Roman Abramovich talks to deputy Minister for Industreis and Trade Dk. Cyril Chami soon after his arrival at the Kilimanjaro International Airport last night. (photo courtesy of IPP)
Chelsea FC's billionaire owner Roman Abramovich climbs Kilimanjaro Mountain for eight days starting tomorrow via the Shira Route in West Kilimanjaro via the Western Breach Wall, after that he goes back to London.

He arrived last night at around 8pm, slept at Rivertrees just outside maji ya chai in Arusha, and early this morning boarded a helicopter to Simba Farm where he spends the night before his Kili-trek tomorrow morning.
He will be back in London for the Tuesday, 15 September 2009 Uefa Champions LeagueChelsea v FC Porto at Stanford Bridge.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 41 mpaka sasa

  1. HIVI MAANA YA CONFIDENTIAL NININI? MWENZENU KAFANYA SIRI NYIE MNAMUANIKA AMEKUJA BONGO KUKIMBIA MAPAPARAZI KUMBE NYIE NDIO HOVYOOO KABISA INATIA AIBU. ETI KALALA HAPA KESHO ANAKWENDA KULE ATAPITA NJIA HII HIVI MUNAJUA KUWA HUYO NI BILIONEA NA KUNA WASIOMPENDA WANAOTAFUTA KILA NJIA KUMDHURU NA SASA NYIE MNAMUANIKA KAMA MPUNGA.. ELIMU MMEKATAA NA SASA MNATUMIA UJINGA.

    ReplyDelete
  2. Mheshimiwa Dr Chami usizubae. Mpige orientation huyo mzito kuwa ni utamaduni wa kitanzania kusaidiana katika shughuli mbali mbali za kijamii kwa njia ya harambee au pledges. Mwambie kuwa mwakani kuna uchaguzi mkuu kwa hiyo akupige jacky ili kampeni yako ya ubunge iende vizuri. Aisee usilase damu meku.

    ReplyDelete
  3. na huyo WAZIRI MZIMA ameacha shughuli za kujenga taifa amekwenda kumpokea MTALII kisa BILIONEA, hivi atakuwa ametumwa na JK ama amekwenda kwa SHIDA ZAKE TUU. Maana kama kila mtalii anapokewa na waziri basi itabidi ofisi yake iwe uwanja wa ndege. BONGO NOMA SANA..ninavyojua mimi mtu akienda VACATION ama HOLIDAY huwa hataki habari za kikazi zaidi ya KUPUMZIKA AMA KUFANYA ALIYOKWENDEA KAMA KUPANDA MILIMA. Hivi siku hizi hakuna "PROTOCOL". kaja HASHIMU kisa atacheza NBA basi msafara mpaka ikulu...BONGO MNABOA kinoma...MNATUPOTEZEA HESHIMA

    ReplyDelete
  4. mbona wabongo tunapenda kujidhalilisha kiivyo, hii ilikuwa safari binafsi sasa waziri kaenda kufanya nini? mbona tunatia aibu namna hii, yeye roman hataki iwe big deal ndo maana kaja kimya kimya!!!! nadhani wangejua mapema kwamba msela anakuja angepokewa kama mfalme na kupelekwa straight ikulu!!!!
    wabeba box tunajisikia vibaya sana katika hili kwa sababu watu kama hawa ni wa kawaida sana huku tuliko tunapishana nao kila siku!!!!
    sasa mtu kajijia private mpaka waziri anaenda kuuza sura, aliitwa au hana kazi za kufanya?
    ivi huyo waziri hapo aliongea nini maana inawezekana hajui hata kama jamaa anamiliki chelsea na ni tajiri namba 51 duniani....yeye alistukizwa tu kwamba kuna tajiri anakuja KIA nenda kampokee!! we check mwenzie yuko simpo yeye kajipiga na mi-suit ya kushona kwa fundi wa pale ilala!!!
    Siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli!!

