gwiji la muziki zahir ali zorro bado anaendeleza libeneke na sauti yake inazidi kuwa tamu. hutumbuiza peke yake kwenye minuso ya kiutu uzima na ukimtaka piga 0173 661 717

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. MKUU KWELI BADO YUPO JUU,SAUTI NZURI.

    MICHUZI HIYO NAMBA YA SIMU NI YA NCHINI KWETU HAPO???

    ReplyDelete
  2. michuzi namba imekosewa inabibi ianze na 0713 wala siyo 0173 rekebisha mkuu

    ReplyDelete
  3. Nikimuangalia huyu bwana nakumbuka

    1.Shelly Zinduna
    2.Zamaradi
    3.Homa ya mapenzi-akiwa na ukonga jazz
    4.Cleopatra


    Ndimi Mkulima-Kijijini Gezaulole.

    ReplyDelete
  4. nyumbani nyumbani tuu jamani nikisikia nyimbo hizi roho yangu nyeupeee hata huzuni mawazo ya maisha yote yanapotea kwa muda nyimbo nzuri sana nyama choma kwa pembeni unashushia na cha baridiii taratibuu wikiendii hiyoo inaishia niko mbali huku nakosa kabisa haya mambo matamu.

    ReplyDelete
  5. A natural, great and talented artist. Ananikumbusha usiku ule pale Mafinga JKT (24 yeasr ago - please don't tell anybody) wakati mkuu wa kikosi alipoamua kuruta wote wapatiwe dance la bure na Kimulimuli ili kutupoza roho baada ya mateso ya miezi kadhaa. Hapana alocheza ila watu wote wakasogea karibu kumtazama yeye akiimba Chiku. He then turned against the crowd na kusema "...ebo, hili dansi lenu nyie na msipocheza mnafikiri tupo hapa kwa ajili ya nini?" Yet, nobody wanted to move away from him. For me it was the first and last time I saw him in person kwa hiyo I am more than happy kumkaribisha atumbuize kwenye harusi ya mwanangu (who knows when).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...