Home
Unlabelled
hepi besdei ya mwaka mmoja ya kuzaliswa larryson
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kwani lazima kizungu kwenye keki?
ReplyDeleteKeki nzuri ila naona lugha gongana hapo kwenye keki! 1years!! kweli kidhungu janga la kitaifa!
ReplyDelete1yr or 1 yrs?wabongo bwana
ReplyDelete1 years sio!!
ReplyDeleteMh! Kaaaazi kweli kweli
ReplyDeleteMAMA LARRYSON MWENYEWE INAELEKEA HATA KILE CHA MZIZINI SHULE YA MSINGI CHA KUOMBEA MAJI HAKUKIJUA VIZURI ANGESHAONDOA HIYO S HAPO KWENYE 1YRS NA KIJIKO KWANI NI ICING SUGAR HIYO ILI KULETA MAANA KAMILI. LARRYSON AKIKUA ATAJUA MAMA YANGU NI BONGE LA BUNJU JAPO ANANIPENDA TEHE TEHE TEHE
ReplyDeleteKHERI YA SIKU YA KUZALIWA KWAKO MTOTO LARRYSON
Hongera baby,
ReplyDeleteLakini wabongoo mmmh na majina ya mengine kazi......
Mpishi wa keki na mama wa mtoto inglishi is not reachable, in other words this food is too much pilipili...kazi kweli.
ReplyDeleteMdau
kwi kwi kwi...i love michuzi bloggers
ReplyDeleteati kidhungu janga la taifa