leo anko nanihii kakaribishwa futari na kaka yake anayeishi marekani na aliye vekesheni bongo, braza khamsin (kulia) na mai waifu wake asia idarous-khamsin. hapo wakiwa wanapata mahanjumati ya mwisho mwisho pamoja na mdau wa st. louis
kinamama wakifutari nyumbani kwa braza khamsin na asia idarous-khamsin
anko nanihii na waalikwa na mwenjeji wao braza khamsin
raha ya futari ni kufuturu wengi kwa pamoja, wallahi tena...




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Kaka khamsini nifurahi kukuona ni miaka mingi sasa , vipi mtoto wako aliyekuwa anacheza soka daraja la kwanza sweden miaka ya 90's yuko wapi?manake magazeti ya kiswidi yalikuwa yanakuongelea sana kwamba baba ake ni mtanzania
    mdau Arlington, VA

    ReplyDelete
  2. VIJISWAHILI VIPYA MITAANI:----

    1-ANAKANUMBA KWELI KWELI--- YAANI KIINGLISHI CHAKE KIBOVU KWELI

    2. ANAMASHAKA KWELI KWELI--- ANATEMA KIINGLISHI KWELI KWELI

    ReplyDelete
  3. Matari, New Albany, OhioSeptember 19, 2009

    Hivi ni kweli Anko huwezi kupinda goti eti kwa sababu hukuzowea????
    Shame on you Anko, mmatumbi gani asiyejua kupiga goti wakati wa futari au pilau la harusini.

    ReplyDelete
  4. Tatizo Michuzi ukawii kwenda kwenye mialiko kama hii na Pilipili mfukoni. Au ikishindikana kabisa Ndizi mfukoni.

    ReplyDelete
  5. bro kuna wadau huwa wanausiliza eti wewe ni dini gani labda ubebe na bango

    ReplyDelete
  6. ze fulanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaz,
    bado ze konooooooooooooooooooooz.

    ReplyDelete
  7. poa,msalimie mai braza wako

    ReplyDelete
  8. samahani sana ni mwezi mtukufu wa ramadhani sina nia mbaya lakini nimegunduawanawake wengi wa kiislam wanapenda sana kujibundika mahina lakini majumbani kwao wa chafu, nimeshaona wengi sana kama hii nyumba ya huyo dada mbwembwe zake ni nyingi sana lakini homo ndani anahitaji make over.

    ReplyDelete
  9. we mdau wa sept 19 1:22 pm jaribu kuwa na heshima au jaribu kuangalia maneno ya kutumia saa nyingine.kuna tofauti kubwa kati ya nyumba kuwa chafu na nyumba kuitaji make over.sasa hizo picha nne hapo naweza kukubaliana na wewe kwamba nyumba inahitaji make over lakini sikubaliani na wewe kwamba nyumba ni chafu.

    ReplyDelete
  10. Mnyamwezi khamsini kutoa sikonge wsuuuup maaaan!!

    ReplyDelete
  11. Sasa wewe mdau unayesema nyumba chafu si kweli, sema tu nyumba inaonekana imebanana na ina vitu vingi and that's all labda wewe kwa kuhofia jina la dada mwenye nyumba ulifikiria utaona mambo ya flat screen tv or flat desk top, kumbuka jasili haachi asili yake.Huyu dada hata kama anamabilioni benki kama Oprah hawezi kufanya mambo kama unavyodhania kama anakaa uswazi i.e anafanya kama wataliano wafanyavyo...so next time don't judge the book by it's cover my brodha.
    mdau kariakoo

    ReplyDelete
  12. Mimi kwa kweli misupu ananiudhi sana, ukipost kitu hawaki lakini vitu ambavyo yeye yuko kwenye picha anatuwekea sijui ndiyo kuuza sura!!!!

    ReplyDelete
  13. kwanza mi nauliza kwa usalama gani hapo bongo uweke mavitu ya thamani ndani! ukae roho juu tuu hiyo simu tu ukiwa nayo ya bei mbaya basi ujue unatembea na hofu kama Israil kakupigia simu niko njiani sembuse uweke siju Flat screen tv sijui nini. hivyo2 dada achana na wasukutuaji vinywa!

    ReplyDelete
  14. Mdau juu umesema eti wanawake wa kiislam wana"bundika" mahina na ni wachafu?????????????? better get your facts straight before starting your verbal diarrhoea!

    ReplyDelete
  15. ze fulanazzz

    ze chakulazzz,duh shemejio kumbe idarous??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...