gwiji la muziki zahir ali zorro bado anaendeleza libeneke na sauti yake inazidi kuwa tamu. hutumbuiza peke yake kwenye minuso ya kiutu uzima na ukimtaka piga 0173 661 717
Home
Unlabelled
vya kale dhahabu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MKUU KWELI BADO YUPO JUU,SAUTI NZURI.
ReplyDeleteMICHUZI HIYO NAMBA YA SIMU NI YA NCHINI KWETU HAPO???
michuzi namba imekosewa inabibi ianze na 0713 wala siyo 0173 rekebisha mkuu
ReplyDeleteNikimuangalia huyu bwana nakumbuka
ReplyDelete1.Shelly Zinduna
2.Zamaradi
3.Homa ya mapenzi-akiwa na ukonga jazz
4.Cleopatra
Ndimi Mkulima-Kijijini Gezaulole.
nyumbani nyumbani tuu jamani nikisikia nyimbo hizi roho yangu nyeupeee hata huzuni mawazo ya maisha yote yanapotea kwa muda nyimbo nzuri sana nyama choma kwa pembeni unashushia na cha baridiii taratibuu wikiendii hiyoo inaishia niko mbali huku nakosa kabisa haya mambo matamu.
ReplyDeleteA natural, great and talented artist. Ananikumbusha usiku ule pale Mafinga JKT (24 yeasr ago - please don't tell anybody) wakati mkuu wa kikosi alipoamua kuruta wote wapatiwe dance la bure na Kimulimuli ili kutupoza roho baada ya mateso ya miezi kadhaa. Hapana alocheza ila watu wote wakasogea karibu kumtazama yeye akiimba Chiku. He then turned against the crowd na kusema "...ebo, hili dansi lenu nyie na msipocheza mnafikiri tupo hapa kwa ajili ya nini?" Yet, nobody wanted to move away from him. For me it was the first and last time I saw him in person kwa hiyo I am more than happy kumkaribisha atumbuize kwenye harusi ya mwanangu (who knows when).
ReplyDelete