



Asalaam Alykum,
Kaka Michuzi na Wasomaji wote wa Globo hii, Kaka kwa mara ya kwanza sisi ndugu zenu wa hapa LEEDS UK tunatoa mkono wa EID kwenu nyote, wasomaji wa Globo hii, kwani hakika wanapendana wanaokumbukana siku tukufu kama hii hivyo kaka Michuzi tafadhali tupe upendeleo wa kutoa salamu hizi kwa wapenzi wote wa globo hii popote walipo.
Ama tunaomba baraka za mwenyezi mungu hasa kwa utukufu wa siku hii ya leo EID ziwajaalie wote wapenzi wa Globo na Inshaalah Mungu awajalie Sikukuu yenye baraka kwa kutekeleza yanayompedeza Allah.
Hivyo basi kwa msisitizo wa salamu hizi nakuambatishieni picha hizi tulizopiga katika na baada ya Sala maalum ya EiD iliyofanyika hapa LEEDS leo hii Asubuhi kwa kuangozwa na Mwenyekiti wa jumuiya Sheirk Amrani Rashid na Sheirk Mahir
TUNAWATAKIA EID YENYE FURAHA NA UPENDO
Asalaam Aleykum; EID MUBARAKA
TUNAWATAKIA EID YENYE FURAHA NA UPENDO
Asalaam Aleykum; EID MUBARAKA
Hallow, Picha zote za akinababa tu, akina mama wako wapi??
ReplyDeleteWaislamu wote hawa wanatafuta nini kwenye nchi ya mashoga kama Uingereza? kwanini hawaendi kuishi nchi zenye Waislamu safi kama Afghanistan,Pakistan,Somalia,au Sudan?
ReplyDeletekaka, hawa ni ndugu zetu kutoka kisiwa??
ReplyDeletesomeone enlighten me plz........hivi kanzu ndio vazi rasmi la waislamu? or its just an arab thing?
ReplyDeleteBrother Michuzi huyu anonmymous wa sep 21,04:54:00 anbasema Uingereza ni nchi ya mashoga namshangaa sana kwa sababu hizo nchi alizozitaja ndio zimejaa ushoga na utashangaa hao waislamu ndio kwanza wanakimbilia kwenda Uingereza na Marekani nchi ambazo ni za wakristo. Nakumbuka kuna wakati waislamu Uingereza walitaka kujenga msikiti lakini walikataliwa na serikali kwa sababu waliambiwa waumini ni wachache.
ReplyDeleteSHEREHE ZA EID, LONDON, SI BORA KUNA HII BLOG YA MHESHIMIWA MICHUZI, MAANA BWANA KAMA SIO MWISLAMU INABIDI KUTONYWA NA WATANZANIA WENZIO KUPATA HABARI YA EID NI LINI.
ReplyDeleteKWASABABU HAPA HAITANGAZWI HATHARANI , MWENYE TV, RADIO NA KADHALIKA. HATA SIKUJUA NI EID. MPAKA NIMESOMA HAPA NA KUMPIGIA SHOGA AMBAYE NI MWISLAM.
HUKU HUWA WANATANGAZA CHRISTMAS NA EASTER TUU. HATA EID IKIWA SIKU YA KATIKATI YA WIKI NI KWENDA KAZINI KAMA KAWA. LAKINI CHRISTMAS NA EASTER AU PASAKA, HAKUNA KAZI.
AHSANTE MHESHIMIWA MICHUZI
we anony Tue Sep 22, 01:44:00 PM ndio unasema nini? au mradi tu na wewe uandike.
ReplyDeleteNAJIBU SWALI LA ANONY WA: WED SEPT 23, 02:32:00 PM.
ReplyDeleteUMEULIZA 'ndio unasema nini? au mradi tu na wewe uandike.'
NILICHOKISEMA NDIO KAMA ILIVYO SIJUI NI KITU GANI HUJAELEWA NI WEWE UNAYEULIZA PUMBA.
NILICHOKIANDIKA NI FACT KUWA KWENYE NCHI HII EID HAITANGAZWI, KAMA TANZANIA NA NCHI ZA URARABUNI. NA KAMA EID IKITOKEA WEEK DAYS, HATA SIKU MOJA HAIJATANGAZWA KUWA LEO NI EID KWAHIYO HAKUNA KWENDA KAZINI, MASHULENI NA KADHALIKA. SIO KAMA CHRISTMAS NA EASTER, HIZI SIKUKUU ZINATANGAZWA KWA NGUVU NA HAKUNA KWENDA KAZINI WALA SHULENI. ITS A FACT.
NA KWAHILO NIKAMFAGILIA MHESHIMIWA MICHUZI KWA BLOG HII. KWANI MIE BINAFSI SIKUJUA EID ILIKUWA LINI MPAKA NILIPOMPIGIA SHOGA KUULIZA NA NIKACONFIRM HAPA KWA MICHUZI.
SO I DO NOT KNOW WHAT YOU ARE ON ABOUT , OR THE TOTAL NATURE OF YOUR QUESTION, eti ndio nasema nini? au mradi tu na mimi niandike. there was no need for that, just wasting your time, it is obvious that WEWE NDIO ULIKUWA HUNA CHA KUANDIKA ILI MRADI TU UANDIKE KITU. POLE SANA.
hahahahahahaaaaaaaaaaaa...kwi kwi
ReplyDeleteasanteni annons #1,2,3,4,5, toka juu
haki ya nani mmepinda mbayaaa,afu mwatafuta "ugomvi" umu blogun
annon 1.30.00pm
ReplyDeleteuingereza ni nchi ya kikiristo tena mama wa ANGLICAN,pili nchi za waarabu no jumapili wala boxing day wala easter monday na kazi ni kama kawa tuu..so usijali ni tik for tt