Leo jumamosi Septemba 19 ni Besdei ya siku ya kuzaliwa mwanamziki Ebrahim Makunja, maarufu pia kwa majina kama Ras Makunja bin "Kichwa Ngumu",kamanda wa The Ngoma Africa band aka FFU !aka wazee wa kukaanga mbuyu!


kama Ras Makunja mwenyewe anayo habari au kukumbuka kuwa siku hii ya 19.09 ndio HEPI BESIDEI yake ya kuzaliwa Globu ya Jamii inamkumbusha na kuomba wadau woooote tumuimbie.


Kama hakumbuki basi Kamanda Ras Makunja makabrasha yetu yanasema leo ni Hepi Besdei yako. Tunakuimbia sasa...........
Hepi Besdei tu yuuuu
Hepi Besdei tu yuuuuuuuu
Hepi Besdei dia Mkaanga Ubuyuuuuuuuuu
Hepi Besdei tu yuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hii!!!wewe!ehh happy brithday 2U!
    kamanda leo ndio siku yako??? kila la heri mungu akuzidishie nguvu ya kusema sema ovyo na uzidi kukaanga mbuyu.
    mdau wa UFIN

    ReplyDelete
  2. Dia afande mkuu wa ffu hepi besidei 2uuu!!! mungu akuzidishie afya

    ReplyDelete
  3. Hello bro hepi besidei 2uuu nakutakia kila la kheri
    mdogo wako
    Holland.

    ReplyDelete
  4. hello bwana kichwa ngumu ,hongera kwa siku ya kuzaliwa,sasa ndio kusema una miaka 16 au? basi kumbe hata umri wa kwenda disco bado?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...