miss TZ 2008/2009 nasreem kareem akiwa giraffe hotel kuliko na kambi ya Vodacom miss TZ 2009 ambapo anasaidia kuwanoa warembo 30 walioko huko wakisubiri fainali. video ya intavyuu yake inatayarishwa, kaa mkao wa kula

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ankoli Nanii, nje ya mmada kiduchu. Ivi tangu muwakilishi wenu Carol Uliwa wa TSN kwenye Project Fame amwagwe hutaki kutupa news za TPF?? Kuna Mtze Illuminata Rwelamira, anafanza vema, jana aliokolewa na washiriki wenzie asitolewe. Nyepesi zilizopo dogo Christian toka Rwanda amefall kwa mdada...Watzee, yawezekana leo tena Illuminata akawa kwenye probation, kindly pls vote for Illuminata ili awe mshindi wa TPF season 3.
    Madam Rita wa BSS, naguswa na juhudi zako za kutafuta vipaji vya waimbaji hapa nyumbani, lkn nadhani tuna safari ndefu kufikia level ya Tusker Project Fame, hii inatokana na historia ya mwenendo mzima wa mashindano.
    Mungu Ibariki Tanzania.

    ReplyDelete
  2. Nashreem, Kiingeleza kinapanda, au tumlete Nabii Yohanna Mashaka akupe Twisheni ya Shakespere?

    Hatutaki ya Kanumba yarudiwe tena Tanzania

    ReplyDelete
  3. Wewe anony na nabii wako mashaka, umeshawahi kumsikia John Mashaka akizungumza kiingereza? Kuandika kiingereza ni kitu kimoja, na kuzungumza kiingereza ni kitu kingine kabisa.

    ReplyDelete
  4. kafundishwa kiingereza kwenye b..., anakumbukia u're so..so.. good ...unaulizwa nini unarudia u're so..so good ku...ku...sorry..to teach me english language.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...