    By Mbeba box maarufu, UK

    ReplyDelete
  5. KAMA VIP WADAU ANGALIENI TU,BODY LANGUAGE YA ROMAN NA HUYO WAZIR.
    NI WAZI MRUSI ALIWASHAANGA

    BASI TU KUJA NA NDEGE YAKE BINAFSI NIN,WATU UJIKO.

    UMBU TUENDELEE MBELE BWANA.

    ReplyDelete
  6. Annoy 12.45Pm Nakusupport kabisa. Watanzania wachache wasio shughuli za kufanya haya kiongozi wanapenda kushobokea watu. Unaona sasa Romain amekuja kula goodtime kimya hakutaka usumbufu wa mapaparazi watu wanajipendekeza .AIBU
    Hashimu mlimpokea kama mfalme Airport na Ikulu amewashangaa na kuwajibu kwamba Mnajifanya mnamjua sana na mmesaidia mafanikio yake wakati yeye binafsi amefight life yake. Sasa amewaumbua wote kwenye gazeti la mwanahalisi Sept 29(jana) mnaona madhara ya kushobokea watu. We tafuta maisha yako na jinsi gani utatoka sio kuwafagilia watiofaniliwa wasiokuja ukusaidia chochote kwenye maisha yako.

    ReplyDelete
  7. NA NYIE WABEBA MABOX MMEZIDI KILA KITU KWENU NI KUKANDIA TU MNAJIFANYA MNAJUA KILA KITU KUMBE HAMNA LOLOTE, KUNA MCHANGIAJI HAPO JUU KASEMA WATU KAMA HAWA UK NI KAWAIDA KUPISHANA NAO MITAANI, USITUDANGANYE UNAISHIA KUWAONA KWENYE TV TU, TUNAJUA MNAVYOOISHI HUKO, MMEFULIA, WENGINE MKISHUKA AIRPORT MMEPAUKA KAMA MMETOKA CHOLE SAMVULA

    ReplyDelete
  8. ama kweli watu mnapenda kuosha vinywa. Sasa mnamlaumu mheshimiwa waziri hapo kosa lake ni nini. Mjue kuwa wairi ni mbunge wa wananchi wa huko moshi, je mnajua kwamba yeye ndiye aliyemualika huyo tajiri huko?? Kwa nini msisubiri mpate taarifa zaidi ndo muonshe vinywa.... aaagh mnaudhi nyie.
    Asnte kaka mithupu
    Mdau kiatu na 13

    ReplyDelete
  9. Safi sana Mh.Cyril Chami 'kumzukia' Billionea Abramovic, maana sisi waswahili mgeni ni wetu wote, sio mbaya kumsalimia na mgeni kufahamu serikali inathamini watalii.

    Maana kuna masuala ya 'logistic' kufahamu usalama wake, dharura ya kiafya, akikumbwa na kimbunga cha 'snow' Uhuru summit mgeni huyu maarufu asaidiwe vipi na vikosi vya uokoaji n.k. Hiyo serikali pia ni mdau kama vile tourist agent alivyo mdau ktk sekta ya utalii.

    Mdau
    Utalii College

    ReplyDelete
  10. PM (ingawa nilisema nk likizo)September 03, 2009

    we unayedai unapishana nao kila siku acha ufala!!!! we mbeba box utapishana wapi na bilionea, usitufanye watu wajinga, eti huyo huko ni mtu wa kawaida!!!! mnaona wabongo woooooote ni mafala kisa hatubebi box!! kwenda zako huko, sifa tu wakati huna lolote!

