The Director of Union Affairs in the Vice President’s office, Ms Mary Anita Peter Ngowi (45) died in Dar es Salaam last Wednesday morning after losing a long and painful battle with cancer.

Ms Ngowi, a longtime civil servant, passed away at TMJ Hospital when her condition deteriorated dramatically.
During her in the civil service, Anita held various posts, including sate attorney in the Law Reform Commission, commissioner of communication in the then Tanzania Communication Commission, legal counsel to the Ministry of Transport and Communications before she was appointed to the position of Director of Union Affairs in the Vice President’s Office, a position which she held until her untimely death.

The late Anita was holding a Master of Law (LLM) from the University of Malta, in Malta and a Bachelor of Law (LLB) from the University of Dar es Salaam.

She attended Forodhani Primary School before joining Forodhani Secondary School and ultimately Zanaki High School.

According to her brother, Dr Jerome Ngowi, the late Anita would be laid to her final resting place on Tuesday 22nd September 2009 at the Kinondoni cemetery.
She is survived by three children,
Walter, Miriam and Clifford.
MAY THE ALMIGHTY GOD LAY
HER SOUL IN ETERNAL PEACE
AMEN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 30 mpaka sasa

  1. Rest In Peace Anita!

    ReplyDelete
  2. mungu amlaze mahali pema peponi ni dada yetu enzi zile za shaiffu shamba. amen

    ReplyDelete
  3. njia yetu wote mbele yetu nyumba yako napenda kuwapa pole family yake kwani hiki ni kipindi kigumu kwao ila tumuombeeni tu ili siku ya mwisho muonane naye

    ReplyDelete
  4. Poleni wafiwa, Bwana alitwaa na Bwana ametwaa! Ndugu muandishi, ni "she" and not "he"!!!!

    ReplyDelete
  5. Rest in Peace Mary Anita. Pole nyingi sana kwa watoto nani kama mama jamani.

    ReplyDelete
  6. Mary shule uliisoma urembo ulijaliwa, lakini udongo hauchagui. RIP

    Halafu nawe michu umeanza ukanumba mara she mara he,jua mahali pa kutumia haya maneno.
    Usione soni kuitoa hii kwa ukanumba wako.

    ReplyDelete
  7. Indeed she was beautiful and intellegent! .R.I.P Anita .

    ReplyDelete
  8. Helloo,

    I dont know the lady but I really feel sad for her very untimely departure.It so bad such our immature counrty to loose such potential people.
    Let God receive her,put her in his blessed arms while we are getting ready to join her in our ever last home, the heaven. Always, to die is profitable, to live is a priveledge. Amen.

    Senior boxing officer.
    USA.

    ReplyDelete
  9. RIP. Naungana na mdau wa hapo juu. Mara He mara She haipendezi hata kidogo na kamwe si kitu cha mzaha...

    ReplyDelete
  10. Mi nadhani Micuzi hajakanumba, ina wezekana ni katika haraka ya kubofya keyboard.
    Lakini hata hivyo ni vizuri kumshauri kama anao ukanumba basi aupige vita.

    ReplyDelete
  11. Jamani poleni sana wafiwa, haswa watoto kupotelewa na mama ni kitu kigumu sana, mimi nimekipitia najua ilivyo ngumu, ila Mungu mwenyewe atawafariji. Na nyie wadau mnajitia kukosoa "she na he" inaelekea hata lugha hamuijui hilo tu ndio mmeweza kusoma, kwani hamjaelewa ujumbe au ni ufinyu tu wa akili na wee anon wa 11:39 unaendeleza kumsakama Kanumba wawatu wivu hautakufisha popote wajiba uendeleze maisha yako usimuonee mwenzio wivu akisonga mbele kwani hakukataza kujituma.

    ReplyDelete
  12. It's HARD to beleive, RIP Anita

    ReplyDelete
  13. Pole nyingi kwa wanafamilia ya NGOWI kweli mmepata pigo kubwa sana. Pengo aliloacha Anita haliwezi kuzibika kirahisi, Anita alikuwa msaidizi sana si kwenu tu bali kwa watu wengi. Mungu awape nguvu ndugu wote maana BWANA alitupa kiumbe chake kizuri... na Bwana amemtwaa. R.I.P. Anita. Tutakukumbuka sana kwa mema mengi uliyoyafanya hapa duniani.

