Home
Unlabelled
mambo coco beach kama kawa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
IDD MUBARAK.
ReplyDeleteHii safi sana. inapendeza kuona wananchi wanaweza kunufaika na mandhari waliyopewa na muumba. tunaomba serikali ya JK na watawala wengine wajao wa CCM wasiruhusu wawekezaji kujenga mahoteli yao kwenye fukwe kama hizi. mahoteli yajengwe umbali wa kutosha ili fukwe ziwe wazi kwa wananchi wote.
Imekaa kama Congo Street!
ReplyDeleteNilijua tu brother Michuzi lazima atakuwa cocobeach leo, pananikumbusha mbali sana wajameni!
ReplyDeleteHii ni kuonyesha kweli home hakuna sehemu za outing kwa watoto kwenye sikukuu kama hizo , zaidi ya kwenda beach na kushangaa tu , na kuoga maji ya chumvi..serikali inatakiwa ijenge viwanja vya michezo ya watoto..
ReplyDeleteYule PAPA MLA WATU hhayupo tena????
ReplyDelete