The Director of Union Affairs in the Vice President’s office, Ms Mary Anita Peter Ngowi (45) died in Dar es Salaam last Wednesday morning after losing a long and painful battle with cancer.
Ms Ngowi, a longtime civil servant, passed away at TMJ Hospital when her condition deteriorated dramatically.
During her in the civil service, Anita held various posts, including sate attorney in the Law Reform Commission, commissioner of communication in the then Tanzania Communication Commission, legal counsel to the Ministry of Transport and Communications before she was appointed to the position of Director of Union Affairs in the Vice President’s Office, a position which she held until her untimely death.
The late Anita was holding a Master of Law (LLM) from the University of Malta, in Malta and a Bachelor of Law (LLB) from the University of Dar es Salaam.
She attended Forodhani Primary School before joining Forodhani Secondary School and ultimately Zanaki High School.
According to her brother, Dr Jerome Ngowi, the late Anita would be laid to her final resting place on Tuesday 22nd September 2009 at the Kinondoni cemetery.
She is survived by three children,
Walter, Miriam and Clifford.
MAY THE ALMIGHTY GOD LAY
HER SOUL IN ETERNAL PEACE
AMEN
Rest In Peace Anita!
ReplyDeletemungu amlaze mahali pema peponi ni dada yetu enzi zile za shaiffu shamba. amen
ReplyDeletenjia yetu wote mbele yetu nyumba yako napenda kuwapa pole family yake kwani hiki ni kipindi kigumu kwao ila tumuombeeni tu ili siku ya mwisho muonane naye
ReplyDeletePoleni wafiwa, Bwana alitwaa na Bwana ametwaa! Ndugu muandishi, ni "she" and not "he"!!!!
ReplyDeleteRest in Peace Mary Anita. Pole nyingi sana kwa watoto nani kama mama jamani.
ReplyDeleteMary shule uliisoma urembo ulijaliwa, lakini udongo hauchagui. RIP
ReplyDeleteHalafu nawe michu umeanza ukanumba mara she mara he,jua mahali pa kutumia haya maneno.
Usione soni kuitoa hii kwa ukanumba wako.
Indeed she was beautiful and intellegent! .R.I.P Anita .
ReplyDeleteHelloo,
ReplyDeleteI dont know the lady but I really feel sad for her very untimely departure.It so bad such our immature counrty to loose such potential people.
Let God receive her,put her in his blessed arms while we are getting ready to join her in our ever last home, the heaven. Always, to die is profitable, to live is a priveledge. Amen.
Senior boxing officer.
USA.
RIP. Naungana na mdau wa hapo juu. Mara He mara She haipendezi hata kidogo na kamwe si kitu cha mzaha...
ReplyDeleteMi nadhani Micuzi hajakanumba, ina wezekana ni katika haraka ya kubofya keyboard.
ReplyDeleteLakini hata hivyo ni vizuri kumshauri kama anao ukanumba basi aupige vita.
Jamani poleni sana wafiwa, haswa watoto kupotelewa na mama ni kitu kigumu sana, mimi nimekipitia najua ilivyo ngumu, ila Mungu mwenyewe atawafariji. Na nyie wadau mnajitia kukosoa "she na he" inaelekea hata lugha hamuijui hilo tu ndio mmeweza kusoma, kwani hamjaelewa ujumbe au ni ufinyu tu wa akili na wee anon wa 11:39 unaendeleza kumsakama Kanumba wawatu wivu hautakufisha popote wajiba uendeleze maisha yako usimuonee mwenzio wivu akisonga mbele kwani hakukataza kujituma.
ReplyDeleteIt's HARD to beleive, RIP Anita
ReplyDeletePole nyingi kwa wanafamilia ya NGOWI kweli mmepata pigo kubwa sana. Pengo aliloacha Anita haliwezi kuzibika kirahisi, Anita alikuwa msaidizi sana si kwenu tu bali kwa watu wengi. Mungu awape nguvu ndugu wote maana BWANA alitupa kiumbe chake kizuri... na Bwana amemtwaa. R.I.P. Anita. Tutakukumbuka sana kwa mema mengi uliyoyafanya hapa duniani.
ReplyDeleteDuniani sisi wampitaji tu. Pumzika salama mama. Mungu awalende watoto wako
ReplyDeleteKwanza Poleni sana familia ya ngowi kutokana na msiba huu mzito na pili naiomba serikali yetu iandae project za kuwaelewesha wananchi kuhusu Cancer,kuna type za cancer kwa mfano ya Cervics toka precancer mpaka cancer yenyewe inachukuwa miaka saba,just single check up through pap smear unaweza kuinyaka wakati ipo katika precancer na matibabu yake unapona kabisa.