    ReplyDelete
  11. wabeba mabokisi njoni bongo..

    kwani ni tambarare.

    hamuoni hata bili..onea kaja huku.

    hakuna pulution kila kitu ni natural.

    pia ma--deal kwa sana.

    asieamini..
    bofya
    http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=8314

    ReplyDelete
  12. Heeee ni blaaah sana

    ReplyDelete
  13. kujipendekeza tuu hiyo ni ziara yake binafsi kwa lugha nyepesi vekesheni sasa wewe jibababa ziiiima kujitoa kimasomaso na kwenda eapoti alikupigia simuu???? ndo yaleyale ya marehemu michael jackson kaja kivyake hadi mr presidenti kaenda kumlaki kweli wabongo sijui tunatoka sayari ipi kazi kushobokea tuuu watu flaniflani mara mia wangeenda wadau wa ze bluuz tungejua moja wanatafuta maujiko na wewe je m asernali mkubwa mh go hooooome i feel full kichefuchefu kha!
    mdau canada

    ReplyDelete
  14. HIVI WE BABA NANI KAKUTUMA UPELEKE KWATO ZAKO HAPO???? KUJIKOMBAKOMBA TUUUUUUUUUU!!!!!!!

    ReplyDelete
  15. eti limeenda limevaa na suti kabsaa kuonyesha msisitizo kwi kwi kwiiiiii uuuwiii kiru!
    mdau miss michuzi

    ReplyDelete
  16. Nyie mafala msibishe wala nini hawa mabilionea hapa newyork kina mayor blooberg tunapanda nao treni na wala hamna mtu anawababaikia, nyie huko africa mnaona mtu kendesha vijigari vibovu used ndo tajiri ndo maana foreni imejaa kama vumbi lilivyo huko. Abromavic ni mtu wa kawaida huku kwa wapiga boxi,pia huku hatuombi ombi ovyo kama huyo waziri wenu hapo. Boxi inatutoa mzazi.

    ReplyDelete
  17. Tunapishana nae kila siku
    Jee umesahau kutuambia kuwa wapiga brashi kwenye misahala nyumbani kwake?

    ReplyDelete
  18. Yaani li naibu Waziri lizima linaacha kazi linakwenda kushangaa bil alieamua kuja hapa kupumzika tena kimya kimya?? Au anataka asogeze bakuli la uchaguzi mwakani?? We Chami acha kujibishororo, fanya kazi.

    Kwanza mtizame bil mwenyewe, simple casual kabisa!! Ingekuwa mtz basi ni suti kama ile ya Chami. lo ushamba kazi mangi.

    ReplyDelete
  19. OSHENI VINYWA WEEEEE LAKINI THE FACT REMAINS KWAMBA MSELA KAJA NA KALETA MIHELA. SIKU NANE KUPANDA MLIMA SI HABA ETI, WAKATI HUO DEGE LAKE LIMEPAKI KIA (MCHUZI UNAINGIA)WAKATI WA KUONDOKA BP WATAUZA JET A-1 (MCHUZI UNAINGIA).....THE LIST GOES ON and ON..
    NYIE WATUMWA WA BOX MNAOJIFANYA MNAPISHANA NAYE HUKO UK ACHENI KUONA WATU MAZOBA HAPA!!! UTAONANA NAYE WAPI! HUKO KWENYE GAME ANAKAA MBALI SANA NA KAJAMBA NANI.. ANAKOSHOP WEWE HUTII KONGORO ZAKO... HUNA HADHI YA KUFAGIA UWANJA WAKE (maana hueleweki eleweki) PAMBAFU...
    CHAMI ALIKUWA NA ISHU ZAKE TU EAPOTI AKAGONGANA NA MTI PESA SASA AFANYEJE.. KAMUA BABA KAMUA BABAAAAA

    Mdau deslam

    ReplyDelete
  20. Dr. Chami mnamwonea bila sababu, yeye alikuwa jimboni kwake Moshi na akakutana na huyo bilionea VIP airport sasa mlitaka wasisalimiane? Kumbuka VIP huwa kuna watu wachache kwa hiyo hata asingelikuwa huyo bilionea angesalimiana na wengine ambao wangekuwepo!!

    ReplyDelete
  21. KONFIDENSHO!!???!!!
    UNA UHAKIKA?? THINK AGAIN....

