Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Bora aseme kama amefulia kwasababu uwe mkubwa uwe mdogo sio kama hauna haki ya kuvaa nguo mpya. Kwanza nguo mpya ni Sunna kuivaa wakati wa Idd.

    Wakati huu kila aliye mwislamu anahimizwa kama anauwezo avae nguo nzuri, ajipulizie manukato mazuri apendeze kisha aende msikitini kuswali. Pia ale vizuri na ndio maana kwa wale wasio na uwezo, wamehimizwa waislamu wenye uwezo kila mmoja kutoa Fitri ili kuwapa wasio na uwezo waweze kula vizuri siku hii na kuifurahia kama wenzao wenye uwezo.

    Ila kwenye manukato sio manukato ni manukato tuu No No No. Manukato yanayoruhusiwa kwenda nayo Msikitini ni manukato yale ya Alhood kwa wanaume na Udi wako ujifukize kama ni mwanamke. Manukato haya yetu ya madukani kwani huchanganywa na kemikali mbali mbali ambazo nyingine hazitakiwi, mfano utakuta manukato mengine yameandikwa de toilet haya kabisa hayatakiwi.

    Nawaombea mema, muendeleze Ibada katika miezi mingine.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...