Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Wewe acha tu! ngoja tung'arishe kagari ketu bwana. mwaka huu mtaa wa pili wameshinda tumechi tusaba tu, basi mtaani hakukaliki. ligi bado changa tu.

    ReplyDelete
  2. dah!kaka umejuaje kagari ketu hako kanapendeza!

    ReplyDelete
  3. rangi yenyewe inapendeza,si mnaona!

    ReplyDelete
  4. Rangi gani hizo za kupendeza? Utafikiri Tea Blenders! Hujagundua hata Ulaya ni nchi chache kuna timu zenye rangi hiyo? Nyekundu na nyeupe ndio rangi ya soka!

    ReplyDelete
  5. Michuzi leo umedhihirisha ukanda mbili wako ukitunguliwa wacha kujidai wewe Pan Africa.Bakia hapo hapo kwaini kufungwa ni lazima mwaka huu.Na usijidai ati wewe ni Pan.Redio ya kushinda mechi sita mliyoweka mwaka jana imevunjwa.Bado mtalia sana mwaka huu.Timu isiyo na uhuru wa kuamua bali kila kitu kungoja Manji.Atakimbia mwisho wa mwezi huu.Wewe ngoje uone.

    ReplyDelete
  6. Hii imependeza anko nanihii. Kaka Mwaipopo waache mtaa wa pili waheme nao, ila kama ulivyosema, ligi bado!

    Yanga Oyeeee!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...