
For source and more
Most read Swahili blog on earth
For source and more
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mambo ya matawi ya juu. Mshkaji anapigana vikumbo tu na kina Youri, bingwa wa kombe la dunia. Safi sana namna hiyo. Sijui alikutana na Nizar na Nadir huko...
ReplyDeletehaya wadau embu changieni basi kwa swala zima la UKANUMBARING,je Hashimu anatuokoa au nae ni mulemule???lakini mimi naona jamaa hajafanya UKANUMBARING au wale wadau wanaotaka kuongea kingereza cha kwenye kamusi mnasemae hapo?
ReplyDeleteAcheni hizo!!!!!.
ReplyDeleteLugha yeyote ile hutumika kwa mawasiliano. Mradi tu ni kwamba ile community mnayokuwepo mnaelewana.Hata wazungu wenyewe wana matatizo ya kuongea kiswahili. Wanaozungumza hayo ni wivu tu wa maendeleo ya wenziwao.
Acheni hizo!!!!!!
HAROUB CANAVARO aliyekuwa Yanga, alicheza hii mechi vilevile!
ReplyDeleteTena jamaa akachapa na nyaya saaaaafi! Si unajua kabla ya kikapu mshakaji alijaribu soka ikawa cheche, hivo si mbaya sana! Safi sana Hasheem, unatuwakilisha vyema, Kila la kheri na usiache utamaduni wako ukawa mtumwa!
ReplyDelete