Unakaribishwa katika ibada ya
Kiswahili jumapili septemba 6, 2009 saa tisa na nusu mchana.
Ibada itaanza na matumbuizo ya kwaya kupitia luninga. Kutakuwa na kushiriki chakula cha Bwana kwa wote waliobatizwa na waumini wa Kikristo.
Baada ya ibada kutakuwa na vitafunio na vinywaji vya Kiafrika.
Ibada itakuwa katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Gethsemane
5 E. Stanton Ave.,
Columbus,
Ohio 43214.
Kwa maelekezo zaidi ya kufika
kanisani piga simu namba
614-885-4319.
Gethsemane Lutheran Church
Pastor Karen Asmus-Alsnauer
NA MUENDE MKASALI SIO MJIDAI TU KUTOA MATANGAZO YENU HUMU THEN HAMUUDHURII HIYO IBADA MUENDE
ReplyDeleteI wish ningekua nakaa karibu na huko. Kanisa langu hapa la kilutheri la karibu ni dakika 30 halafu linaboa kweli. Wazee woooote humo ndani i mean people who are almost 90 yrs old.
ReplyDelete