Home
Unlabelled
nasreem kareem akiwa giraffe hotel
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankoli Nanii, nje ya mmada kiduchu. Ivi tangu muwakilishi wenu Carol Uliwa wa TSN kwenye Project Fame amwagwe hutaki kutupa news za TPF?? Kuna Mtze Illuminata Rwelamira, anafanza vema, jana aliokolewa na washiriki wenzie asitolewe. Nyepesi zilizopo dogo Christian toka Rwanda amefall kwa mdada...Watzee, yawezekana leo tena Illuminata akawa kwenye probation, kindly pls vote for Illuminata ili awe mshindi wa TPF season 3.
ReplyDeleteMadam Rita wa BSS, naguswa na juhudi zako za kutafuta vipaji vya waimbaji hapa nyumbani, lkn nadhani tuna safari ndefu kufikia level ya Tusker Project Fame, hii inatokana na historia ya mwenendo mzima wa mashindano.
Mungu Ibariki Tanzania.
Nashreem, Kiingeleza kinapanda, au tumlete Nabii Yohanna Mashaka akupe Twisheni ya Shakespere?
ReplyDeleteHatutaki ya Kanumba yarudiwe tena Tanzania
Wewe anony na nabii wako mashaka, umeshawahi kumsikia John Mashaka akizungumza kiingereza? Kuandika kiingereza ni kitu kimoja, na kuzungumza kiingereza ni kitu kingine kabisa.
ReplyDeletekafundishwa kiingereza kwenye b..., anakumbukia u're so..so.. good ...unaulizwa nini unarudia u're so..so good ku...ku...sorry..to teach me english language.
ReplyDelete