

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimevipenda hivi viti walivyokalia raisi, waziri wa umwagiliaji na waziri wetu hapo ikulu! Sijui ni vya asili ya guyana, ni bana matumizi au they prefer being old skool! Classic!
ReplyDeleteThis is a lesson that Tanzania Government officials need to learn,sio kila mwaka kupiga deal na kunua tuvipya ili tu kufuja mali ya uma.
ReplyDeleteGuyana is a small country Exports 2009 estimate 772,298,
US$621.6 million (2006 estimate)
sugar, gold, bauxite/alumina, rice, shrimps, molasses, rum, timber.
Imports US$706.9 million (2006 estimate)
manufactured items, machinery, petroleum, food.
Mwana H
Boston
Guyana choka mbaya kama sisi tu. Nimefika huko na rafiki yangu. Yaani mambo mengi kama bongo kwetu ila tradition zao ni za kihindi hindi.
ReplyDeleteYaani kuna vigenge vya kukaanga samaki usiku njiani. Kuna soup moja hiyo baabu kubwa.....
Wanajua kutumia hela yao vizuri sio siye twanda na catalogy...Ikulu ya mabilllion wakati uchumi wenyewe!!!!!jecha
safi sana, yaani jamaa simple tu! reminds me ya waziri mtanzania aliekuwa anaenda kupewa msaada na balozi wa Denmark, balozi kapanda economy waziri yuko first class!! Jikune unapoweza!!
ReplyDeleteata me nimependa inaonekana hawana makuu kuliko uwezo wao,,
ReplyDeletesafi sana,ivi Guyana iko mitaa ipi ya dunia?
duh prof mwandosya yupo?jamaa km hayupo vile
teh teh teh