    ReplyDelete
  22. anon 2:43:00 sasa wewe unavyobisha kuwa wadau wa uk huwa hawapishani naye ina maana yeye ana barabara yake juju kwa juu huko angani?? si anapita barabarani kama watu wengine? haijalishi kwa gari au nini sijui ni kupishana naye tu kwa sana kama vile jk anavyopishana na wadau kibao hapo bongo sio kila kitu mnabisha weee na mambo yako wazi for ur infomesheni wabeba boksi wanapiga boksi na wanakula raha ile mbaya we acha tuuuu usilolijua litakusumbua ulaya marekani canada kwa kifupi majuu kuna raha ajabu ukiwa na vidolari vipound aahh huvai mtumba wala cheap cheap stuff from china maji mara moja pwii kimepauka bin kuchanika full clean water unafungua tu bombani wajinyweaaaaaa na hili pia bisheni umeme bwerere noooo mgao marufuku usafiri wa kumwaga treni mabasi hata malimozini wewe tu na shofee no vumbi kusafiiiiii haki ya nani ni full shangwe najua mtasema ooh sijui nini ni sawa na huko kuna wengine wanasoma wengine hawasomi ni yaleyale hivyo sio kila mtu huko ati ana maendeleo big noo majobless kibao tena nyinyi waosha vinywa wengi humu viza ilidunda sasa hapa ndo pa kuweka machungu yenu he hee wrong number kajaribuni tena kuomba visa remmy ongala aliimba tembea uone mambo usingoje kuambiwaaaaaaaaaaaaaaa
    miss michuzi

    ReplyDelete
  23. tatizo viongozi wetu wamezoea kuomba omba kwa hiyo huyo waziri labda katumwa na Boss wake akajipendekeze, kwa kweli ni aibu sana

    ReplyDelete
  24. Kuja kwa Abramovich inawezekana ni matunda ya ziara ya mademu wa wanasoka wa England. Asingekuwa na private jet huenda angefikia Kenya.
    Taswira inasema mengi.
    Abramovich amevaa mavazi simpo tu.
    Waziri wetu ameulamba. Lakini ni mwenye mavazi simpo mwenye pesa kuliko serikali.
    Abramovich anaonekana kushangaa amekuja kwenye vekesheni halafu anaombwa hela na mtu mwenye suti. Hii picha inawakilisha aibu ya nchi yetu.

    ReplyDelete
  25. Ujue hapo kuna kuomba misaada.

    ReplyDelete
  26. Wewe mdau wa 03:28
    Huna haya hata kidogo, wajitapa hovyo
    Kwanza huyo mayor wa New York humjui hata jina
    Blooberg... my foot!
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  27. Nyie mnaojifanya kufahamu sana mambo ya Ulaya na America hamjui mnachozungumza hapa.

    Msichangie tu bila kufikiria kwa makini, zaidi katika upande wa manufaa ya ziara hii kwa TZ.
    Kwa hiyo ili kujua hilo lazima kuna maswali ya kualiza. Kwa mfano tu.

    Roman amekuja TZ kufanya nini? Hakuna mtu amejibu hilo zaidi ya kusema tu amekuja kupanda mlima. Mimi binafsi sijui kiini haswa cha ziara yake. Na vile siweze kujua kama serikali ilipata taarifa ya awali kama Roman anakuja TZ, lakini kama waziri ameenda pale ina maana serikali ilikuwa na taarifa.

    Je ni nini impact ya Roman kuja TZ? Wengi hamjajibu hilo.Kuna mtu mmoja amasema ziara hii itakuwa na manufaa kwa utalii TZ. Huyu amepatia.

