Unakaribishwa katika ibada ya
Kiswahili jumapili septemba 6, 2009 saa tisa na nusu mchana.
Ibada itaanza na matumbuizo ya kwaya kupitia luninga. Kutakuwa na kushiriki chakula cha Bwana kwa wote waliobatizwa na waumini wa Kikristo.
Baada ya ibada kutakuwa na vitafunio na vinywaji vya Kiafrika.
Ibada itakuwa katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Gethsemane
5 E. Stanton Ave.,
Columbus,
Ohio 43214.
Kwa maelekezo zaidi ya kufika
kanisani piga simu namba
614-885-4319.
Gethsemane Lutheran Church
Pastor Karen Asmus-Alsnauer

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. NA MUENDE MKASALI SIO MJIDAI TU KUTOA MATANGAZO YENU HUMU THEN HAMUUDHURII HIYO IBADA MUENDE

    ReplyDelete
  2. I wish ningekua nakaa karibu na huko. Kanisa langu hapa la kilutheri la karibu ni dakika 30 halafu linaboa kweli. Wazee woooote humo ndani i mean people who are almost 90 yrs old.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...