Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bora aseme kama amefulia kwasababu uwe mkubwa uwe mdogo sio kama hauna haki ya kuvaa nguo mpya. Kwanza nguo mpya ni Sunna kuivaa wakati wa Idd.
ReplyDeleteWakati huu kila aliye mwislamu anahimizwa kama anauwezo avae nguo nzuri, ajipulizie manukato mazuri apendeze kisha aende msikitini kuswali. Pia ale vizuri na ndio maana kwa wale wasio na uwezo, wamehimizwa waislamu wenye uwezo kila mmoja kutoa Fitri ili kuwapa wasio na uwezo waweze kula vizuri siku hii na kuifurahia kama wenzao wenye uwezo.
Ila kwenye manukato sio manukato ni manukato tuu No No No. Manukato yanayoruhusiwa kwenda nayo Msikitini ni manukato yale ya Alhood kwa wanaume na Udi wako ujifukize kama ni mwanamke. Manukato haya yetu ya madukani kwani huchanganywa na kemikali mbali mbali ambazo nyingine hazitakiwi, mfano utakuta manukato mengine yameandikwa de toilet haya kabisa hayatakiwi.
Nawaombea mema, muendeleze Ibada katika miezi mingine.