    ReplyDelete
  14. Duniani sisi wampitaji tu. Pumzika salama mama. Mungu awalende watoto wako

    ReplyDelete
  15. Kwanza Poleni sana familia ya ngowi kutokana na msiba huu mzito na pili naiomba serikali yetu iandae project za kuwaelewesha wananchi kuhusu Cancer,kuna type za cancer kwa mfano ya Cervics toka precancer mpaka cancer yenyewe inachukuwa miaka saba,just single check up through pap smear unaweza kuinyaka wakati ipo katika precancer na matibabu yake unapona kabisa.
    Nyingine ya matiti,inapokuwa katika early stage yake unaweza simply ukaigunndua ka kujifanyia check up mwenyewe kupitia mikono yako,na ukapata matibabu mapema kabla haijasambaa.
    Zote cancer hatari zina dalili zake mapema,inaniuma sana kumpoteza such a potential woman katika nchi kwa kutowajibika kwa serikali

    ReplyDelete
  16. Rest in peace aunt Anitha...my condolences to Bibi&Babu Ngowi,uncles,aunties, and cousins.My prayers are with you always.

    ReplyDelete
  17. Pole sana Gerald,Doreen, Evelyne, Rodrique,Florence,Deo and Dr. Jerome Ngowi...bila kuwasahau watoto wake Walter ,Miriam And Clifford Tenga..na Mama Ngowi and Baba Ngowi( Of Ilala sharifu shamba) Bwana ametoa na Bwana ametwaa,ni ngumu kuamini ila ni mapenzi yake,tumuombee katika safari yake...it so sad, I can't believe it...R.I.P My Wifi Anitha Mary Ngowi.

    ReplyDelete
  18. watoto poleni sana.Mary alikuwa mbele yangu Chuo kikuu, tukakutana nae gym coloseum 2005/06 wakati tunastruggle kuboresha afya.Nimesikitika sana..

    ReplyDelete
  19. R.I.P. Anita....

    ReplyDelete
  20. Poleni sana wafiwa kwa msiba huu mzito. Mungu awajalie subira na faraja ktk kipindi hiki kigumu. R.I.P cousin Anita

    ReplyDelete
  21. Da Anita kwa kweli ninashtushwa sana na kifo chako! Nakumbuka wakati ule tukiwa jirani Sharifu Shamba, ulikuwa ni dada mwenye tabia njema kwa kweli. Mama Ngowi, mzee Ngowi, Bahati, Giddy,Lensi na familia yote Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Mungu atawatunza watoto wake aliowaacha, tusichoke kumuomba.

    Anita, RIP Dada yetu.

    ReplyDelete
  22. May the Almighty, rest you (Anita Ngowi) in Peace!
    Amen.To the Ngowi Family, May the Lord grant you energy,peace and Love to accept your loss at this time.

    ReplyDelete
  23. Anita you will always be remembered, R.I.P. Anita

    ReplyDelete
  24. Hata sijui niandikeje........ samahani wadau wa blog msinishambulie....

    Nimekuwa tomaso bado siamini kama kweli amefariki dada Anita, alikuwa mrembo, msomi, mcheshi, sauti ya upole.

    Nitakukumbuka daima. Kuna msemo wa kwetu unasema " MUNYWANYI WAWE OLWO KUFA AFELWA"

    Angefiwa Anita ningekwenda kumpa pole, lakini ni yeye peke yake niliekuwa namfahamu nikienda msibani nitalia sana na watu hawatanielewa, Jamani inauma sana kufiwa na mtu unaemjua.

    Biblia inatukumbusha kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe sana.

    ReplyDelete
  25. Mama Milly RIP, poleni sana wafiwa especially the kids. Giddy poleni sana, mimi sina hata lakusema nimesikitika sana.

    ReplyDelete
  26. I rily admired aunty Mary Anita...she was a gud person...she z unreplacable.......but i believe God had good plans for her....its rily sad and painful....
    Walter,Miriam and Clinford have faith and pray because i believe God will always stand by u.......May her Soul rest in peace........

    ReplyDelete
  27. Poor Anita, too young to be dead,you were beatiful, well talented, Taifa, familia, watoto walikuwa bado wanakuhitaji. kalale salama dadangu. nakulilia mie Aaaaaaaaaaaaaaaanita.

    ReplyDelete
  28. MASKINI ANITA, TULIKUWA MAJIRANI ILALA SHARIFU SHAMBA.
    POLENI KINA EVELYN, DOREEN, DEO, RENCY NA JEROME.
    MAMA NA BABA NGOWI.
    MUNGU AWASAIDIE NA KUWAPA NGUVU KUWASIMAMIA WAJUKUU WENU, WALTER, MIRIAM NA CLIFORD.
    ANITA AMETUTANGULIA TU, TUTAKUTANA SIKU YA MWISHO. ROHO YAKE IPUMZIKE KWA AMANI. AMINA.

    ReplyDelete
  29. Rest in peace mama. We shall miss u greatly.

    ReplyDelete
  30. Is this Jerome, who studied in Kharkov? May your sister rest in peace.
    Makcin Kol, New York

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...