

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka hongera sana sana ila yaelekea ipo shughuli coz mamaa anaonyesha mkali kinoma.
ReplyDeletePongezi zako kuoa ila kuwa makini na mkeo usimletee mzaha anaweza kukukunja huyo.
ReplyDeleteDuh kama una watoto uliowazaa nje kaka kuwa makini, yaelekea mke yuko moto.
ReplyDeleteNdugu yangu Boniface (RADEBE) Hongera sana kwa kupata mke. Tunakutakia maisha mema na yenye furaha.
ReplyDeleteMatai family - Beijing
Jamani huyu ni Boni wa Kazima Secondary Tabora? Hongera sana kaka, nakutakia maisha mema wewe na kipenzi chako, Mungu awajalie yaliyo ya kheri ndoa yenu iwe baraka na kwa wengine!
ReplyDeletehongereni mmependeza dada anita mtunze mmeo na umpende mwenzangu ndoa ni bidhaa adimu
ReplyDeletemdau canada
Sorry, hivi ni mwisho wa wiki au mwishoni mwa wikiendi?
ReplyDeleteBAVO aka BONI na leo nimepata Jipya DAUDI. Hongera sana ndugu yangu kwa kuamua kuachana na ukapera. Karibu sana kwenye chama letu japo umechelewa sana. Naona mama yupo serious sana, ila ninakuaminia kuwa hawa watu unaujuzi mkubwa sana wa kuwaweka katika mstari unaoutaka wewe si kwa kipigo bali kwa kuwabembeleza.
ReplyDeleteHongera sana BAVO.
Rafiki yako, wa kuanzia Uhuru Primary (Tabora), then nikakuacha ila ukanikuta Kazima Secondary (Tabora) nikakuacha then ukanikuta UDSM, nikakuacha then nikakujoin tukamaliza pamoja UDSM. Japo tulikorofishana kidogo kuhusu madesa yako ila ninaamini kuwa bado ni marafiki wazuri tu na tumesameheana bwana BAVO.
Wa Scotland
Hongera BAVO
ReplyDeleteKitu ambacho I will always remember from you is that, you are such a kind guy who always devoted to helping others when you have the capacity to do so.
Some said you do that because you seek attention and want people judge you as pedejzee, but I judge you as a real anthropist and devoted man.
Remember darasa letu la Tution pale kwako na product zake, was really good tution and produced good results, hahahah! just havin fun nimechoka na haya makaratasi.
All the best in your new life.
Boni,
ReplyDeleteHongera sana kwa kufunga ndoa. MUNGU wa mbinguni akubariki wewe na mke wako na kuwajalia maisha marefu na yenye mafanikio.
-- Rafiki yako - Magabe 'mura' Kibiti.
Magessa. What a nice name. Here is a great present for you to enjoy over your honeymoon...
ReplyDeletehttp://www.youtube.com/watch?v=i_N-pDIItYM
Anon: Tue Sep 22, 05:32:00 PM
ReplyDeleteUmeenikumbusha mbali sana katika kurekebisha statements, unajua mtu anaweza jikuta amesahau halafu katika kurekebisha ndiyo ikawa kuvuruga.
Nikiwa secondary school, head prefect alikuwa akitanga mgawanyo wa kufanya usafi kwa kiingereza Assembly. mwisho ikabidi aweke msisitizo kuwa "MAKE SURE THAT YOU DO THIS EXERCISE", akaona watu wanamuangalia sijui akafikiri kakosea basi within four seconds akamalizia na neno "BOOK" wanafunzi wote tukaangusha kicheko kuwa sasa ndiyo kachemka kweli yaani
"MAKE SURE THAT YOU DO THIS EXERCISE...BOOK"
huyo wa exercise___book kanionngezea siku zangu hapa duniani
ReplyDeletehongera boniphace daudi mwenge magesa na mkeo ,mungu awabariki sana
ReplyDeletechocha magesa wa tabora boys
kweli annon wa exercise book me niko hoi apa...
ReplyDeletemamaaa kanona km parachichi safi saanaaa..afu nyie watu ku-judge wezenu kisa eti sura yako apo mna akili kweli???
Inapendeza sana......Mungu awajalie heri sana na zaidi amani na furaha...Usitumie sera ya kwenu kaka ya kupiga ngumi mke kuwa ndio show love...
ReplyDeleteBig up bro!!
Krom
Hongera sana rafiki yangu Bonifas magessa. Mmependeza sana. Nawatakia maisha mema na yenye mafanikio makubwa. Mungu awabariki sana. Amen. Ni mimi rafiki yako wa siku nyingi Deo Raballa
ReplyDeletepesa ya album ushalipwa na kuwatoa maharusi kwenye blg umelipwa sh ngapi? kuna tetesi lazima watu watoe michongo ili picha zao zitoke kwenye blog yako mjomba ... kanusha...
ReplyDelete