TAARIFA YA MABADILIKO YA WAZIRI
MKUU MIZENGO PINDA KUKUTANA NA WATANZANIA NEW DELHI.
WAZIRI MKUU MHESHIMIWA MIZENGO PINDA ATAKUTANA NA WANAFUNZI WA KITANZANIA WANAOISHI INDIA JIJINI NEW DELHI, SIKU YA JUMATATU, SAA NANE NA NUSU MCHANA ,TAREHE 14, SEPETEMBA 2009, BADALA YA RATIBA YA AWALI ILIYOKUWA IKITUTAARIFU KUKUTANA NAYE JUMANNE ,TAREHE 15 SAA TATU ASUBUHI.
WOTE TUNAOMBWA KUFIKA BILA KUKOSA.
ASANTENI.
TASA - MWENYEKITI.
safi sana, karibu Mh. Pinda, twakusubiri kwa hamu...
ReplyDeleteInaonyesha kuna ubaguzi, mh. pinda amekuja hapa korea lakini hakutaka hata kuonana na watanzania wanao ishi/soma hapa korea, pamoja na juhudi zote walizofanya watanzania kutaka kuonana nae!! anyaway ndio ratiba zenyewe hizo!!
ReplyDeleteJamani msisahau kumuandalia chiken vindaloo masala na dengu bila pilipili hoho!!!
ReplyDelete