    Swali la tatu, kwanini waziri ameenda kuzungumza na Roman. Hakuna mtu amesema kitu hapa. Katika mambo ya biashara kuna kitu kinaitwa networking. Waziri kuzungumza na Roman kunaweza kukaanzisha network mzuri kwa mambo mengi hasa ya biashara, Roman ni mtu tajiri na anayefahimika duniani. Hivyo anaweza kuwashawishi matajiri na marafiki zake kutembelea na hata kuweza TZ. Hata mwenyewe vile vile anaweza kuwa mwekezaji mzuri tu. Duniani siku hizi kuna competition ya Foreign Direct Investment, kila nchi duniani inataka FDI kwa hiyo kama nafasi inapatika ya kuongea na mtu tajari lazima itumike.

    Kwa wadua ambao ni wafuatiliaji makini wa mambo mtakumbuka muda si mrefu mke wa Ashley Cole – Cheryle Cole akiwa na warembo wenzake alipanda Mt Kilimanjaro kwa ziara ya Comic Relief. Kupanda kwao mlima Kilimanjaro kulitanga mlima na TZ kwa ujumla kitu ambacho ni kizuri. Na si ajabu Roman kaja kutoka na ili ziara ya Comic Relief. Ziara ya Roman nina matumaini italeta mafanikio zaidi.

    Naomba serikali ihakikishe kuwa anapata huduma muhimu anazotaka na anaenjoy kuja TZ.

    Sitaki kuwapotezea muda ila kitu cha msingi wadua jaribuni kuwa makini zaidi wakati wa kutoa maoni

    ReplyDelete
  28. Huo Mlima utapandika kweli na Chelsea habari ndio Hiyooooooooo.... Ila kuhusu Mbunge mwacheni jamani anakaribisha mgeni tu. Hata mie Mpigwa vumbi nafikiri nikienda US AND A naweza kupokewa na Mjumbe wa Nyumba 5no 5no. D.

    ReplyDelete
  29. Kuna watu humu hawajui wanachoongea. Mnapenda kujifananisha na nchi nyingine wakati sisi maskini. Tanzania ni maskini washkaji. Kwa waziri kwenda pale ni heshima kubwa ambayo amepewa Boss wa Chelsea kutokana na status yake. Anampa customer care ya maana ili next time aweze kurudi yeye na familia yake na rafiki zake.

    U cnt compare us(Tanzania) with USA or UK or any other developed countries like Brazil...we are still developing, kwahy mawaziri na viongozi wetu wanafaa kuwajibika. Naona nyie wabongo mmekalia ujinga tu kukosoa mambo msiyoyajua, mnajidai babkubwaaa sana wkt nchi yetu ipo maskini. tuchangamkeni washkaji.

    Tukue, tukueni mazee...nchi yetu ipo ktk hali mbaya sana. ni wajibu wetu sote kuikuza. Mkiona Hasheem amealikwa Ikulu ujue inachochea ukuaji wa vipaji kama vyake, anatangaza jina la Tanzania. kwanini asialikwe Ikulu???
    U all wait when i become a president of Tanzania. we need change...

    Michael Jackson kaja, kwann asipokelewe na Rais??? do u guys know who was Michael Jackson??? for him just to be in Tanzania had created interest to tone of tourists. how many countries would dream him to visit? msiongee ovyo vijana. rudini shule au kama mpo shule inabidi mkazanie kusoma na kuelewa. mm hapa USA naona tu vijana mnavyoharibika, kazi kukalia mademu 24-7 na wanaume na pombe(budlight,budweiser,heinken na uchafu mwingine). its time to change, acheni kuchezea maisha. we gt to be like Nigerians or Kenyans kidogo. Sisemi wabongo wote, bali wachache mnaoharibu jina la bongo.

    Sisi wabongo sifa yetu ni si washamba, ni si limbukeni...we are wabongo. lets focus and be serious with life. lets support each other to reach our goals. wen i talk about support i dont mean money, but support ya ideas and other misaada.

    wangapi tupo USA tunasoma??? kwani ukimuona TI au Beyonce live, nini cha ajabu?? acheni ulimbukeni, ni ujinga mtupu. kama unaonana naye live ni kivyako. tukue vijana, inabidi kukua. otherwise tunapoelekea si kwenyewe.

