Hapa ni Giraffe Motel Kunduchi beach Dar ambapo warembo 30 wataoshiriki fainali za Vodacom Miss TZ 2009 wamepiga kambi rasmi kuanzia jana. Libeneke mahususi na maalum kwa shughuli za siku hadi siku linaadaliwa ikiwa ni pamoja na kupiga kura ya kumchagua Miss Photogenic. Hivyo kaa mkao wa kula na kwa sasa wajue kwa namba zao tu baadae utapata kila kitu
MAJINA YA WAREMBO WALIOINGIA
MAJINA YA WAREMBO WALIOINGIA
KAMBI YA VODACOM MISS TZ NA NAMBA ZAO
1.Glory Chuwa-Tanga
2.Sylvia Shally-Ilala
3.Miriam Gerald-Mwanza
4.Jaqueline Nitwa-Dodoma
5.Shanny Anthony-Temeke
6.Wagala Shungu Ivony Bigirwa-Kinondoni
7.Juliet William-Ilala
8.Sabina Budodi-Mara
9.Stella Chidodod- Singida
10.Ester Gao-Vyuo Vikuu
11.Sandra Malebeka- Kinondoni
12.Stella Solomon-Temeke
13.Mary Lucas –Nyanda za Juu Kusini
14.Suzan Emmanuel-Arusha
15.Aloycia Innocent-Kinondoni
16.Gladdies Shao-Ilala
17.Precious Donald-Pwani
18.Maria Daniel-Arusha
19.Gloria Mayowa-Lindi
20.Beatrice Lukindo-Vyuo Vikuu
21. Evelyn Lujamasa-Ilala
22.Witness Nesphory-Nyanda za Juu Kusini
23.Glory Willian-Ilala
24.Catherine Letara-Nyanda za Juu Kusini
25.Torry Oscar-Morogoro
26.Mary Joseph -Mara
namba 26 mbona tumbo kubwa hivyo mdogo wangu, umiss na tumbo hilo mbona balaa jamani!!!! mmhhhhh haya yetu macho!!!!!
ReplyDeleteMipini namba 9, 10,21 na 23 inafaa kutuwakilisha huko mbele ya safari bila kipingamizi, nawaaminia ingawa sijui hicho kiinglish cha kikoje.
ReplyDeleteKweli mwaka huu tutapata mrembo haswa,kwani wote ni wazuri au lugha ya mjini Bomba.
ReplyDeleteJamani..wako wapi wasichana warembo wa TZ ! Manake sijaona mie hapo, au picha?
ReplyDeletehaya sasa anko Lundenga ushimndwe mwenyewe kuchukua totoz. warembo hao wamejileta wenyewe. Lundenga ni kama Mswati wa Bongo , kila mwaka anakamata new totoz...
ReplyDeletenamba kumi na tisa 19 gladies john shao ..ni mzuri wa umbo na sura na akili huyu mtoto atashinda miss tanzania na imani na hayo kwa kweli.. wasichana wazuri pia lakini yule mtoto miss ilala namba 2 hapanaa ni balaaa go gladies...
ReplyDeletenamba 19 yuko juu
ReplyDeletegladies is the best 19
ReplyDeletegladies yule mtoto ni mjanja sana atafanya vizuri
ReplyDeleteLundengaaaa! Kazi kwako zee la kazi.
ReplyDeleteAfadhali hakuna hata ustaadhat hata mmoja, nilitaka nishangae na mfungo wote huu?
ReplyDeletePoti naona watu wa Musoma tumeamua kupeleka demu Mkurya mwenye kitambi!!!! Poti nakwambia wee acha tu............
ReplyDeletewarembo hayo! yaani wadume wako fit mwaka huu, nona number 5, 14 watafanya vizuri, GK changamkia tenda hapo kama kawaida yako kijanamwangu frommTBL
ReplyDelete12, 14, 21 hao wamepita
ReplyDeleteNamba 4 na 5 wote wazuriii
ReplyDeleteMbona hamna majina ya number 27,28,29, na 30? an ndio njama zenyewe?
ReplyDeleteilala (#2) sura anayao lakini tako limekuwa kubwa!! mkimpa huyo tumeshindwa vibaya!! labda huyo mtoto wa tanga hapo #1
ReplyDeleteMdau wa Juu
jamani huu ushabiki sio mzuri munakariri mpaka humu ndani jamani nimeangalia mara sana huyo mrembo wa 19 anasifiwa kweli hila naona ni mrembo kutoka lindi sasa yaani waosha vinywa munashida sana kazi ya kuongea tu ilimladi anko awajue kuwa munajua kuongea kwa kweli hapa mi naona mna kitu kabisa wengi wako wa bandia sio kitanzania zaidi hayo tu naomba anko usinibanie
ReplyDeletenumba 4 and 23 wako fit, warefu hawana vitumbo pia wazuri wa natural!du wadada wazuri sana mpaka nasikia kizunguzungu! TBL naombeni kazi ya umaneja basi wajameni!
ReplyDeleteMshindi hapo atatoka kati ya 3,4 na 5. Huyo 19 hata kwenye kumi bora haiingii. Mark my words.
ReplyDeletemimi najua namba tatu ndio atashinda maana sifa zote anazo labda lugha imsipande.
ReplyDeleteWote wazuri lakini msijipake poda inawafanya mpauke na kuonekana vinyago
ReplyDeleteNatural beauty mnayo lakini vipodozi njaa kali
poleni!!!
Mwakilishi kutoka ZANZIBAR mbona haonekani!!!!
ReplyDeleteAu Visiwani huko hakuna warembo?
Dah jamani mbona 19 mbovu hivyo....????Au wazee mnashindwa kuangalia totoz nzuri...
ReplyDelete---oya michuzi ebu kaa uangalie kwa makini kuanzia namba 26 mpk 30 vichwa na miili yao haviendani vizuri esp namba 27 au ndio mambo ya photoshop acheni kutuibia alaaa
ReplyDeleteno 26 kitambi na umiss wapi na wapi jamani
ReplyDeleteTukiondoa mbilikimo na wenye vitambi wanabaki namba 24,23,17,18,15 na 5
ReplyDelete