Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Maneno Mbegu ((kushoto), akimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa Uchangiaji wa Mfuko wa Ujenzi wa Tawi la Chuo Kikuu cha Tumaini, jijini Dar es Salaam, Mhandisi Harold Temu, mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni 25 mchango wa TBL kusaidia ujenzi huo. Wanaoshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika, Dar es Salaam jana, ni Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Geoffrey Mmari (wa pili kulia) na Japhet Minja ambaye ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho upande wa taaluma.
Home
Unlabelled
TBL yasaidia Milioni 25 chuo Kikuu cha Tumaini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Naona hiki chuo hakina tumaini kabisaa, kama ninavyofahamu itikadi za kanisa la kilutheri, wasingekubali vijisenti vya kilevya. Ni kama mfano TBL wafuturishe waisilamu, nafikiri hii haiwezekani.
ReplyDeleteMkulima Kisarawe
Tumaini kulikoni majina ya Temu, Minja, Mmari bila shaka bursar atakuwa Masawe n.k!!!!!!!
ReplyDeleteMUNGU WANGU,YESUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!!!!!!!! NI NINI HIKI, SASA TUTAPONEA WAPI? KAMA WALUTHERI YALE YA ROSTAM MLIPIGA KELELE ETI FISADI HAWEZI KUSHIRIKI NA NYIE BIBLIA INAKATAZA, JE KILEVI MUNGU ANARUHUHUSU, HII HELA YA TBL YA NINI MNAPOKEA? KWANI ILI CHUO CHA KANISA KIENDELEE LAZIMA MPOKEE HIYO HELA?
ReplyDeleteSASA VIONGOZI WA DINI MNATUPELEKA SIPO?
Mkulima Kisarawe alishasema, pls rudisheni hiyo hela, hatuitaki humu kanisani. Eeehe ni nii hiii ..!!???, semeni wakulima tuwachangie vijana wetu waende shule
ReplyDeleteAcheni itikadi zenu mbovu nyie wakati mnalalamika kilevi legue ya Znzibar inazidi kudidimia ebu jaribu kufikiria chuo cha Kiislam pale Morogoro kingekuwa kinapokea misaada kama hii kingekuwa wapi? Wale wanaopinga shule ya Kikristo kupokea misaada ya TBL nathani ni wenzangu nami Walokole wanaosoma biblia wakati wameigeuza! Yesu mwenyewe aliongeza mikate, divai (Wine) na samaki watu wakanywa mpaka wakasaza! sasa tatizo liko wapi? Solder on Prof.(s) na wala msiwasikilize hao wanaopiga makelele eti mbona majina yenu yakina Masawe nauhakika vyeti vyenu vilikuwa bora zaidi wakati wa Interview ya kuomba kazi Tumaini! Mbona hamuulizi siku hizi CCM kila baba aliye madarakani na mtoto anafuata hata kama baba bado yupo madarakani? haohao wachaga mnaowasema ndo haohao wako ready kufanya kazi na mtu yeyote awe Mkenya (KCB,Precissionair, ITV/EATV, Athi River)? awe M-South Africa(TBL, Mnet, Kwanza Bottlers,Tanga Cement, Vodacom, Zain) kama Wahaya walivyo makatibu wakuu wa Sirikali ya Mafisadi! ina maana hawaogopi kunyang'anywa kazi au biashara zao kufa? Jibu ni hapana ni watu wanaopenda kujaribu ukiwapa nafasi na kila Mtanzania anapaswa kuwa hivyo! Acheni kelele nyingi kuweni washindani!
ReplyDeletewachagga bwana, wako kila mahali, TBL wamejazana kibao wao ndiyo mameneja, wao ndiyo mamiss kote huko wapi, nawapa hongera kwa hilo
ReplyDeleteTBL wanashindana na VODA nani mwenye pesa zaidi na kutoa msaada zaidi, nyie tu hamjui
ReplyDeletewachagabwana hata kule kijijini kwetu malangali mufindi kijiji cha itengule wapo tele,kwa kugombania ardhi ndo wenyewe, ukipakana nao kwenye ardhi imekula kwako bora uuzie mchaga mwenzie wapambane wao kwa wao.siwapendi
ReplyDelete