Haitakuwa vibaya wadau wakasoma visheni toka upande wa Russia kama ilivyo ktk article iliyoandikwa na Rais wa Russia D. Medved tarehe 10/09/2009 source www.cnn.com/GPS GO RUSSIA http://edition.cnn.com/CNN/Programs/fareed.zakaria.gps/

Asante
Mdau Leningrad

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Vipi, na Tz tuna vision au imepotea kwenye makabrasha?

    ReplyDelete
  2. i have read this article and i think president medvidev is a true patriotic and loyal citizen.its sad story when you know PUTIN is just around the corner basically running Russian gov.but stil he has to know the challenges ahead and way to overcome them.for the countries like tanzania,they have to a wake up call.kama wenzetu wameshtuka although itsnot too late.acheni kusafir kusikuwa na mpango na focus kwenye shida za kila siku.kukua kwetu hakutakuja kwa kuomba misaada tu kama rais wetu anavyosema.huu ni ubatili mtupu.tanzania inaitaji watu wapya na safi.thanks

    ReplyDelete
  3. Nyakarungu wa CoastSeptember 21, 2009

    Hii point hapa chini imeendelea kunipa moyo kufanyakazi kwa bidii na kutoa mchango wangu chanya wa mawazo na utaalamu wangu kwa ajili ya nchi yangu Tanzania. Anasema

    "3. Paternalistic attitudes are widespread in our society, such as the conviction that all problems should be resolved by the government. Or by someone else, but never by the person who is actually there. The desire to make a career from scratch, to achieve personal success step by step is not one of our national habits. This is reflected in a lack of initiative, lack of new ideas, outstanding unresolved issues, the poor quality of public debate, including criticism. Public acceptance and support is usually expressed in silence. Objections are very often emotional, scathing, but superficial and irresponsible. Well, this is not the first century that Russia has had to confront these phenomena."


    Na ukweli kaka Michuzi utaona kuwa ni wachache tutakao changia mada hii ya kimaendeleo lakini zile sijui za 'Ukanumba', BBA, kutoa criticism juu ya rangi za mavazi ya mtu, Arusi za watu na vifo vya 'maselebritiz' panakuwa hapatoshi hapa! Go Tanzania, go !

    ReplyDelete
  4. Rais huyu kijana wa Urusi Mh. Medved ameshatambua kuwa kujinasua kiuchumi na kimaendeleo ni kutumia rasilimali walizonazo - mafuta, elimu n.k na kupambana na 'kutojali' kwa waliopewa madaraka iwe wakurugenzi, wasomi, wafanyabiashara yaani wale 'bora liende'.

    Matatizo na rasilimali walizo nazo Russia pia Tanzania tunazo yaani madini, bahari, maziwa Tanganyika, Victoria, Nyasa n.k , mito Rufiji n.k, watu tunao, wasomi tunao, viongozi tunao lakini ni nini hasa kinachotuzuia kusonga mbele?

    Nadhani inabidi 'tujisahihishe' na kujali kuleta maendeleo kila mtanzania kwa nafasi yake huku serikali kuu na serikali za mitaa zikifuatilia kwa ukaribu yaani kuwa na Economic intelligence- idara ya kuinua uchumi kwa kutumia nyenzo zetu au ku-copy toka kwa nchi zilizofanikia.

    Mdau
    Mhangaikaji

    ReplyDelete
  5. siku zote huwa nasisitiza kwamba,hakuna nchi itakayoweza kuendelea kama haina hata idea ya nini wanachotaka/wapi wananataka kwenda.ndipo waanze kujiuliza watafikaje huko.
    mataifa mengi/karibu yote ya afrika hicho kitu hayana,wengi vision zao zinaishia ktk tumbo labda na gari basi!! ndiyo maana hutamuona kiongozi yeyote mwenye concrete plan ya kutaka kuwa taifa lenye kufanya maamuzi yake na kuyatekeleza bila kutegemea ruhusa na misaada toka nje!! tumeshikwa na laana ya kutokujiamini,kila mtu kuanzia wakubwa hadi wale walalahoi wana ndoto za kutoka nje tu na sio ndoto za kupageuza mahali waliporithi toka kwa mababu pawe pa kutamanika na watu wa mataifa mengine.
    kwa ufupi ni hivi,tuna ugonjwa wa akili,tukiweza kujitibu ugonjwa huo tu basi mengine yote yanawezekana,maana tuna viungo sawa na wachina,wahindi,wazungu!rangi ya ngozi sio sababu ya kutufanya kujililia na kuwa nyuma miaka nenda miaka rudi tukisingizia biashara ya utumwa!hakuna race ambayo haikupitia misukosuko ya aina moja au nyingine ila wao waliface challenges,waka set up mind,wakawa na lengo na wakatengeneza plan za kulifikia,na kila wakati wana set plans na kuzi evaluate na kuzi renew kuelekea mafanikio zaidi.
    kwetu sisi ni kinyume,hata net za kuzuia mbu tunakwenda kuomba kwa tajiri binafsi marekani,na hiyo inalzimika kwakuwa hatuna vision za kudumu zaidi ya kushika madaraka kuiba na rushwa kujitajirisha mtu mmoja huku mikataba inayoingiwa inalibakiza taifa fukara wa wakati ujao.
    WEKEZENI KTK TEKNOLOJIA,VINGINEVYO HAKUNA JIPYA SI KTK TANZANIA TU BALI NA KWINGINEKO HASA AFRIKA. na kama swala sasa ni teknolojia basi wenye ubongo unaofanya kazi vizuri mnaelewa nasema nini. sikilimo,si afya,si jeshi,si usafiri vitakwenda kokote!!!!
    na kununua tu,hasa kwa taifa kama hilo,hakutakuwa dawa zaidi ya kuweka madeni na kuendelea kubembeleza ksamehewa=UTUMWA MAMBO LEO,UTUMWA WA AKILI!
    KEEP THE SLAVE PHYSICALY STRONG,BUT TAKE HIS MIND!!!!!
    give a man a fish,you will feed him for aday!teach a man how to fish,you will feed him for life!

    Mdau********

    ReplyDelete
  6. Vision yetu ni
    -kuwa taifa linaloongoza barani Afrika kwa kupewa misaada kutokana na kuwavutia wafadhili kwa kuwa na utawala bora.
    -Kuwa Paradiso ya wawekezaji wa kigeni kutoka nchi zote za nje.

    ReplyDelete
  7. Michuzi,
    wabonyeze wawezeshaji wa mijadala wa blogu ya jamii a.k.a John Mashaka, Dr.H.Shayo, US Blogger na wadau wengine wachangie hii article.

    Visheni ya Wadau tukilenga hapa tujinasue vipi Tanzania, yaani Visheni ya Wadau wa Blogu ya Jamii Tanzania.

    ReplyDelete
  8. jamaa kichwa kweli usicheze na muinamo wa kobe

    ReplyDelete
  9. anza kujiendeleza binafsi pasipo kutegemea mtu/watu/wazazi nk then utapata akili ya kuchapa kazi uko mtaani acheni mawazo ya mafisadi wanatafuna nchi so tubweteke???
    mh ila tutafika tu acha nichape kazi apa niachane na blog ya michuzi

    ReplyDelete
  10. mi nawashangaa sana kina mashaka na huyo mwenzake huwa hawachangiamadagimada hataiwe ya maendeleo lakini wao wakitoa hoja humu ndani wadau karibu woote huchangia acha acheni umimi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...