mazishi ya medi mpakanjia leo katika makaburi ya kisutu, dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Allah Akbar!

    ReplyDelete
  2. R.I.P Meddy

    ReplyDelete
  3. R.I.P brother Meddy

    Mkulima-Kijijini Gezaulole.

    ReplyDelete
  4. Inna lilah wa inna ilaihi Rajiun...Hakika kwake twatoka na kwake ni marejeo.Kaka Michuzi hata Takbira umeshindwa kuivuta basi?Halafu kaburi si nyumba ya milele kama ulivyonadi ni kituo katika vituo ama kituo cha Jahanam au Peponi(Al Janna).Tunamuombea Medi Maghfira kwa Allah amsamehe madhambi yake Amin
    Ngwi'zukulu wa Mwinamila

    ReplyDelete
  5. Poleni sana wafiwa haswa watoto or mtoto mdogo aliyeachwa Mungu mwenyew ndiye atayemlinda. Jamani nina swali moja mimi nimekuwa nje ya nchi zaidi ya miaka 10. Hivi huyu Mpakanjia yeye anawadhifa gani? kwani inaelekea ni mtu maarufu sana Tanzania, najua alikuwa mume wa maremu Amina Chifupa ndio wadhifa huo tu au na yeye anawakwake binafsi??

    ReplyDelete
  6. Nawewe watasimulia hivyoiyo

    ReplyDelete
  7. Inalilah waina ilah rajiun.

    Mwenyezi Mungu akuweke mahali pema peponi kaka Medy.

    Pole sana Rahman kwa kuwa yatima mdogo wangu.

    wafiwa wote poleni sana na Mungu awape uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.

    Amina

    ReplyDelete
  8. miaka kumi kinachokufanya ushindwe kurudi kwenu ni nini?njoo kwenu utayajua mengi tuu,sidhani hata kama unawajua watoto wa dada zako na kaka zako waliozaliwa miaka sita iliyopita,hebu fanya urudi kwenu uje kusalimia sio vizuri.kwenu unapakumbuka kweli?

    ReplyDelete
  9. Did u ever stop for a while n asked yaself wat is going to happen the fisrt night in ya grave? Friends n family will cry but they will left u alone, u cant afford to ignore this, u need to remember this every time you are about to commit a sin…remember destroyer of pleasure “DEATH”

    ReplyDelete
  10. anony Wed Sep 16, 10:00:00 AM, ebu chukua tano manake kuna watu wana mbwembwe hadi kwenye blog.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...