GLOBU YA JAMII IS WISHING WADAU WOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOTE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Kaka na miye nasema Idd Mubarak, kwako na kwa wadau wenzangu wote wa blog ya jamii plus WATZ wenzangu kokote duniani. Kutoka kwako naitikia minal-faidhina ukiona kimya ujue sina atii. Karibuni DC wadau tule Eid El- Fitr.

    ReplyDelete
  2. HAPPY EID TO YOU TOO DADY AND HAVE A LOVELY DAY...;- )

    ReplyDelete
  3. Minal Faidhin!!!!!!! Napenda niwatakie waislam wot na watanzania wote kwa ujumla Heri ya sikukuu ya Eid elfitri. Tunamshukuru Allah tumemaliza salama mwezi mtukufu wa ramadhani! Karibu tena mwakani!

    ReplyDelete
  4. Mimi napenda kuwapa pongezi wadau wote na kwa eid nyema popote pale walipo.
    ndambe.

    ReplyDelete
  5. Minal-Faidhin, nawatakia Waislamu Wote Eid Mubarak haswa mama yangu! She fasted with all diligence of heart. Bless her!

    Mdau

    ReplyDelete
  6. NAWE MHESHIMIWA EID MUBARAK
    PIA EID MUBARAK KWA WADAU WOTE
    ALLAH AKUBALI AMALI ZETU NA FUNGA ZETU AMIN
    NAOMBA MHESHIMIWA NITOE HOJA:
    TAFADHALI TENGENEZA UKURASA WA WADAU KUTUMIANA SALAMU ILI PIA IWE NAFASI YA KUTAFUTANA TULIPOTEANA
    AHSANTE SANA
    FURAHA YA EID
    Mdau
    UKEREWE

    ReplyDelete
  7. yakhe bila shaka, Nawapa mkono wa IDD wadau wote.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...