President Bharrat Jagdeo of Guyana greets Professor Mark Mwandosya, Water and Irrigation Minister, at the State House in Georgetown this afternoon.
President Jagdeo, Minister of Housing and Water, Irfaan Ali, and Professor Mwandosya discuss water and irrigation issues at the State House in Georgetown.
Professor Mwandosya joins President Jagdeo at the Low-Carbon Development Strategy steering committee meeting at the Office of the President
Full Story and Source

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nimevipenda hivi viti walivyokalia raisi, waziri wa umwagiliaji na waziri wetu hapo ikulu! Sijui ni vya asili ya guyana, ni bana matumizi au they prefer being old skool! Classic!

    ReplyDelete
  2. This is a lesson that Tanzania Government officials need to learn,sio kila mwaka kupiga deal na kunua tuvipya ili tu kufuja mali ya uma.

    Guyana is a small country Exports 2009 estimate 772,298,
    US$621.6 million (2006 estimate)
    sugar, gold, bauxite/alumina, rice, shrimps, molasses, rum, timber.
    Imports US$706.9 million (2006 estimate)
    manufactured items, machinery, petroleum, food.


    Mwana H

    Boston

    ReplyDelete
  3. Guyana choka mbaya kama sisi tu. Nimefika huko na rafiki yangu. Yaani mambo mengi kama bongo kwetu ila tradition zao ni za kihindi hindi.

    Yaani kuna vigenge vya kukaanga samaki usiku njiani. Kuna soup moja hiyo baabu kubwa.....

    Wanajua kutumia hela yao vizuri sio siye twanda na catalogy...Ikulu ya mabilllion wakati uchumi wenyewe!!!!!jecha

    ReplyDelete
  4. safi sana, yaani jamaa simple tu! reminds me ya waziri mtanzania aliekuwa anaenda kupewa msaada na balozi wa Denmark, balozi kapanda economy waziri yuko first class!! Jikune unapoweza!!

    ReplyDelete
  5. ata me nimependa inaonekana hawana makuu kuliko uwezo wao,,
    safi sana,ivi Guyana iko mitaa ipi ya dunia?

    duh prof mwandosya yupo?jamaa km hayupo vile

    teh teh teh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...