wadau wakisherehekea idd el fitr coco beach jioni hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. IDD MUBARAK.
    Hii safi sana. inapendeza kuona wananchi wanaweza kunufaika na mandhari waliyopewa na muumba. tunaomba serikali ya JK na watawala wengine wajao wa CCM wasiruhusu wawekezaji kujenga mahoteli yao kwenye fukwe kama hizi. mahoteli yajengwe umbali wa kutosha ili fukwe ziwe wazi kwa wananchi wote.

    ReplyDelete
  2. Imekaa kama Congo Street!

    ReplyDelete
  3. Nilijua tu brother Michuzi lazima atakuwa cocobeach leo, pananikumbusha mbali sana wajameni!

    ReplyDelete
  4. Hii ni kuonyesha kweli home hakuna sehemu za outing kwa watoto kwenye sikukuu kama hizo , zaidi ya kwenda beach na kushangaa tu , na kuoga maji ya chumvi..serikali inatakiwa ijenge viwanja vya michezo ya watoto..

    ReplyDelete
  5. Yule PAPA MLA WATU hhayupo tena????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...