ndugu zangu ona picha hizi nimepiga nikiwa njiani kuja hapa mwanzajana mnamo saa kumi hivi kattika kijii kimoja kinaitwa msisi. majambazi matatu yalipambana na polisi lakini askari kwa kushirikianana wananchi walifanikiwa kuyauwa majambazi hayo yote, katika mapambano hayo askari polisi alijeruhiwa vibaya na mwananchi mmoja kuuwawa.
hapo ilikuwa ni jirani na nuyumbani kwa moja wa majambazi hao




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. jambazi dawa yake mtutu tu kifo ndo saizi yake sababu nae muuaji

    ReplyDelete
  2. Kiminyio, New Albany, OhioSeptember 18, 2009

    Namana hiyo inakubalika kabisa.
    Hii ni tofauti na ile ya Mzee Zombe ya kuwapeleka kwenye msitu wa Pande na kuwasachi kabla ya kuwauwa na kufuta ushahidi.

    ReplyDelete
  3. isije ikawa operation zombe part II.

    ReplyDelete
  4. DAWA YA WEZI WA MIZIGO YA WATU JNIA-JULIUS NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT NI KUWAFUNGA JELA KEKO, NA DAWA YA MAFISADI AU WEZI WA TRA WANOBAMBIKA KODI ZA AJABU AJABU BANDARINI DAWA YAO KAMA HAYA MAJAMBAZI.

    FROM MDAU MWENYE USONGO

    ReplyDelete
  5. ulichongea sawa sawa, jambazi hafayi anaweza kukutowa roho kwa kitu chako, hana huruma, dawa yao ndio hiyo...

    ReplyDelete
  6. ni kweli unachongea, jambazi hauni huruma na mtu kwahiyo yakiwakuta wao poa tu. jambazi haugopi kukuuwa kwakitu chako, kwahiyo dawa yao ndo kama hivi

    ReplyDelete
  7. jamani na yale majambazi yaliomuua mhadhiri wa IFM (mbwana shehe)nao yatafutwe yakamatwe na yauwawe.
    mdau fatma

    ReplyDelete
  8. Dawa ya majambazi ni KIFO!

    ReplyDelete
  9. Hayo majambazi yameJAMBAZI nini? mbona story haijakamilika? Mwananchi mmoja ameuawa!!!! Hili ni pigo kubwa sana kwa wananchi na taifa kiujumla, Hivi hamuwezi kuwaua hao majambazi bila ya kuua raia? Kwanini mnatupiana risasi na majambazi sehemu ambazo kuna raia wema? Hivi huyu raia mwema aliyeuawa angekuwa mmoja wa mzazi wako au mwanao au mkeo mpendwa ungejisikiaje? Kweli ninyi polisi hamuwezi kuwakamata hayo majambazi bila ya KUUA RAIA WEMA AU KUSABABISHA VIFO VYAO???? KAZI YENU NI KULINDA USALAMA WA RAIA WEMA NA WALA SIYO KUSABABISHA VIFO VYAO. Hivi hivyo vikao vya haki za binaadamu huwa mnazungumzia nini??? waheshimiwa POLICE inawabidi mjifunze TACTICS za kudili na wahalifu bila ya kuhatarisha(kuyapoteza) MAISHA MAFUPI WALIYONAYO RAIA WEMA. Muheshimiwa Mkuu wa Polisi Tanzania vijana wako wanahitaji MORE TRAINING ON SERVING LIFES OF OUR LOVELY CITIZENS.ALWAYZ REMEMBER,
    WASTING THE LIFE OF ONE CITIZEN IS UNACCEPTABLE.
    God bless Tanzania
    Mdau

    ReplyDelete
  10. barabara ya lami ni toka dar hadi mwanza? au?

    ReplyDelete
  11. majambazi wakiuuliwa si vibaya kutokana na wao wauwa na hiyo ndiyo dawa yao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...