    Mimi nampa hongera waziri, u know what u doing. watu wanakukosea heshima, kwanza: kwa kutojua wanachongea, pili: wanakosea heshima cheo chako, tatu: wanakosea heshima elimu yako,nne: wanakosea heshima utu wako na mwisho:wanakosea heshima familia yako na ndugu na jamaa.

    Mungu ibariki Afrika.
    Mungu ibariki Tanzania.

    ReplyDelete
  30. Kaka misupu,
    nimekuwa nazimini sana taarifa unazotoa kwenye blog ya jamii, ila kuna ka utata kuhusu hizi taarifa mbili za tajiri wa the blues!

    Moja ni hii

    He arrived last night at around 8pm, slept at Rivertrees just outside maji ya chai in Arusha, and early this morning boarded a helicopter to Simba Farm where he spends the night before his Kili-trek tomorrow morning.
    He will be back in London for the Tuesday, 15 September 2009 Uefa Champions LeagueChelsea v FC Porto at Stanford Bridge.

    na hii

    Chelsea FC's billionaire owner Roman Abramovich jetted into Kilimanjaro International Airport in Arusha, Tanzania, today ahead of a hushed itinerary that is expected to include visits to game parks and possibly Mount Kilimanjaro in the country's world renonwed northern tourist circuit.

    National Parks Authority (TANAPA) officials in Arusha have confirmed the high profile visitation but insisted that the tour was not for public consumption since the billionaire’s entourage is keeping the whole thing under tight wraps.

    Pascal Shelutete the Media and Communications officer for TANAPA on confirming the visit of the billionaire said that after landing at KIA Mr. Abramovich immeadiately connected to Serengeti National Park where he is supposed to be staying at the state-of-the-art Grumeti Luxury Lodge.

    naomba ufafanuzi.

    ReplyDelete
  31. Hii ni dili ya kutangaza wanasoka wetu wanaojituma.

    Mbaneni huyo jamaa angalu aite kijana mmoja akafanye usaili kwenye timu yake. Acheni ufala wabongo

    ReplyDelete
  32. Wadau mnaosisitiza Tz ni maskini nawakumbusha kwamba kuna umaskini mbaya kabisa unaitwa umaskini wa fikra. Unapoamini kwamba wewe ni maskini tu, Abramovich akija inabidi ujikombe basi hata matumaini kwako yanaisha.
    Tuangalie upande wa pili wa shilingi. Na sisi wabongo tunao wafanyabiashara wakubwa, japo sio kwa kiwango cha Abramovich. Tuna kina Manji, Mengi na Rostam Aziz. Hebu niambieni kama Rostam Aziz akitembelea Uingereza atakaribishwa kunywa chai na malkia. Mengi akienda Marekani atapokelewa na waziri yeyote? Umaskini wa fikra ni mbaya. Lazima tukumbuke kwamba japo hali ni mbaya lakini kwa juhudi na maarifa tunaweza kujitoa.

    ReplyDelete
  33. jaman kumbukuen kuna hao mnaowaita wawekezaj ila so far wananchi wanazid kuwa masikini na hali ya maisha ni ile ile ya ya cku zote so sielew huyo jamaa mtainvest nini cha ajab sana ambacho kitatukombokoa ktk umasikini huu hasa wa fikra..kama kweli tunadhamiria kujitoa kwenye umasikini bas ni kuongeza uwajibikaj lakn co kwenda kuuza sura na bilionea au kusubiri m2 aje atuwezeshe eti ndo tuendelee..wabongo tubadilike !!!!

    ReplyDelete
  34. Tatizo lipo wapi? Wengine kukandia ndio njia ya kuondoa msongo wa mawazo!

