hapo ilikuwa ni jirani na nuyumbani kwa moja wa majambazi hao
hapo ilikuwa ni jirani na nuyumbani kwa moja wa majambazi hao
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jambazi dawa yake mtutu tu kifo ndo saizi yake sababu nae muuaji
ReplyDeleteNamana hiyo inakubalika kabisa.
ReplyDeleteHii ni tofauti na ile ya Mzee Zombe ya kuwapeleka kwenye msitu wa Pande na kuwasachi kabla ya kuwauwa na kufuta ushahidi.
isije ikawa operation zombe part II.
ReplyDeleteDAWA YA WEZI WA MIZIGO YA WATU JNIA-JULIUS NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT NI KUWAFUNGA JELA KEKO, NA DAWA YA MAFISADI AU WEZI WA TRA WANOBAMBIKA KODI ZA AJABU AJABU BANDARINI DAWA YAO KAMA HAYA MAJAMBAZI.
ReplyDeleteFROM MDAU MWENYE USONGO
ulichongea sawa sawa, jambazi hafayi anaweza kukutowa roho kwa kitu chako, hana huruma, dawa yao ndio hiyo...
ReplyDeleteni kweli unachongea, jambazi hauni huruma na mtu kwahiyo yakiwakuta wao poa tu. jambazi haugopi kukuuwa kwakitu chako, kwahiyo dawa yao ndo kama hivi
ReplyDeletejamani na yale majambazi yaliomuua mhadhiri wa IFM (mbwana shehe)nao yatafutwe yakamatwe na yauwawe.
ReplyDeletemdau fatma
Dawa ya majambazi ni KIFO!
ReplyDeleteHayo majambazi yameJAMBAZI nini? mbona story haijakamilika? Mwananchi mmoja ameuawa!!!! Hili ni pigo kubwa sana kwa wananchi na taifa kiujumla, Hivi hamuwezi kuwaua hao majambazi bila ya kuua raia? Kwanini mnatupiana risasi na majambazi sehemu ambazo kuna raia wema? Hivi huyu raia mwema aliyeuawa angekuwa mmoja wa mzazi wako au mwanao au mkeo mpendwa ungejisikiaje? Kweli ninyi polisi hamuwezi kuwakamata hayo majambazi bila ya KUUA RAIA WEMA AU KUSABABISHA VIFO VYAO???? KAZI YENU NI KULINDA USALAMA WA RAIA WEMA NA WALA SIYO KUSABABISHA VIFO VYAO. Hivi hivyo vikao vya haki za binaadamu huwa mnazungumzia nini??? waheshimiwa POLICE inawabidi mjifunze TACTICS za kudili na wahalifu bila ya kuhatarisha(kuyapoteza) MAISHA MAFUPI WALIYONAYO RAIA WEMA. Muheshimiwa Mkuu wa Polisi Tanzania vijana wako wanahitaji MORE TRAINING ON SERVING LIFES OF OUR LOVELY CITIZENS.ALWAYZ REMEMBER,
ReplyDeleteWASTING THE LIFE OF ONE CITIZEN IS UNACCEPTABLE.
God bless Tanzania
Mdau
barabara ya lami ni toka dar hadi mwanza? au?
ReplyDeletemajambazi wakiuuliwa si vibaya kutokana na wao wauwa na hiyo ndiyo dawa yao.
ReplyDelete