wadau wakisikiliza hutba baada ya swala ya idd jijini london leo
swala ya idd jijini london leo

baadhi ya wazee wa jumuiya wakipozi baada ya swala ya idd huko leeds leo
wadau wa leeds katika swala ua idd leo
juu na chini ni baadhi ya wadau wa leeds wakati wa swala ya idd leo


Asalaam Alykum,
Kaka Michuzi na Wasomaji wote wa Globo hii, Kaka kwa mara ya kwanza sisi ndugu zenu wa hapa LEEDS UK tunatoa mkono wa EID kwenu nyote, wasomaji wa Globo hii, kwani hakika wanapendana wanaokumbukana siku tukufu kama hii hivyo kaka Michuzi tafadhali tupe upendeleo wa kutoa salamu hizi kwa wapenzi wote wa globo hii popote walipo.


Ama tunaomba baraka za mwenyezi mungu hasa kwa utukufu wa siku hii ya leo EID ziwajaalie wote wapenzi wa Globo na Inshaalah Mungu awajalie Sikukuu yenye baraka kwa kutekeleza yanayompedeza Allah.


Hivyo basi kwa msisitizo wa salamu hizi nakuambatishieni picha hizi tulizopiga katika na baada ya Sala maalum ya EiD iliyofanyika hapa LEEDS leo hii Asubuhi kwa kuangozwa na Mwenyekiti wa jumuiya Sheirk Amrani Rashid na Sheirk Mahir
TUNAWATAKIA EID YENYE FURAHA NA UPENDO
Asalaam Aleykum; EID MUBARAKA






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Hallow, Picha zote za akinababa tu, akina mama wako wapi??

    ReplyDelete
  2. Waislamu wote hawa wanatafuta nini kwenye nchi ya mashoga kama Uingereza? kwanini hawaendi kuishi nchi zenye Waislamu safi kama Afghanistan,Pakistan,Somalia,au Sudan?

    ReplyDelete
  3. kaka, hawa ni ndugu zetu kutoka kisiwa??

    ReplyDelete
  4. someone enlighten me plz........hivi kanzu ndio vazi rasmi la waislamu? or its just an arab thing?

    ReplyDelete
  5. Brother Michuzi huyu anonmymous wa sep 21,04:54:00 anbasema Uingereza ni nchi ya mashoga namshangaa sana kwa sababu hizo nchi alizozitaja ndio zimejaa ushoga na utashangaa hao waislamu ndio kwanza wanakimbilia kwenda Uingereza na Marekani nchi ambazo ni za wakristo. Nakumbuka kuna wakati waislamu Uingereza walitaka kujenga msikiti lakini walikataliwa na serikali kwa sababu waliambiwa waumini ni wachache.

    ReplyDelete
  6. SHEREHE ZA EID, LONDON, SI BORA KUNA HII BLOG YA MHESHIMIWA MICHUZI, MAANA BWANA KAMA SIO MWISLAMU INABIDI KUTONYWA NA WATANZANIA WENZIO KUPATA HABARI YA EID NI LINI.
    KWASABABU HAPA HAITANGAZWI HATHARANI , MWENYE TV, RADIO NA KADHALIKA. HATA SIKUJUA NI EID. MPAKA NIMESOMA HAPA NA KUMPIGIA SHOGA AMBAYE NI MWISLAM.
    HUKU HUWA WANATANGAZA CHRISTMAS NA EASTER TUU. HATA EID IKIWA SIKU YA KATIKATI YA WIKI NI KWENDA KAZINI KAMA KAWA. LAKINI CHRISTMAS NA EASTER AU PASAKA, HAKUNA KAZI.
    AHSANTE MHESHIMIWA MICHUZI

    ReplyDelete
  7. we anony Tue Sep 22, 01:44:00 PM ndio unasema nini? au mradi tu na wewe uandike.

    ReplyDelete
  8. NAJIBU SWALI LA ANONY WA: WED SEPT 23, 02:32:00 PM.
    UMEULIZA 'ndio unasema nini? au mradi tu na wewe uandike.'
    NILICHOKISEMA NDIO KAMA ILIVYO SIJUI NI KITU GANI HUJAELEWA NI WEWE UNAYEULIZA PUMBA.
    NILICHOKIANDIKA NI FACT KUWA KWENYE NCHI HII EID HAITANGAZWI, KAMA TANZANIA NA NCHI ZA URARABUNI. NA KAMA EID IKITOKEA WEEK DAYS, HATA SIKU MOJA HAIJATANGAZWA KUWA LEO NI EID KWAHIYO HAKUNA KWENDA KAZINI, MASHULENI NA KADHALIKA. SIO KAMA CHRISTMAS NA EASTER, HIZI SIKUKUU ZINATANGAZWA KWA NGUVU NA HAKUNA KWENDA KAZINI WALA SHULENI. ITS A FACT.
    NA KWAHILO NIKAMFAGILIA MHESHIMIWA MICHUZI KWA BLOG HII. KWANI MIE BINAFSI SIKUJUA EID ILIKUWA LINI MPAKA NILIPOMPIGIA SHOGA KUULIZA NA NIKACONFIRM HAPA KWA MICHUZI.
    SO I DO NOT KNOW WHAT YOU ARE ON ABOUT , OR THE TOTAL NATURE OF YOUR QUESTION, eti ndio nasema nini? au mradi tu na mimi niandike. there was no need for that, just wasting your time, it is obvious that WEWE NDIO ULIKUWA HUNA CHA KUANDIKA ILI MRADI TU UANDIKE KITU. POLE SANA.

    ReplyDelete
  9. hahahahahahaaaaaaaaaaaa...kwi kwi

    asanteni annons #1,2,3,4,5, toka juu

    haki ya nani mmepinda mbayaaa,afu mwatafuta "ugomvi" umu blogun

    ReplyDelete
  10. annon 1.30.00pm
    uingereza ni nchi ya kikiristo tena mama wa ANGLICAN,pili nchi za waarabu no jumapili wala boxing day wala easter monday na kazi ni kama kawa tuu..so usijali ni tik for tt

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...