    ReplyDelete
  35. Wabeba box bwana! Wanajifanya wanajuaaaaaaaaaaaa!Eti wao wanapishana nao watu kama hawa mitaa ya London Nakumbia utakesha unamsubiri wala hautamwona huyo tajiri wa kirusi!

    ReplyDelete
  36. MICHUZI VIPI MBONA MWOGA MWOGA WEWE? UMEOGOPA KUWEKA COMMENT NILIVYOANDIKA HUYU RUSSIAN CRACKER TUSIMKARIBISHE KWA SINDIMBA MAANA KWAO RUSSIA WAGENI WEUSI NI KINYESI...NDIO UMEOGOPA KU PUBLISH FACTS ABOUT RUSSIAN CRACKERS? ANAKUJUA HUYU REDNECK MPAKA UHOFIE ATAKUPUNGUZIA UGALI AKIPAKWA KWENYE BLOG YAKO?

    KASUMBA YA KUBABAIKIA WAZUNGU TU.

    WAZIRI NAE ANAJIONGELESHA VIJIMAMBO VIIINGI CRACKER MWENYEWE HATA HAJALI...

    ReplyDelete
  37. I can see clearly why some Tanzanians deny their nationalities. It's a big shame at this moment to be associated with Tanzania. A minister of Industries & Trade came to receive Roman Abramivich(Russian billionaire)who is in the country for unofficial visit of its national reserves including the sightseeing and climbing of Mt. Kilimanjaro. These ministers need to be taught a lesson on Diplomatic Protocals & Etiquette. Most of these visitors prefer to keep their itineraries private, most notably Abramovich. Instead of attracting tourists, you're distracting them with the lavish and unnecessary attention. Thank you very much. IT'S A SHAME.

    ReplyDelete
  38. I can see clearly why some Tanzanians deny their nationalities. It's a big shame at this moment to be associated with Tanzania. A minister of Industries & Trade came to receive Roman Abramivich(Russian billionaire)who is in the country for unofficial visit of its national reserves including the sightseeing and climbing of Mt. Kilimanjaro. These ministers need to be taught a lesson on Diplomatic Protocals & Etiquette. Most of these visitors prefer to keep their itineraries private, most notably Abramovich. Instead of attracting tourists, you're distracting them with the lavish and unnecessary attention. Thank you very much. IT'S A SHAME.

    ReplyDelete
  39. Waziri kuvaa suti hiyo ni protocol.kama unataka kuvaa suti omba uwaziri na wanapewa pesa ya mavazi hao.Ukweli ni kuwa Roman ni mtu maarufu na tajiri.kuja kwake ni fursa kubwa kwetu.Waziri huyo hajaenda kivyake anatumia chansi hiyo ingawa ni binafsi japo kufanya networking ambayo itasaidia taifa baadae.anoy 5;53 amemaliza yamgu yote.MSIKILIZENI YEYE.

    ReplyDelete
  40. wenye pesa huku majuu hawaringi wa kujionyesha kama waafrica, angekuwa ni mwafrica huyo angevaa kiatu cah gold mguuni! mie nikitoka zangu UK nikija bongo wala natinga zangu malapa na ki t-shirt mpaka ndugu zangu wananisema wanasema sasa wewe si umetoka UK mbona unavaa kishamba hivyo! sikuamini na dala dala kwa sana, kweli unaenjoy hakuna hata kabaka atakae kufuata! so thats me!

    ReplyDelete
  41. Mithupu babangu, shimboni
    Inanifurahisha sana nikisoma maoni ya wananchi kwenye blogu yako. Inanionyesha level ya logic ya hao wananchi na pia inaonyesha their hidden aspirations and suppressed dreams. I just want to point out that
    POVERTY and PRIDE are bad bed fellows
    Ngojeeni huyo mgeni atakapoondoka atasema nini, halafu ndiyo muanze kusafisha vinywa
    Mark my words
    Mungu ibariki Tanzania
    Wakatabahu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...