
Leo jumamosi Septemba 19 ni Besdei ya siku ya kuzaliwa mwanamziki Ebrahim Makunja, maarufu pia kwa majina kama Ras Makunja bin "Kichwa Ngumu",kamanda wa The Ngoma Africa band aka FFU !aka wazee wa kukaanga mbuyu!
kama Ras Makunja mwenyewe anayo habari au kukumbuka kuwa siku hii ya 19.09 ndio HEPI BESIDEI yake ya kuzaliwa Globu ya Jamii inamkumbusha na kuomba wadau woooote tumuimbie.
Kama hakumbuki basi Kamanda Ras Makunja makabrasha yetu yanasema leo ni Hepi Besdei yako. Tunakuimbia sasa...........
Hepi Besdei tu yuuuu
Hepi Besdei tu yuuuuuuuu
Hepi Besdei dia Mkaanga Ubuyuuuuuuuuu
Hepi Besdei tu yuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!
hii!!!wewe!ehh happy brithday 2U!
ReplyDeletekamanda leo ndio siku yako??? kila la heri mungu akuzidishie nguvu ya kusema sema ovyo na uzidi kukaanga mbuyu.
mdau wa UFIN
Dia afande mkuu wa ffu hepi besidei 2uuu!!! mungu akuzidishie afya
ReplyDeleteHello bro hepi besidei 2uuu nakutakia kila la kheri
ReplyDeletemdogo wako
Holland.
hello bwana kichwa ngumu ,hongera kwa siku ya kuzaliwa,sasa ndio kusema una miaka 16 au? basi kumbe hata umri wa kwenda disco bado?
ReplyDelete