TAARIFA YA MABADILIKO YA WAZIRI
MKUU MIZENGO PINDA KUKUTANA NA WATANZANIA NEW DELHI.

WAZIRI MKUU MHESHIMIWA MIZENGO PINDA ATAKUTANA NA WANAFUNZI WA KITANZANIA WANAOISHI INDIA JIJINI NEW DELHI, SIKU YA JUMATATU, SAA NANE NA NUSU MCHANA ,TAREHE 14, SEPETEMBA 2009, BADALA YA RATIBA YA AWALI ILIYOKUWA IKITUTAARIFU KUKUTANA NAYE JUMANNE ,TAREHE 15 SAA TATU ASUBUHI.
WOTE TUNAOMBWA KUFIKA BILA KUKOSA.
ASANTENI.
TASA - MWENYEKITI.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. safi sana, karibu Mh. Pinda, twakusubiri kwa hamu...

    ReplyDelete
  2. Inaonyesha kuna ubaguzi, mh. pinda amekuja hapa korea lakini hakutaka hata kuonana na watanzania wanao ishi/soma hapa korea, pamoja na juhudi zote walizofanya watanzania kutaka kuonana nae!! anyaway ndio ratiba zenyewe hizo!!

    ReplyDelete
  3. Jamani msisahau kumuandalia chiken vindaloo masala na dengu bila pilipili hoho!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...