Home
Unlabelled
EID MUBARAK
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante na wewe EID MUBARAK.
ReplyDeleteKaka na miye nasema Idd Mubarak, kwako na kwa wadau wenzangu wote wa blog ya jamii plus WATZ wenzangu kokote duniani. Kutoka kwako naitikia minal-faidhina ukiona kimya ujue sina atii. Karibuni DC wadau tule Eid El- Fitr.
ReplyDeleteHAPPY EID TO YOU TOO DADY AND HAVE A LOVELY DAY...;- )
ReplyDeleteMinal Faidhin!!!!!!! Napenda niwatakie waislam wot na watanzania wote kwa ujumla Heri ya sikukuu ya Eid elfitri. Tunamshukuru Allah tumemaliza salama mwezi mtukufu wa ramadhani! Karibu tena mwakani!
ReplyDeleteMimi napenda kuwapa pongezi wadau wote na kwa eid nyema popote pale walipo.
ReplyDeletendambe.
Minal-Faidhin, nawatakia Waislamu Wote Eid Mubarak haswa mama yangu! She fasted with all diligence of heart. Bless her!
ReplyDeleteMdau
NAWE MHESHIMIWA EID MUBARAK
ReplyDeletePIA EID MUBARAK KWA WADAU WOTE
ALLAH AKUBALI AMALI ZETU NA FUNGA ZETU AMIN
NAOMBA MHESHIMIWA NITOE HOJA:
TAFADHALI TENGENEZA UKURASA WA WADAU KUTUMIANA SALAMU ILI PIA IWE NAFASI YA KUTAFUTANA TULIPOTEANA
AHSANTE SANA
FURAHA YA EID
Mdau
UKEREWE
yakhe bila shaka, Nawapa mkono wa IDD wadau wote.
ReplyDelete