wajumbe wa semini ya siku moja ya Elimu ya Uraia kwa Mapolisi wakuu wa wilaya zote Tanzania wakimsikiliza kwa makini Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Ndugu Ezekiel Masanja [ hayupo kwenye picha hiyo ] wakati akifungua semina hiyo kwenye ukumbi wa ST. GARSPA, mjini Dodoma leo. semina hiyo iliandaliwa na kituo cha Sheria na Haki za Binadamu. picha na mdau Jonas Marios

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AFADHALI HAWA NAO WAPEWE SEMINA ELEKEZI INGAWA SIZIPENDI KWANI WAKITOKA HUKO ONLY 10% WATATEKELEZA MAFUNZO WENGINE YANAISHIA KWENYE MAKABRASHA! IGP SAIDI MWEMA ANAJITAHIDI SANA SAAAAANA LAKINI WANAOMUANGUSHA NI HAO WA CHINI YAKE YAANI HIYO CONCEPT YA POLISI JAMII HAIPANDI KWAO KABISAAAAA!!!

    ReplyDelete
  2. KERO KUBWA YA POLISI NI RUSHWA NA UONEZI, THEY EXCESSIVE POWER FOR A MINOR OFFENSES SO AS TO EXTRACT RUSHWA FROM THE ALLEGED OFFENDERS, WA BARABARANI NDO WAONEZI WAKUBWA SANA WANAFANYA UKAGUZI WA GARI KILA SIKU WAKATI KI UTARATIBU INATAKIWA GARI IFANYIWE MAINTANCE KUBWA MARA MOJA NA IKAKAGULIWE NA POLISI, BAADA YA HAPO POLISI WANATAKIWA KUSHUGHULIKA NA GARI BARABARANI KAMA MTU KAPATA AJALI AU KUNA TAARIFA YA UENDESHAJI WA OVYO, KUENDESHA BILA LESENI AU INSURANCE, WAACHE UONEZI, SAID MWEMA WAAMBIA JAMAA ZAKO WAACHE UONEZI WANACHAFUA JINA LA SERIKALI YA KIKWETE, TUNAWEZA KUMNYIMA KURA 2010 NAWE UKAKOSA UGALI WAKO, SI UNATEULIWA NA RAIS!

    ReplyDelete
  3. HAPO ZAMANI NANI ALIPENDA KUWA POLISI, NI WACHACHE MNNO NA WALIPEPENDA KWA DAMU LABDA, BAADA YA MUDA KAZI ZIKATOWEKA MPAKA SASA HATA UWE NA DEGREE UNAWEZA UKAUKOSA HUO UPOLISI. FAIDA KUBWA KULIKO ZOTE MAJI ,UMEME, NYUMBA BURE KAMA UTAKUBALI KUKAA KAMBINI. KARAHA ZAKE INACHUKUA MUDA KUPANDA CHEO LABDA UPATE ZALI KAMA YULE TRAFIKI WA KIKE ALIYEMFUNGULIA MLANGO GARI MTUKUFU RAIS DANIEL ARAP MOI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...