A sign at Fort Jesus, Mombasa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. mwe!! ...mi simo kabisa safari hii

    ReplyDelete
  2. Kama wamekanumba vile???

    ReplyDelete
  3. hahaha.....wamekanumba si mchezo!

    ReplyDelete
  4. heheh kila kona Wanakanumba wao aroo

    ReplyDelete
  5. HAWAKUKANUMBA HILO BANGO NI SAHIHI KABISA. LADIES LOW LEVEL NI WALE WANAWAKE WA CHAP CHAP WAKUBAMIZIWA UKUTANI HUNA HAJA YA KUKODI CHUMBA AMBACHO NI GHALI ZAIDI, HAWA NI MAALUM KWA WATALII WALA UNGA, WALEVI NA WACHEZA KAMALI.

    ReplyDelete
  6. maana yake ni choo cha kuchuchumaa na sio choo cha kukaa.

    ReplyDelete
  7. Shiiiiiit dharau hizo. Ashukuriwe Mungu kwa kutokuwa na hasira maana najaribu kuimajini mungu angekuwa na tabia kama zangu nadhani dunia ingekuwa imepigwa kiberiti maaaana mimi staki dharau.

    ReplyDelete
  8. mama we mbavu zangu nyie wadau hapo juu mna mambo kweli naipenda blog hii sana inanipaga raha sana blog ya jamii na mkuu wa libeneke WADUMU
    miss michuzi

    ReplyDelete
  9. M.T: "kukanumba" manake nini?

    ReplyDelete
  10. JAMANI WENGINE WENU TEMBEENI MUONE MUWE NA UPEWE WA KUJUA MAMBO. HIYO MAANA YAKE NI VYOO VYA KIKE VYA KUCHUCHUMA AU KWA JINA LINGINE VINAITWA (ASIAN TYPE)

    ReplyDelete
  11. Angalia jinsi wakenya wenzetu walivyotupita kiingereza.

    Hawa inabidi waje wafundishe akademi zetu

    ReplyDelete
  12. Mdau, ''KUNUMBA'' ni term mpya ya kiswahili inayomaanisha kuongea kiingereza kibovubovu, when you speak a highly broken english you are kanumbaling!! hivi sasa mchakato unaendelea kulipeleka heno kukanumba kwenye baraza la kiswahili ili lipitishwe na lianze kutumika rasmi hata mashuleni.
    ahsante

    ReplyDelete
  13. asian type??vyoo vya shimo..hahahaa
    duh sijawai fikiri

    ReplyDelete
  14. kweli jamani taz ikokazi, yaani mtu anashangaa kwamba choo cha kuchuchumaa cha kuflash kinaitwa asian type au low level type? haya mshangaaji nakuongezea pia na cha kukaa cha kufkash kinaitwa european type. kwahiyo ukienda kuuliza ktk duka la ujenzi usipate shida,sema nataka european type au asian type inaeleweka maramoja,labda muuzaji awe kama akina yakhe wanaoshangaa pia.

    ReplyDelete
  15. Kenya is very advanced in English, even Queen Elizabeth takes exams every year in Nairobi.

    ReplyDelete
  16. INAMAANISHA HUMU NDANI KUNA VYOO VYA WANAWAKE VYA CHINI, SI VILE VYA JUU VYA KUKAA. KWA JUMLA INAMAANISHA KUNA VYOO VYA WANAWAKE

    ReplyDelete
  17. Walitakiwa watenganishe hayo maneno mfano (LADIES)- LOW LEVEL TYPE. Hapo kusingekuwa na kulumbana kote huku.

    ReplyDelete
  18. whoever tried to explain the meaning of "kanumba" must be kanumba himself I hear " when you speak A HIGHLY BROKEN ENGLISH" tehtehtehteh!!!!!!!!!!

    AM JUST SAY!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...