

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka khamsini nifurahi kukuona ni miaka mingi sasa , vipi mtoto wako aliyekuwa anacheza soka daraja la kwanza sweden miaka ya 90's yuko wapi?manake magazeti ya kiswidi yalikuwa yanakuongelea sana kwamba baba ake ni mtanzania
ReplyDeletemdau Arlington, VA
VIJISWAHILI VIPYA MITAANI:----
ReplyDelete1-ANAKANUMBA KWELI KWELI--- YAANI KIINGLISHI CHAKE KIBOVU KWELI
2. ANAMASHAKA KWELI KWELI--- ANATEMA KIINGLISHI KWELI KWELI
Hivi ni kweli Anko huwezi kupinda goti eti kwa sababu hukuzowea????
ReplyDeleteShame on you Anko, mmatumbi gani asiyejua kupiga goti wakati wa futari au pilau la harusini.
Tatizo Michuzi ukawii kwenda kwenye mialiko kama hii na Pilipili mfukoni. Au ikishindikana kabisa Ndizi mfukoni.
ReplyDeletebro kuna wadau huwa wanausiliza eti wewe ni dini gani labda ubebe na bango
ReplyDeleteze fulanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaz,
ReplyDeletebado ze konooooooooooooooooooooz.
poa,msalimie mai braza wako
ReplyDeletesamahani sana ni mwezi mtukufu wa ramadhani sina nia mbaya lakini nimegunduawanawake wengi wa kiislam wanapenda sana kujibundika mahina lakini majumbani kwao wa chafu, nimeshaona wengi sana kama hii nyumba ya huyo dada mbwembwe zake ni nyingi sana lakini homo ndani anahitaji make over.
ReplyDeletewe mdau wa sept 19 1:22 pm jaribu kuwa na heshima au jaribu kuangalia maneno ya kutumia saa nyingine.kuna tofauti kubwa kati ya nyumba kuwa chafu na nyumba kuitaji make over.sasa hizo picha nne hapo naweza kukubaliana na wewe kwamba nyumba inahitaji make over lakini sikubaliani na wewe kwamba nyumba ni chafu.
ReplyDeleteMnyamwezi khamsini kutoa sikonge wsuuuup maaaan!!
ReplyDeleteSasa wewe mdau unayesema nyumba chafu si kweli, sema tu nyumba inaonekana imebanana na ina vitu vingi and that's all labda wewe kwa kuhofia jina la dada mwenye nyumba ulifikiria utaona mambo ya flat screen tv or flat desk top, kumbuka jasili haachi asili yake.Huyu dada hata kama anamabilioni benki kama Oprah hawezi kufanya mambo kama unavyodhania kama anakaa uswazi i.e anafanya kama wataliano wafanyavyo...so next time don't judge the book by it's cover my brodha.
ReplyDeletemdau kariakoo
Mimi kwa kweli misupu ananiudhi sana, ukipost kitu hawaki lakini vitu ambavyo yeye yuko kwenye picha anatuwekea sijui ndiyo kuuza sura!!!!
ReplyDeletekwanza mi nauliza kwa usalama gani hapo bongo uweke mavitu ya thamani ndani! ukae roho juu tuu hiyo simu tu ukiwa nayo ya bei mbaya basi ujue unatembea na hofu kama Israil kakupigia simu niko njiani sembuse uweke siju Flat screen tv sijui nini. hivyo2 dada achana na wasukutuaji vinywa!
ReplyDeleteMdau juu umesema eti wanawake wa kiislam wana"bundika" mahina na ni wachafu?????????????? better get your facts straight before starting your verbal diarrhoea!
ReplyDeleteze fulanazzz
ReplyDeleteze chakulazzz,duh shemejio kumbe idarous??