Katimu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika Mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu hali tete kisiwani Pemba, inayotokana na kile alichotaja kuwa baadhi ya Wazanzibar kunyimwa haki ya kujiadikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.
(Picha na Richard Mwaikenda wa Jambo Leo)
Sefu Sharifu Ahmad ! Unajua mara nyingi anayaombea matatizo pemba yasimalizike! kwani ndio msingi au mtaji wake mkuu kisiasa.ata hivyo atuwezi kushangaa kuona uchaguzi wa mwaka 2010 naye akachukua fomu ya kugombea urais wa visiwani!
ReplyDeleteJapokuwa anaelewa wazi kuwa hawezi kuchaguliwa,kwa sababu wanzibar wenyewe hawamtaki kwa kuwa anauwezo wa kuwa Rais,pia ata CUF wenyewe hawapendi agombee tena mwaka 2010,CUF wanataka mgembea Urais katika tiketi ya chama chao hawe kijana!mwenye kuleta changa moto mpya sio SEFU SHARIF,lakini Sefu Sharif atatumia ubabe kuomba fomu vinginevyo CUF itagawanyika.
wewe anon wa kwanza kama huna la kuongea hebu kaa kimya maana hukijui unachokiongea. Hivi ni nani aliekwambia wanzanzibari hawamtaki Seif Sharif, fuatilia kwa makini nini kinaendelea zanzibar, anayedai haki na anaevunja haki nani mchochezi? unaonekana umekimbia umande ww maana hata kuchambua ukweli na uongo/ zuri na baya.
ReplyDeleteAnon wa pili: Sep 18,01:40:00AM
ReplyDeleteUnamsema anon wa kwanza hana la kuongea lakini wewe mwenyewe,ujauchambua ukweli!
Kwanza utautupia kisogo ukweli,kuwa wazanzibar kuwa hawana haja ya sefu kuwa Rais,Ushaidi ni kushindwa kwa kuchaguliwa mara zote alizogombea urais.
(B) hata CUF wenyewe wangependa kuona uchaguzi wa mwaka 2010 wanapata mgombea kijana,SIO SEFU TENA!na kama Sefu Sharif atachukua fomu ya kugombea itakuwa anajigeuza kuwa Sultan wa CUF,kwa kuwalazimisha CUF lazima asimame.
Sasa ukweli huu kwa nini?usitazamwe.
(B)Inaonekana maoni yako umekurupuka na kuyatoa kwa jazba bila ya ufafanuzi.
Tujiulize hivi kweli Sefu ana sela gani?mpya ya kuindeleza Zanzibar ?sana sana anaongelea kila siku suala la mgogoro kuwa upande moja wa visiwani unaonewa!na huu ndio msingi na mtaji mkubwa wa mfumo au sela zake kisiasa,na kwa mtaji huu sidhani kama wazanzibar wanamtaka Seu Sharif kuwa Rais mtarajiwa,kwa sababu hana sela wa la jipya.
(C) Jaribu kuleta hoja au maoni yenye uchambuzi wa kina na uzito wa hoja,sio kumtusi mwenzio heti kakimbia umande
HAKUNA MZANZIBAR MWENYE HAKILI TIMAMU AKAMCHAGUA SEFU SHARIF AHMAD KUWA RAIS WA ZANZIBAR!HATA SIKU HAIWEZEKANI,KWA SABABU HAKUNA ANACHOKIONGELEA DHIDI YA FITINA NA MAJUNGU,NA HILI NDILO LITAKALO WAFANYA VIGOGO WENGI WA CUF KURUDISHA KADI ZA UHANACHAMA,KUTOKANA NA SEFU SHARIF KAMA ATACHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS WA VISIWANI KWA TIKETI YA CUF.
ReplyDeleteanon wa watatu kwa tamshi lako la sela....badala ya sera napata picha kua ww si mzanzibari na huenda hufahamu yanayojiri zanzibar. ingawa umejaribu kutoa ufafanuzi wako dhidi ya comment ya anon wa pili bado nawe unaonekana umezidiwa na ukereketwa.
ReplyDeletesuala la seif kugombea kwa mara ya nne ni juu ya wanachama wa cuf iwapo wanakubaliana nalo au laa, na kama wameridhia hilo ww unapatwa na kiherehere cha nini, kama pilipili huili wewe basi kwanini ikuashe?
Kama kwamba hilo halitoshi ni nani anaeendeleza libeneke la ufalme wa kiutawala kati ya cuf na ccm? na mfano hai ni familia ya rais karume mbona hata mwanafamilia wa 3ameshatangaza kugombea urais? au ndio kunya anye mswahili tu akinya mzungu anaambiwa kajamba?
Ni muhimu kujua wazanzibari walio wengi wanataka nini, na kama ccm haina wasi wasi na hilo kwa nn mizengwe ya uchaguzi inashika nafasi kuliko kufuta taratibu halali za uchaguzi tokea uandikishaji hadi upigaji kura?
Kwa taarifa yako wazanzibari walio wengi wanachohitaji ni mabadiliko na kuondokana na umaskini ulikithiri, na kama wameona waliopo wameshindwa kuliona hilo kwa nini wasijaribu pale wanapoona pana muelekeo.
Michuzi usibanie comment hii tafadhali kwa faida ya waosha vinywa.