    ReplyDelete
  15. Duh!! Hii ngoma ya Mozambique inatisha kabisaa,,mimi namzimia kikweli.Hivi mpaka ushindie hicho kitita cha pesa hasa wanaangalia nini? nisaidie wadau,,kama urembo! baasi huyu wakwetu ataangushwa kwahii ngoma ya Moz...na Zimbabwe na Angola?allahwakball.

    ReplyDelete
  16. Huyu wa Tanzania hana nyonyo nzuli, pengine yuko bombazzz,,titi zimesha boaaazzz.Sijui mpini mwingi?duh! usinipige michuziii.

    ReplyDelete
  17. Elizabeth, umeanza vizuri,nimependa mbinu zako,za kuwasoma kwanza wenzio na ndio maana ya huu mchezo endelea kuwa cool kiaina kama mwisho na Richard walivyofanya wakakaa mpaka mwisho.keep it up you are doing good so far! and I'm so sure that you'll pull through this week.We are behind you!!!

    ReplyDelete
  18. Elizabeth, you are the bomb!!! tuwakilishe vizuri!!!!

    ReplyDelete
  19. angalie mtoto kutoka Namibia utajua watu wahuko wana..nimesahau.

    ReplyDelete
  20. Yeah wadau kweli mdada wa Mozambique is cute lakini hata wa kwetu ana uzuri wake siyo mbaya,halafu kama kasoma kibosho girls vile?

    ReplyDelete
  21. hivi kwanini wabongo wengi kigezo cha rangi kinamata sana kwenye uzuri au urembo??na hili nimeliona siku nyingi sana na lipo sana miongoni mwetu kila cheupe basi kitaonekana ndio bora imefikia steji hata wazazi wanampendelea yule mtoto mwenye rangi ingĂ ayo kuwazidi wenzie NAJUA MTANITIA VIDOLE VYA MACHO LKN JIPU NSHALIPASUA ACHENI ULIMBUKENI BLACK IS BEAUTY FIKRA ZA KITWANA HIZO

    ReplyDelete
  22. majirani zetu wako wapiii????

    ReplyDelete
  23. majirani wameleta wanaume mmoja ameshatoka amebaki mmoja wa kuitwa JEREMY.EMMA wa ANGOLA mtoto analipa tatizo kicheche anahamu ya sana ya kukutana na washiriki wa kiume.

    ReplyDelete
  24. wa kwetu yupo bomba pia sana tuu!uongo mbaya!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...