ReplyDeleteNyingine ya matiti,inapokuwa katika early stage yake unaweza simply ukaigunndua ka kujifanyia check up mwenyewe kupitia mikono yako,na ukapata matibabu mapema kabla haijasambaa.
Zote cancer hatari zina dalili zake mapema,inaniuma sana kumpoteza such a potential woman katika nchi kwa kutowajibika kwa serikali
Rest in peace aunt Anitha...my condolences to Bibi&Babu Ngowi,uncles,aunties, and cousins.My prayers are with you always.
ReplyDeletePole sana Gerald,Doreen, Evelyne, Rodrique,Florence,Deo and Dr. Jerome Ngowi...bila kuwasahau watoto wake Walter ,Miriam And Clifford Tenga..na Mama Ngowi and Baba Ngowi( Of Ilala sharifu shamba) Bwana ametoa na Bwana ametwaa,ni ngumu kuamini ila ni mapenzi yake,tumuombee katika safari yake...it so sad, I can't believe it...R.I.P My Wifi Anitha Mary Ngowi.
ReplyDeletewatoto poleni sana.Mary alikuwa mbele yangu Chuo kikuu, tukakutana nae gym coloseum 2005/06 wakati tunastruggle kuboresha afya.Nimesikitika sana..
ReplyDeleteR.I.P. Anita....
ReplyDeletePoleni sana wafiwa kwa msiba huu mzito. Mungu awajalie subira na faraja ktk kipindi hiki kigumu. R.I.P cousin Anita
ReplyDeleteDa Anita kwa kweli ninashtushwa sana na kifo chako! Nakumbuka wakati ule tukiwa jirani Sharifu Shamba, ulikuwa ni dada mwenye tabia njema kwa kweli. Mama Ngowi, mzee Ngowi, Bahati, Giddy,Lensi na familia yote Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Mungu atawatunza watoto wake aliowaacha, tusichoke kumuomba.
ReplyDeleteAnita, RIP Dada yetu.
May the Almighty, rest you (Anita Ngowi) in Peace!
ReplyDeleteAmen.To the Ngowi Family, May the Lord grant you energy,peace and Love to accept your loss at this time.
Anita you will always be remembered, R.I.P. Anita
ReplyDeleteHata sijui niandikeje........ samahani wadau wa blog msinishambulie....
ReplyDeleteNimekuwa tomaso bado siamini kama kweli amefariki dada Anita, alikuwa mrembo, msomi, mcheshi, sauti ya upole.
Nitakukumbuka daima. Kuna msemo wa kwetu unasema " MUNYWANYI WAWE OLWO KUFA AFELWA"
Angefiwa Anita ningekwenda kumpa pole, lakini ni yeye peke yake niliekuwa namfahamu nikienda msibani nitalia sana na watu hawatanielewa, Jamani inauma sana kufiwa na mtu unaemjua.
Biblia inatukumbusha kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe sana.
Mama Milly RIP, poleni sana wafiwa especially the kids. Giddy poleni sana, mimi sina hata lakusema nimesikitika sana.
ReplyDeleteI rily admired aunty Mary Anita...she was a gud person...she z unreplacable.......but i believe God had good plans for her....its rily sad and painful....
ReplyDeleteWalter,Miriam and Clinford have faith and pray because i believe God will always stand by u.......May her Soul rest in peace........
Poor Anita, too young to be dead,you were beatiful, well talented, Taifa, familia, watoto walikuwa bado wanakuhitaji. kalale salama dadangu. nakulilia mie Aaaaaaaaaaaaaaaanita.
ReplyDeleteMASKINI ANITA, TULIKUWA MAJIRANI ILALA SHARIFU SHAMBA.
ReplyDeletePOLENI KINA EVELYN, DOREEN, DEO, RENCY NA JEROME.
MAMA NA BABA NGOWI.
MUNGU AWASAIDIE NA KUWAPA NGUVU KUWASIMAMIA WAJUKUU WENU, WALTER, MIRIAM NA CLIFORD.
ANITA AMETUTANGULIA TU, TUTAKUTANA SIKU YA MWISHO. ROHO YAKE IPUMZIKE KWA AMANI. AMINA.
Rest in peace mama. We shall miss u greatly.
ReplyDeleteIs this Jerome, who studied in Kharkov? May your sister rest in peace.
ReplyDeleteMakcin Kol, New York